Simama-Uhesabiwe

18.9K posts

Simama-Uhesabiwe

Simama-Uhesabiwe

@robichacha96

North Eastern, Kenya Katılım Temmuz 2021
1.7K Takip Edilen5.8K Takipçiler
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Machawa wa Idd Amin Mama wote kichwani hamna kitu, jamaa anaongea utadhan wamemkata kichwa. Halafu anasema kwamba yeye hana Chama wakati watu wanamjua vizuri kabisa kwamba yeye ni liccm.🚮🚮🚮
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
22
45
193
16.9K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
Padre Peter Rwezaula. Alitekwa na kupotea akiwa Makoko, Musoma. Inasemekana baadae alipatikana mkoani Morogoro, lakini toka alipopatikana hajawahi kuwa yule yule tena! Jana amefariki dunia! Pumzika kwa amani kaka! Waliokufanyia ubaya na kupelekea kifo chako, Mungu atawaadhibu🙏🏽
Kagimbo Lutahya tweet media
Indonesia
16
77
409
15.7K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Haya sio mapenzi bali ni mahaba.
Twaha Mwaipaya tweet media
Filipino
4
79
572
4.4K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo Mwenyekiti wetu Mhe. Tundu Lissu ametimiza siku 400 Gerezani. Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama, ilimbambika Mhe. Lissu kesi ya uhaini na walisema wanaushahidi wa kutosha kumfunga Mhe. Lissu lakin cha ajabu wameweka mpira kwapani hawataki kesi iendelee kusikilizwa ndo maana mpaka unaenda mwezi wa tatu tangu wakate rufaa lakin @judiciarytz chini ya Jaji Mkuu Masaju hawataki kupanga tarehe ya kusikiliza rufaa hiyo. #FreeTunduLissu
Hilda Newton tweet media
Indonesia
5
98
345
4.7K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Vijana mtaendelea kupotea kwa kukosa Akili Mfumo unataka baadhi yao wawe miongoni mwetu, na faida ya hao watu na mfumo ni kuwa miongoni mwetu Project ya kushambulia na kuondoa watu kama mimi, @HildaNewton21 , Tito , Sativa , Twaha na shangazi hii sio Project ya Unit na sio Project ya mabadiliko Msuya ana vikosi lakini kabla ya Msuya kukuchukua unasogezwa karibu au unajengewa mazingira na hawa vinyonga/nyoka Huo ndio mchezo pekee ambao dola inautumia kutuumiza kisha wanakuja machawa hapa online kukuchafua wakishakupata, mimi walishanitengenezea story kwamba ni mlevi na mambo mengine mengi Sina tena deni ya yeyote atakaye nyakuliwa kwa mfumo huu wa honey 🍯 pot Nimefanya wajibu wangu mkubwa sana kuhusu haya mavikosi ya Abdul, sasa endeleni kujitia uzezeta
Indonesia
16
60
322
38.7K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Dada @racheldangwa17 huyu Wambura kalazwa Hospital gani tumpelekee juisi ya Pipili kichaa maana ni dawa nzuri sana ya kisukari.😂😂😂
Indonesia
14
60
345
13.1K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Leo Mh Lissu anatimiza siku 400 Gerezani bila kosa. WAKOLONI WEUSI walituaminisha Mh Lissu ni Muhaini, wakaenda nae mahakamani, wamepelekewa Moto dunia nzima imejua HAKUNA KESI wameingia mitini. Muachieni Mwenyekiti wetu #FreeTunduLissu
SIR TIVA tweet media
Indonesia
9
144
580
4.5K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨REGISTRAR OF POLITICAL PARTIES THREATENS CHADEMA‼️ As expected, Samia Suluhu and her cabal are nerve wrecked by recent Chadema rallies and press conferences So now they cite some unconstitutiinal represive laws and threaten Chadema with deregisttation! Deputy Registrar Sisty Nyahoza signed the letter and he is just a faithful servant of the regime! #Tanzania is headed the wrong way! Sisty Nyahoza! Hivi huyu baba anawaza maisha baada ya utumishi huu? Hapa ni wazi mafedhulii wanawaza kufuta usajili wa Chadema hakuna kingine! Ila #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
English
27
154
377
13.1K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Mtikila
Mtikila@Legend_Mtikila·
Wanafanya kila njia ya kuiua CHADEMA hatutakubali. Pipoooooooz!!! ✌️
Martin Maranja Masese@IAMartin_

“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili.” — Msajili wa Vyama vya Siasa. Kwamba CHADEMA itozwe faini/kufutiwa usajili kwa kutoa wito wa kuitisha maandamano ikiwa Tundu Lissu hataachiwa huru? Tangu lini imekuwa kosa la jinai chama cha siasa kuitisha maandamano? Mmerogwa? Kwamba CHADEMA wafutiwe usajili kwa kuwapongeza wananchi kuandamana October 29, 2025? Chama cha siasa kuwapongeza raia kutimiza wajibu wa kiraia wa kushirikia maandamano ni kosa la jinai? Shensisana. Kwamba wapigwe faini Au kufutiwa usajili kwa kamati kuu kuazimia kwamba utawala uliopo madarakani ni wa kimabavu na haukuchaguliwa na watu? Kwani ni uongo? Uchaguzi haukufanyika, wamejitangaza washindi tu. Kuna hatari kubwa ya kuajiri viongozi kwa mikataba baada ya umri wa kustaafu, kwani wanakosa ubunifu na kugeuza ofisi za umma kuwa vyanzo vya mapato. Vitisho vya Msajili dhidi ya CHADEMA havina mashiko. CHADEMA si taasisi ya kisheria inayoweza kufutwa kwa kalamu, bali ni itikadi na imani ambayo haitishwi na watawala. CHADEMA kwa sasa ni zaidi ya chama cha siasa; ni imani ya watanzania, na imani haifutwi. CHADEMA tumeshatoka kuwa chombo cha kisiasa chenye ofisi na makaratasi, uelekeo ni kuwa harakati ya kijamii (social movement). Itikadi hupandwa ndani ya watu. Msajili, unaweza kufuta imani ya watu? CHADEMA imeacha kuwa tu taasisi inayotafuta madaraka; CHADEMA imekuwa alama ya; Upinzani dhidi ya mfumo uliopo. Matumaini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi. Utambulisho wa kifikra (Identity politics). Msajili, umezeeka, staafu salama usitafute laana. Unatumika vibaya sana. Mamlaka zinaweza kutumia sheria kudhibiti taasisi (Institutional control), lakini ni vigumu sana kudhibiti kile watu wanachokiamini. CHADEMA ni imani. Tumejenga ukuta wa kinga ambapo kila shinikizo kutoka kwa Msajili wa Vyama linatafsiriwa kama shambulio dhidi ya imani yetu, jambo ambalo huongeza hamasa (mobilization) badala ya woga. Acheni UDUANZI. MaCCM yameanza kutoa milio.

Indonesia
5
36
185
1.9K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Oktoba 29 kuna Jaji wa Mahakama Kuu alikamatwa na kuwekwa ndani na mapolisi wakidai ameandamana. Alinusurika kupigwa risasi, baadaye kaachiwa. Jaji Mkuu hayaoni haya masuala muhimu. Amejiteuwa kuwa kiranja wa maadili ya Gen Z kumlinda Jaji Kiande. Tuna shida sana!
Indonesia
10
162
712
12.7K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️ALERT‼️ Huyu ndo kiongozi wa Team ya maofisa wa Polisi ambao DCI Ramadhan Kingai amewapa kazi ya kuniwinda. Jina lake anaitwa Edward Pius Soteli, majirani zake wanamfahamu kama Baba Sayuni, anatoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma. Ni mzaliwa wa kijiji cha Mwimbi, Kata ya Mwimbi Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa. Namba yake ya simu ni +2557876300x2.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
43
194
919
48.9K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Mwenyekiti wa Chama Mhe. @TunduALissu mtakumbuka aliwasilisha maombi mahakamani ya kutaka kuunganishwa kwenye kesi hii, maomba yale yakatupiliwa mbali katika hatua za awali. Nataka kuwataarifu kwamba Mwenyekiti Mhe. @TunduALissu bado ameendelea na nia yake ya kuunganishwa kwenye kesi hii, awali alitaka kuunganishwa kama Tundu Lissu, sasa anataka kuunganishwa kama Mwenyekiti wa Chama." Mhe. @jjmnyika
Filipino
0
41
144
3.2K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Vijana wa Chadema students Organization (CHASO) Mkoa wa Mwanza wakijiandaa kumpokea Mh. John Heche leo.
Indonesia
3
93
642
7.3K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Hii ilikuwa kwenye kampeni 2020 GARI ya matangazo ya kampeni za Lissu ilikamatwa chato Lissu akiwa Geita akapewa Taarifa kwamba GARI yake imekamatwa. LISSU akaamuru barabara ifungwe Mpaka Polisi waende Chato wakalete GARI kweli Polisi haraka wakaenda Chato wakachukuwa GARI
Indonesia
6
59
367
13.5K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mama kawakilisha wamama wote waliopoteza watoto wao #Mo29 Huu ndio msimamo wa Taifa.
Indonesia
8
175
793
15.1K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
NO LONGER AT EASE! The grieving mothers in #Tanzania want punishment for Samia Suluhu befitting the crime! They reject any talk of compensation! They want justice! This heart wrenching appeal by a grieving mother speaks for hundreds if not thousands of affected loved ones! The absense of justice is laying the groundwork for generational blood feud! Huyu mama nimemwelewa sana fidia ya kuuwawa kwa ndugu yako unaomba labda shs ngapi? Aisee hapana! CCM mnaendelea kumbakisha huyu mwuaji madarakani mnapalilia visasi vya vizazi na vizazi msifikiri mko salama! #SamiaMustGo
English
20
210
694
19.4K
Simama-Uhesabiwe retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
#FreeTunduLissu tunaamini akitoka magumu yote anayopitishwa siku zote hizi ATATUSIMULIA. Msimamo wake wa kuamua kusimama na wananchi kwa siku zote hizi ni heshima kubwa sana kwetu na taifa. MUNGU akufunike Naamini tutashinda haya magumu yote.
SIR TIVA tweet media
Filipino
5
118
529
3.9K