PIZZLE BOY

8.7K posts

PIZZLE BOY banner
PIZZLE BOY

PIZZLE BOY

@petermpembela87

MENE MENE TEKELI NA PERESI

Katılım Ekim 2021
4.9K Takip Edilen2.3K Takipçiler
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
Zote hizi hazioni Wala kuwaandikia barua kama anavyofanya Kwa CDM
Indonesia
0
0
1
48
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
Msajiri wa vyama vya siasa Kuna hiki chama Huwa kinaongea vitu vya hatari kuliko hata hao viongozi wa chadema unao waandikia barua na kutaka kuifuta CDM je Hawa wanaotishia kupiga, kuburuza na kukatakata umewaandikia barua ya kuwafutia usajiri?au unachuki binafsi na CDM?
Indonesia
7
25
71
4.4K
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Mbona @ccm_tanzania huwa wanajisifia mambo makubwa kuliko hata haya? Wenzetu wanaona ni jambo la kawaida kujivunia namna walivyoshughulika na kuuwa wananchi tarehe 29 Oktoba. Hivi kuna dhambi kubwa kuliko mauaji ya wananchi? Kama kuna chama kinachopaswa kuhojiwa au hata kufutiwa usajili kutokana na matukio yake, basi ni @ccm_tanzania. Shosti give us a break.Acha chama kifanye kazi yake ambayo ni siasa.Let us call a spade a spade.
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Filipino
25
85
409
10K
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
@godbless_lema Huyu msajiri anashangaza sana ila Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu muumba mbingu na aridhi CDM haita futwa kamwe Bali wao pamoja na washirika wao watafutika ktk uso wa Dunia Tena Kwa fedheha na maumivu makali
Indonesia
0
1
8
832
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hili nalo ni kosa ambalo natuhumiwa kulifanya kwa mujibu wa Msajili. Sasa narudia tena kusisitiza, ofisi za Serikali si duka la wazazi wenu wala mali ya familia zenu. Mkipewa mamlaka ya umma, mnapaswa kuvumilia kukosolewa, kuulizwa maswali na kuwajibika kwa maamuzi yenu. Kama hamtaki kusemwa, kuhojiwa au kuwajibika, acheni hizo ofisi mrudi mkakae na wake zenu, waume zenu na familia zenu. Mamlaka si kinga dhidi ya uwajibikaji. Na hili linamhusu kila mmoja wenu, hususani pia na wewe Msajili
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
108
308
1.2K
37K
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
@YerickoNyerereT @YerickoNyerereT Toka uende Chauma hujawahi zungumzia mada ya chama chako ww Kila siku CHADEMA CHADEMA Tena Kwa ubaya, tuliza kinyeo hicho chenye funza Kwa kufokolewa na mizimu pamoja na wanaume wenzio mtu unapumuliwa mgongoni utakuaje na akili?
Indonesia
0
0
0
41
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Msajili kaona nilivyoona 21/5/2021 baada ya kuona chadema haijatoa majibu badala yake imeleta kejeri na porojo nyiiiingi zinazoitwa hoja 50. Japo kwa maoni yangu njia hii si nzuri itakuwa na kelele nyingi katika utekelezaji kikamilifu wa sheria hii, njia bora ni Mtu baada ya Mtu
Yericko Nyerere tweet media
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT

Nimesoma majibu 50 ya CDM dhidi ya Mashitaka 3 ya Msajili. Kimsingi hawajajibu mashitaka 3 ya msajili, nimeona maandishi mareeefu yaliyo nje kabisa wa hoja za msajili, Wameshitakiwa chini ya vifungu A, wamejibu kwa vifungu B. Nafikiri msajili hatapuuza, achukue hatua stahiki!

Indonesia
32
1
13
5.7K
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Yericko Nyerere alipe hela Yetu 😂
SafariMlevi tweet media
Filipino
29
74
638
29.2K
PIZZLE BOY retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kesi ya uongo ya mgogoro fake wa mali, ni kesi ya Msajili wa vyama.. Marehemu mama Komu alituelezea namna ambavyo Sisty Nyahoza, Msajili msaidizi akiwa na mtu anaitwa Salehe Bohora, walivyomfuata nyumbani kwake na kuomba aweke jina kwenye kesi.. Marehemu Mama Komu alituambia hata malipo ya mawakili yalilipwa na Salehe Bohora na bwana Sisty, kwa mujibu wa mama Komu huyu bwana Salehe alitumwa na Rais. Mtakumbuka pia kuna mtu alijiita Mwenyekiti wa Chadema Mwanga.. huyu nae alikua analipiwa mpaka mahali pakukaa na ofisi ya msajili, kupitia ofisi hiyo hiyo ya msajili walidai kutotambua uongozi halali wa Chama, katibu mkuu, manaibu katibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama. Hii kesi ilifunguliwa siku hiyo hiyo ambayo Mwenyekiti wetu alikamatwa na kupewa kesi ya uhaini. Kesi hii ilipangwa kwa Jaji mwingine awali lakini katika mazingira tata ikapelekwa kwa jaji Mwanga. Jaji Mwanga tangu awali alionekna wazi kutofuata sheria, kuendesha Kesi kibabe na kudharau kila hoja iliyotaka upande wetu… alikua na maelekezo ya wazi na alionesha upendeleo uliovuka mipaka.. Kupitia kesi hii shughuli za Chama zilizuiliwa kinyume cha sheria kwa siku 309, Mpaka mahakama ya rufani ilipofuta zuio fake.. Kupitia Hilo zuio watu wetu walipigwa mara nyingi na polisi kila walipojaribu kufanya shughuli za chama. Tutakumbuka siku ya wanawake duniani namna wanawake wa Bawacha walivyopigwa mpaka kanisani kwasababu ya zuio hili haramu.. Mali za Chama zimeharibika, Mimi pamoja na Katibu mkuu tulifunguliwa kesi ya contempt of the court. Kutokana na Amri hizi hizi. Jaji Mwanga alipuuza hukumu ya mahakama ya rufani ambayo ilikua inamlazimisha kutokifungia Chama chetu.. Nani atalipia maumivu, usumbufu, matatizo ya makusudi, nani atalipia hasara zisizolipika za kuzuia chama mda wote huu kufanya kazi zake.. Tunafurahia leo, lakini Fikiria damage zote hizi hazikutakiwa kuwepo, zilifanywa kwa makusudi kwa manufaa ya Samia na Ccm. Bado msajili anatufuata fuata na kutuandikia barua baaada ha maumivu yote haya aliyotusababishia.. Kama ilivyo kesi ya uongo ya kumtesa Mwenyekiti wetu ndivyo zilivyo zote hizi ni kwa manufaa ya Samia wala sio Nchi.. Tuacheni tufanye wajibu wetu wa kisiasa. Hatutapiga magoti wala kununuliwa.
John Heche tweet media
Indonesia
82
364
1.4K
55.6K
PIZZLE BOY retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Bavicha ni tanuri la kuoka uongozi na kupika vijana makini.. Hiki ni kikao cha kamati tendaji ya Bavicha Taifa.. hongera wakili @AdvMahinyila Mwenyekiti wa @bavicha_taifa na viongozi wenzako.. mmependeza sana .
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Filipino
20
258
1.4K
36.6K
PIZZLE BOY retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Kama MADENGE hana ushahidi wowote kuhusu FORD kuwalipa watu kuandamana, Nasi asidhani wamekaa kimya, sababu amewachafua pakubwa sana, Aangalie sana, Mashirika ya kimtaifa huwa hayasahau, Anaweza kuja kukamatwa miaka 10 Baadae kwa kosa hilo.
Indonesia
6
29
286
9K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ninasimama na wanangu @rollymsouth na @fbuyobe katika vita vyao dhidi ya wanaharakati uchwara waliofanya jaribio la mapinduzi na kusababisha mauaji makubwa nchini. Nyinyi ni wazalendo wa kweli katika kizazi hiki…. Nchi yetu kwanza uasi uishie Kilimani Nairobi
Indonesia
37
7
39
14.3K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mahakama imetenda haki, na wote tushangilie! Au tuendelee na matusi?
Eesti
129
6
86
17.4K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Hawa watu ni hatari sana, wakikutuhumu hutakiwi kukaa kimya, ukileta busara hawa wanakumaliza, Mimi huwa naruka nao mwanzo mwisho hadi wanaingia mitini wao
Fortunatus Buyobe@fbuyobe

@YerickoNyerereT @rollymsouth Bahati nzuri au mbaya kila nikijitahidi kuachana na shutuma walizonipakazia, naona ni kama kuna upande nitakuwa naupa faida. Lakini kwa kuwa wao hawakujali, nami sitojali. Soon tutafurahi hapa.

Indonesia
21
0
13
5.9K
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
@rollymsouth @rollymsouth kuwa hata na aibu kidogo umeilisha familia Yako damu za watanganyika halafu bila hata woga na hofu ya mungu unaendelea kupopoeka tu si Bora ukae utulie hivi unajua umewakwanza watanganyika Kwa kiasi gani?
Indonesia
0
0
3
474
PIZZLE BOY retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
@UlimwenguJm @KisongaRauce Inashangaza sana pale Bunge la Ulaya na Marekani yanapojali Maisha ya Watanganyika huku Bunge letu likiwa limelala using usingizi wa pono
Indonesia
31
167
755
12.9K
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
@rollymsouth Umeilisha familia Yako damu za watanzania wenzio halafu unajizima data
Indonesia
0
0
0
36
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
@rollymsouth We @rollymsouth usijizime data mpuuzi ulipewa kandarasi ukachapisha usengerema wako hukujali wa Tanzania wenzako walio uliwa Wala hukuwaza maumivu watu waliyo nayo moyoni Tena ukae kwakutulia kwani umebeba shehena la dhambi sababu ya njaa na tamaa ya kipande cha mkate
Indonesia
1
0
9
1.4K
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Nieleze nimeshiriki vipi?kwa kifupi,maana mimi sio msomaji
Gimmy@jkbtetes107

@rollymsouth Na wew ni moja ya sababu ya watu kutopona mpaka sasa kwani uliamua kushiriki umwagaji wa damu za watu wetu kwa mkono wako mwenyewe Mungu aseme na wewe kadri itavyompendeza

HT
57
4
76
62.8K
PIZZLE BOY
PIZZLE BOY@petermpembela87·
@VitusNkuna Yani mashekh wapumbavu kama Hawa ndo wanasababisha fedheha Kwa mashekh wengine wanaojitambua
हिन्दी
0
0
0
205
PIZZLE BOY retweetledi
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Ila Tanzania nimeona Shehe ubwabwa mmoja anaonya Sanate wa Marekani. 😂😂😂😂 ganja mbaya sana
Filipino
41
59
791
21.5K