Salmin Swaggz
6K posts

Salmin Swaggz
@salminswaggz
You will do what you do in this life and people will love you or hate you for it • DM for inquiries + IG @salminswaggz

Binafsi najua @diamondplatnumz sio mtu wa kawaida kabisa 😄, his influence is generational and goes beyond music. Nimeangalia interview yake sijaona kibaya alichosema zaidi ya kuikumbusha tu serikali suala la Arena! Ushauri wake una nafasi ya kusikilizwa haraka kuliko wewe 🫵🏼

Unasikiliza mziki wa rap, unakua inspired, unajifunza kurap, halafu unamdiss aliyekuinspire kurap kwa kutumia flow hio hio ambayo imekuinspire kurap 😄 man that’s 🧢