ShealerJ

3.7K posts

ShealerJ banner
ShealerJ

ShealerJ

@shealerjohn77

## a businessman dealing with phones and phone accessories 📱📱 @chelseafc fan @simbasportsclub fan

daressalaam Katılım Temmuz 2021
834 Takip Edilen524 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ShealerJ
ShealerJ@shealerjohn77·
Shillah mobile phone & accesories Tunauza simu bora na zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu! 📱 **iPhone** 📱 **Samsung** 📱 **Google Pixel** 📱 **Aquos Sense** 📱 **Oppo** 📱 **Vivo** Both brand new and used phones Contact: whatsapp ans calls 0788649188
ShealerJ tweet media
Filipino
0
7
9
22.6K
ShealerJ
ShealerJ@shealerjohn77·
@michael_nu22305 @Nindi_Jr Inasemekan huyo ndo baba ake na Julie kamuua ili circle iendelee maana baba ake Julie angevunja hyo circle
Filipino
0
0
2
32
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Bank ya Amana ni Bank ambayo haiweki Riba katika Mikopo Dhamana yako Mkopo wako Wanapataje faida hapa? 😂
Indonesia
34
41
587
35.8K
Kaka'
Kaka'@Boanerge_·
@shealerjohn77 @erickmunis30069 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Kama nikikupa 1000,ukaenda kununua kitu, the ukanirusidhia 2000 jua umelipa riba(ya 100%) Kama nikikupa 1000,ukanunua kitu kupata faida, kwenye faida unayopata ukanirudishia 1500,jua umelipa riba ya 500. Haijalishi jina utakaloipa io faida unayonigawia ni riba
Indonesia
2
0
3
145
ShealerJ
ShealerJ@shealerjohn77·
@Boanerge_ @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Riba si inakuwa calculated kwa percentage kaka sasa mm ninunue bidhaa kwa 1000 niamue kuuza kwa 2000 Kuna riba apo nime calculate Kwan si ni biashara tu ya kawaida nimefanya ili nipate faida sasa hiki kitu ndo kwenye uislam imeruhusu sijui umenipata
Filipino
0
0
0
50
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Na ukitaka kujua hilo, nenda chuo ukasoma alaf kaombe Islamic Bank wakusomeshe. Hiyo ndio njia rahisi ya kujua. Nyengine hadi uwe na connection za kuoewa pesa mkononi
Indonesia
1
0
2
61
ferdinand
ferdinand@ferd9d·
@fellu__ Wapi? Maana I need to replace the current one. Yaani hii simu sihami, this will be the fourth one.
English
3
0
1
570
Mtetezi wa Mabonge
Mtetezi wa Mabonge@fellu__·
Pixel zinashuka bei chapu kupita maelezo…they have to be the worst phones kwa resale value
English
19
9
197
18.1K
ShealerJ
ShealerJ@shealerjohn77·
@OfficialKyejo @MsomiKhan18 Ndo hvyo wanapata faida kwa kufanya biashara ya kawaida tu kama wanavyo fanya wengine bila kuweka riba ambayo dini ya kiislam ndo inaruhusu hvyo
Indonesia
1
1
2
793
The Kyejo
The Kyejo@OfficialKyejo·
@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Aha kumbe sasa kvp nione linauzwa million 10 then waniambia million 15 bas kama ni ivo wanapata faida tuu na sio kwamba hamna riba ipo ila naona kupitia biashara sasa
Indonesia
6
0
6
1.1K
ShealerJ
ShealerJ@shealerjohn77·
@dkpress3 @MsomiKhan18 Hakuna riba kwenye bank za kiislam wanacho fanya wao ni kuingiza nakubaliano ya kibiashara ambayo inaruhusiwa kwa dini Yao mfano unataka mkopo wa gari la million 10 wanakununulia gari alaf wanakuuzia kwa milioni 15 utalipia kdg kdg dini Yao inaruhus hyo sio Rina kwao ni biashar
Indonesia
3
0
1
104
Parish Priest
Parish Priest@dkpress3·
@MsomiKhan18 Benki zinapata faida kwa namna mbili. 1. Funded Income (Interest Income) 2. Non Funded Income ( Fees and collections) Tofauti na hapo ni Lugha tu, hakuna Benki haitozi riba.
Italiano
2
0
9
1.1K