Sabitlenmiş Tweet
Mzee Mchafu 🎩
34.9K posts

Mzee Mchafu 🎩 retweetledi

Wataalamu wanaelewa💪

The mandevu@ze_mandevu
Lengo ni moja tu nipo hapa kuwahakikishia wanangu hampitwi na vikali 💪 👊🏾
Indonesia
Mzee Mchafu 🎩 retweetledi
Mzee Mchafu 🎩 retweetledi

@jackjose075 @bosskitamb @godbless_lema Central Bank haitakiwi ku uza Treasury zake kwa sababu kibao Anko pia kumbuka ndio inakuoa guarantee wewe kukopa kuwa na dhahabu nyingi chini sio kigezo cha wewe kuuza reserve Yako.. ila labda serikali ikubali kwamba inakabiliana na anguko la uchumi.. la ndani na kukosa mikopo.
Filipino

@runjipapi @bosskitamb @godbless_lema Haiendani mzee Magufuri nakumbuka ndo alianzisha hii kuwa hela hushuka thaman so baadae kukiwa na uhotaji tuuze ss ubaya uko wapi na nan kakwambia dhahabu chini imeisha
Filipino

Dhahabu ni mali muhimu sana kwa uchumi wa Taifa, hasa katika kipindi cha sintofahamu ya kiuchumi na kijamii duniani. Mwaka 2020, bei ya dhahabu ilikuwa takribani USD 1,500 kwa ounce moja, lakini kufikia Januari 2026 imepanda hadi takribani USD 5,400 kwa ounce moja. Hii ni sawa na ongezeko la asilimia 260 ndani ya kipindi cha miaka mitano.
Ongezeko hili linaonesha wazi kuwa dhahabu ni hifadhi salama ya thamani wakati sarafu na masoko ya fedha yanapoyumba. Katika mazingira haya, kuuza dhahabu ili kupata fedha za haraka si uamuzi wa busara wa muda mrefu. Ingawa serikali zinaweza kukabiliwa na uhaba wa fedha, kuuza mali yenye thamani inayoongezeka kwa kasi ni kupoteza fursa ya kiuchumi.
Njia mbadala iliyo salama zaidi ni kukopa kwa kutumia dhahabu kama dhamana (collateral). Njia hii huiwezesha serikali kupata fedha bila kupoteza umiliki wa dhahabu, huku ikiendelea kunufaika na ongezeko la thamani yake baadaye.
Kwa hitimisho, katika dunia yenye misukosuko ya kiuchumi, dhahabu inapaswa kuhifadhiwa na kutumiwa kwa hekima, kwani ni nguzo muhimu ya usalama wa uchumi wa Taifa.

Indonesia

@bosskitamb @godbless_lema Unauza mabati ya nyumba Yako ili ukajenge fence... Je ni kipi Bora kukopea Bank nyumba ukiwa full na bati lake au kukopea ikiwa pagala (gofu).
Indonesia

@godbless_lema Mimi nataka kujua kama tuna uza dhahabu yetu kama sehemu ya akiba ili tupate fedha ubaya upo wapi.?

Indonesia

@runjipapi Siku nikipita niambie hii Comment nione aibu nikuungishe😁
Eesti
Mzee Mchafu 🎩 retweetledi

@DeadNiggaAlive Umaskini ni mbaya kaka imagine wale watu wanatikea maisha magumu kwahiyo hata aibu imewatoka aisee
Filipino









