sidesaidjr
1.2K posts

sidesaidjr
@sidemkunyaa
#GGMU CHUGA1
Arusha, Tanzania Katılım Eylül 2024
647 Takip Edilen204 Takipçiler

@HDMwaim @mTusiOriginal Akifanya muamala balance ikasoma zaid ya laki nafuta hii acc
Indonesia

@DullahTheking2 This songs
Shouldve kissed you
Beutiful people
She aint you those songs are classsics
English

@Nindi_Jr Sema jamaa story kama imemweka pemben kdogo ila namkubali knoma
Indonesia

@MangiwaKwanza1 Sio kwao tu hpajui unalala na dem had asbuh hata jina lake tu hjui
Indonesia

Ila hakuna risk mbaya ambayo vijana wengi huwa tunaifanya kama ile ya kulala na mwanamke mpaka asubuhi, haujamuoa, kwao hawakujui, imagine siku anakufa ghafla kwenye gheto lako, utawaambia nini polisi wa kuelewe kama alikufa ghafla, na polisi wa bongo ambavyo walivyo mpaka uchunguzi ukamilike sio ww unaweza ukajikuta umekaa miaka hata 10 mahabusu, Usilale na mtoto wa mtu mpaka asubuhi kama haujamuoa 😁
Indonesia

@joseph_tengia @Roma_Mkatoliki Que seraa seraa whatever will be will be noma na nus
English

@Roma_Mkatoliki Huu mzigo sio Kwa wenye roho nyepesi Mzee.... Kale kawimbo Kao hatari Sanaa...
HT

I bet #Ethan will be the key to them getting out of that place!!
Dogo ndio atatoa Code……
Save my Tweet!!


English

@Rydx_017 @Roma_Mkatoliki Had june 21 ndo znakamilika mm nmeshndwa kusbr asee
Filipino

@Roma_Mkatoliki Mimi nimeacha kwanza zitoke Episode zote ndio niangalie.
Don't spoil please 🙏🤦♂️
Filipino

@bob_mchelsea Nmeitoka kuimaliza hyo ep mda huu naona yanayokja yanafrahisha
Indonesia

@Zephania_Ndaki Kanye ni producer na pia ni msanii apo tu anamfunika huyo domo kubwa
Filipino

@mreno255 Hv haipo hum wadau nisafishe macho kdogo wap npte naeza kuipata
Filipino






















