chuma

23.4K posts

chuma banner
chuma

chuma

@sezarialfred

President of fisheries college at Nyegezi 2015/2016 Aquaculture expart simba sports club fans,

Tanzanian Katılım Temmuz 2015
4.1K Takip Edilen2K Takipçiler
chuma retweetledi
MASTER MIND 🤔
MASTER MIND 🤔@MTUMASHUHURI·
Siri ya maisha ni kumuomba na kumtegemea Mwenyezi Mungu kisiri siri na kupambana na maisha hadharani 😎 .
Filipino
5
26
88
769
chuma retweetledi
IN GOD WE TRUST⭐
IN GOD WE TRUST⭐@MTUMISHIMSELA·
Hata kama huziamini dini , basi jitahidi kuiamini biblia , itakufundisha failsafe ya kweli ya maisha ya mwanadamu na kukufanya uishi kama mtu mwenye akili timamu 😎 .
Indonesia
7
16
57
966
chuma retweetledi
STAFF WA MTAA✨
STAFF WA MTAA✨@StaffwaMtaa·
Ukweli ukiwadia unavunja laana zote zilizo laani kwa hila na uongo 😎 .
Suomi
1
12
24
206
chuma retweetledi
Coco Love 😇
Coco Love 😇@Cocolovemimi·
Amani ya moyo haipatikani kwa kubadilisha mazingira yako, bali kwa kubadilisha jinsi unavyoyatazama mazingira hayo. 🤝
Indonesia
2
14
62
969
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
MANGE Amepost Anamsifia TRUMP Mimi👇 TRUMP Aliyeua Watoto Zaidi Ya 150 Pale Iran Kwa Bomu, Mtu Aliyefira Nakubaka Watoto (Katajwa Kwnye File Za EPSTEIN) Ndio Unamwita Best President? Mtu Anayetetea USHOGA Na USAGAJI Huyo Sio Best President Huyo Ni Zaidi Ya SHETANI KANIBLOCK😎
KIDUKU OFSA NGIRI tweet mediaKIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
59
10
112
11.6K
chuma retweetledi
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Mtu akisema anakupenda sio kama hajaona wengi basi wewe mpe heshima na sio Dharau✍
Indonesia
41
71
271
5.9K
chuma retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Utulivu wa Mwanamke Unategemea familia alio tokea📌
Indonesia
3
15
46
788
chuma retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Sio kila Mtu anae kuja kwenye Maisha yako lazima adumu na wewe kila Mtu ana Majira na Wakati kwa kila Mtu Usiwe king"ang'anizi 📌
Indonesia
2
8
47
697
chuma retweetledi
Simon🇹🇿
Simon🇹🇿@Simon_peter_jr·
Kila unapochelewesha kufanya kilicho sahihi, unajenga mzigo ambao kesho utahitaji nguvu zaidi kuubeba.
Filipino
1
8
27
418
chuma retweetledi
Black b🖤y👦🏿
Black b🖤y👦🏿@omy_ramso·
So kila anaekupenda anajua kukuthamin na so kila unaemthamini anakustaili Good morning family
Indonesia
16
19
43
525
chuma retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Usijilaumu kwa Mtu kukutoa nje ya Maisha yake Jilaumu kwa kung'ang'ania Mlango uliofungwa 📌
Indonesia
1
5
31
446
chuma retweetledi
Tell me her name 💫🤍
Kile ulichonacho leo kinaweza kuwa mwanzo wa jambo kubwa kesho. Acha kusubiri ukamilifu na anza na kile kilicho mikononi mwako sasa.
Filipino
2
14
54
681
chuma retweetledi
Placide Trevor🇧🇮
Placide Trevor🇧🇮@PlacideTrevor·
Usimsubiri mtu akujengee maisha jisimamie dunia inaheshimu wanaojitegemea📌📌
Indonesia
2
8
23
298
chuma retweetledi
MASTER MIND 🤔
MASTER MIND 🤔@MTUMASHUHURI·
Mungu ataendelea kuwepo hata kama duniani hakuna dini au hakuna anaemuamini 🤔 . #Elimikawikiendi
Indonesia
6
13
55
871
chuma retweetledi
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Usiache matarajio na maoni ya watu wengine yaathiri maamuzi yako. Maisha ni yako, sio yao.!
हिन्दी
16
35
100
1.6K
chuma retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Sijui kwanini ila kila siku zinavyozidi kwenda ndio ninavyozidi kupoteza na kuishiwa imani yangu kwenye DINI. NB. DINI ZOTE
HT
108
50
382
19.7K
chuma retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Watu hugeuka kuwa wapweke kwa sababu wamesalitiwa na kila mtu waliyemwamini.💔
Filipino
1
9
32
360
chuma retweetledi
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Punguza Huruma kuna wakati inabidi uwe na roho Mbaya ili uishi kwa Amani😓😓😓
Indonesia
12
35
129
2K
chuma retweetledi
Splendor Kyrios🌴
Splendor Kyrios🌴@Skyfly_gains·
Hauna mikosi, Punguza watu wasiojielewa Kwenye Maisha Yako.
Indonesia
6
15
62
747
chuma retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Usimuamini Mtu mwenye historia ya Uadui juu yako hata ukiona anakusifia na kua Upande wako📌
Indonesia
2
7
33
439