peter jaluo🇰🇪

23.7K posts

peter jaluo🇰🇪 banner
peter jaluo🇰🇪

peter jaluo🇰🇪

@peterjaluo007

Kisumu, Kenya Katılım Haziran 2015
15K Takip Edilen16.6K Takipçiler
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Kwani kulikuaje.....????🙄🙄🙄
ROSALINE🦋 tweet media
Indonesia
6
13
72
5.7K
Moyo Wangu
Moyo Wangu@moyowangu01·
Huyu Atafute kazi nyingine tu, hii haiwezi😂🚮
Indonesia
38
24
208
66.5K
duker
duker@ololademi_jr·
Ila wanawake 😂😂😂
duker tweet media
Filipino
12
10
86
10.4K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Njoo umsalimie shangazi yako manka anaeishi marekani
Uncle chitemo tweet media
Indonesia
13
19
68
3.6K
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Ukipata pesa Usiache kuvaa Vizuri hakuna Gari la elfu hamsini 🙄📌
Suomi
3
17
72
1K
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus·
Kitita changu cha hela bandia nakimalizia kwa madada poa yani mchawi giza tu😁.
Kaka mkubwa tweet media
Indonesia
44
29
472
19.1K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukienda Bandari ya Dar utakuta meli imekaa hata wiki inasubiri foleni ianze ishushe cargos wakati huo huo ukienda Bandari ya Tanga utakuta gati ipo empty na hapo wana hata mwezi hawajapokea meli kubwa yoyote. Kwann hatuboreshi hizi bandari zikasaidiana na main port ya Dar..?
Indonesia
24
44
490
24.1K
Royal Media
Royal Media@royalmediatz·
"Kuna jambo linafurahisha sana kama Taifa kwamba kila mtu kwa nafasi yake anazungumzia maridhiano ya Kitaifa hasa kuanzia kwenye Chama chetu, Mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wake Mzee Wassira, kila mtu anazungumzia maridhiano hilo kwa busara linaonesha kuwa ipo sehemu tumekwama, tumekosea na ninaamini hata upinzani pia unaamini katika maridhiano ila tuwe wakweli wapinzani nchi hii ni Chadema tu, vyama vingine hata mtoto anajua tu kuwa hawa wengine ni mitego tu." "Shida inakuja tunafanyaje maridhiano wakati Mwenyekiti wao yupo ndani? Sasa maridhiano yatakuwa ya aina gani? Maridhiano yanahitaji watu wenye nguvu kuridhiana, kwahiyo mimi ninaamini Mhe. Rais kwa nia njema kabisa bila kushinikizwa na mabeberu naamini Bw. Lissu atakuwa nje ili turidhiane, twendeni kwenye uhalisia."- Seleman Msindi maarufu kama Afande Sele leo Jumamosi Julai 18, 2026.
Indonesia
18
103
577
20.8K
peter jaluo🇰🇪
peter jaluo🇰🇪@peterjaluo007·
Usichanganye URAFIKI na KAMPANI kuna tofauti kubwa kati ya POLE na TUNAFANYAJE.✍️✍️
Indonesia
1
0
0
83
peter jaluo🇰🇪
peter jaluo🇰🇪@peterjaluo007·
"Bila kupata changamoto tusingepata nafasi ya kujua roho halisi za watu wanaotuzunguka"✍️
peter jaluo🇰🇪 tweet media
Indonesia
1
0
8
161
peter jaluo🇰🇪 retweetledi
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
"Bila kupata changamoto tusingepata nafasi ya kujua roho halisi za watu wanaotuzunguka"✍️ Good Morning Champions ✌️.
Indonesia
20
34
63
1.2K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Bahati ilioje nimeingia tu Mjini kwenu na kuokota Kitita cha Tsh Afu 2..,🙏🏿🙏🏿😌
Eng.Mapunda Jr tweet media
Lietuvių
13
10
82
1.9K
peter jaluo🇰🇪 retweetledi
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
Usichanganye URAFIKI na KAMPANI kuna tofauti kubwa kati ya POLE na TUNAFANYAJE.✍️✍️ Good Morning Champions ✌️.
Indonesia
13
25
50
812
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Wakati SAMIA anachangisha mabilioni pale mlimani CITY mliomba yale mabilioni yakina GSM kuchunguzwa? Buku buku zetu zinawawasha sana naona-mmeona kabisa 334M inafikiwa mavi yanagonga CHUPI. Wakati tunaanza mlisema hata 10M hatufikishi—leo GEN Z wanashindana kuchangia chama asubuhi,mchana ,usiku na hata kwenye hii post utaona miamala kwenye comment kuonyesha weww ni TAKATAKA.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
63
130
930
56.1K
peter jaluo🇰🇪 retweetledi
The ChandO
The ChandO@SadickTusia·
Ukweli ambao shuleni hatuambiwi ni kuwa sio kila mtu atafanikiwa kwenye maisha.
Filipino
2
6
46
1.2K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Ahhh Qmmk😂💔🚶🚮
Djkid_b_____ tweet media
Deutsch
36
37
346
23.5K