
#TajiriLaKihaya
Kama kawaida yangu nkisafiri, huwa na book vyumba vitatu, Hotel 3
maeneo tofauti…
Sasa hapa nmependa Kimoja…
Hizi mbili nataka nizigawe…
Ni aibu Mwana Tweep kukesha Bar na Lounge- wenzio wanadhan umenogewa na mziki kumbe hauna sehemu ya kulala…
Wanatweep wawili wanicheki chap Dm- nagawa bure kabisaa!
Kikubwa tu… Uwe BINTI MREMBO kweli kweli alafu usiwe MWEZINI!
Indonesia

















