Thiago Simba
1.5K posts

Thiago Simba
@simba_thiago
@LFC @ELECTRICIAN OF MAISHA BOTTLERS AND BEVERAGE
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2023
1.2K Takip Edilen500 Takipçiler

@Bensonb24 @reallymagnifico Ume elewa piont yangu au umejibu tu 😃😃..ni kiswahili na huja elewa ..ekitite kaumia miezi 9 una lia lia ..wakati jota huto kuja muona tena
Indonesia

@simba_thiago @reallymagnifico kifo cha jota sio point kaka kıla mchezaji ana namna yake….acha ku sugarcoat ubovu wa timu nzima kwa kifo cha jota

@Bensonb24 @reallymagnifico Una zungumzia miezi 9 wakati DIOGO JOTA hatunae milele
Euskara

@simba_thiago @reallymagnifico bro he will be out for nine months umeridhika…kocha alishasema alikuwa anacheza na maumivu na tulikuwa hatuna striker mwingine
Filipino

@Bensonb24 @reallymagnifico Hiyo ni ajari tu ina weza mpata yoyote uwanjani ..na habarishi ya kuwa ana leta utozi uwanjani ..ame cheza LUIS SUAREZ kifundo cha mguu kikiwa kibovu na kacheza kwa kiwango chajuu EKITIKE ana gusana tu na milner kidogo ana enda nje..
Indonesia

@PhilemonGo8638 @reallymagnifico Hata game ya man city ili kuwa hivyo hivyo tofauti tu goals..na timu nayo hai eleweki
Indonesia

N mpira huu huu tunaangalia wote? I need isak back
BIGV 🎩@vistovic17
🚨 Hugo Ekitike Jamaa hadi Sasa Ndio mchezaji pekee wa Liverpool amejitoa at least 80% just phenomenal 🔥
Indonesia

ONENI MPUMBAVU HUYU
Hata miezi 6 haijapita Msanii wenu alikuwa anatuambia, “Fanyeni Kazi kumamae zenu, kila kitu serikali serikali, kila siku kulalamika tu”… LEO ndio anakuja kulia baada ya kushtukia ametumika kama CONDOM na kutupwa?!
What happened? Vipi Serikali imeishiwa hela ikaja kukudai kodi nini? Na kidogo Media yako ife.. au? Ooh kumbe haihusiani na Media, mlikuwa mnafanya renovation tu. 🤣
Acha kutupigia Kelele na Mambo yako sijui Serikali haijali Muziki, Sijui Arena imefanyaje. Ulichagua upande, KUFA KIMYA KIMYA HUKO HUKO ULIPOCHAGUA.
Haujawahi kushirikiana na Wasanii Wenzako kwenye group za Wasanii, Haujawahi kutoa ushirikiano kwenye TUMA wala SHIRIKISHO LA MUZIKI. Haujawahi kujadiliana na wenzako kuhusu mambo ya ujenzi na Ukuaji wa Tasnia… Mmekuwa mnajiona mmemaliza kila kitu. Yamewashinda mnataka kuanza kupiga yowe na kutaka huruma ya Wananchi. Well, nyie mmetiwa na kuachwa, sisi wamewaua ndugu zetu so tuna msiba bado (40 haijaisha maana baadhi ya Miili haijapatikana bado). Njoo MSIBANI KWANZA then ndio tutajadili mambo ya mamiziki yenu.
Wewe ndio wa Kulilia MIUNDO MBINU YA TASNIA?! Msanii uliyebebwa na Marais (Kikwete, Magufuli), Serikali, Media (yes Clouds made you), ukawazidi wenzako kwa hatua ambazo hawajaweza kukufikia tena, alafu watu walipolilia Miundo Mbinu ukawabeza, na Walivyotaka kuiwajibisha Serikali ukawakejeli. Ghafla wewe ndio unajua nafasi ya serikali? Au ni baada ya kufeli huko “International”.
Anza wewe kwanza kutengeneza MIUNDO MBINU na Mazingira Rafiki ya Kazi kwa Wafanyakazi wako ili Serikali iige Mfano wako.
Lipa Dancers Vizuri
Lipa Wapiga Bendi Vizuri
Lipa Sound Engineers Wa Maana
Lipa Watangazaji (ili wasigome)
Lipa Artists unaowa sign WCB Vizuri (Including Mkeo hiyo)
Lipa Video Vixens Vizuri
Lipa Waimbaji wa Bendi Vizuri
Kukiwa na Show ya Live hapa leo yako na Yangu, Wapiga Bendi Watachagua kuja kupiga kwangu, maana wanajua Wakazi atawathaminisha kwa Malipo Mazuri zaidi (na hapo wewe unalipwa mara 10 yangu). Bisha?
AND YES, Unajua kwanini mnakumbukwa wakati wa Kampeni tu? Ni sababu Wanejua nyie ni Wapumbavu, msiojitambua wala kutambua Power yenu kama Wananchi na Wapiga Kura, na pia Influence na Leverage yenu kwenye kuishinikiza serikali kuleta Mabadiliko.
So Kiufupi, TOKA HAPA!! 😏
BEBERU
The Leader


Indonesia


@INFLUENCERjr Automatically kwa muonekano huo ni watu wa (ooooh MY )
Filipino

🚨🚨| Most supported Premier League clubs in the United States, as per @MenInBlazers:
1. Liverpool - 22%
2. Arsenal - 16%
3. Chelsea- 13%
4. Manchester United - 7%
5. Tottenham- 6%
6. Everton - 5%
7. Fulham - 3%
8. Manchester City - 3%
9. Crystal Palace - 3%
10. Leeds - 1%


English


@INFLUENCERjr Hii jez ni kali sana kama tunge kuwa tuna shinda
Filipino

Kama Gakpo ameanza hii game sare au tunafungwa.
Liverpool FC USA@LFCUSA
Midweek action starting 🔜 #SUNLIV
Filipino






























