Tabasamu pharmacy

636 posts

Tabasamu pharmacy banner
Tabasamu pharmacy

Tabasamu pharmacy

@simonsalimini1

medical and healthier counselor

Mbeya, Tanzania Katılım Ekim 2017
450 Takip Edilen41 Takipçiler
Mbeya Buses
Mbeya Buses@Mbeya_Buses·
@Chizzodrama Sema jamaa ana ubinafsi sana wa kujiona yeye ndo yeye na kila anachosema ni sahihi
Indonesia
5
0
0
406
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
NIKKI MBISHI ~ Si miongoni mwa rappers wenye mistari dhaifu iliyopambwa kwa Lugha ya Kiingereza Ni rapper ambaye unaweza kubet akawaua rappers wote kwenye JOINT kwa kuimba kiswahili mwanzo mwisho Kwenye ngoma ambayo wote watachana kiingereza Na akipiga ngeli ana radha pia
chizzo drama tweet media
Indonesia
26
16
107
21.2K
Geronimo
Geronimo@Malyekete·
@Chizzodrama Halafu UNO bado tegemezi, hana hela. Muziki wake haulipi
Indonesia
2
0
0
51
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
UNO (ONE)🧵 𝗧𝗛𝗘 𝗚𝗘𝗡𝗜𝗨𝗦 𝗪𝗛𝗢 𝗙𝗔𝗜𝗟𝗘𝗗 𝗠𝗔𝗧𝗛𝗘𝗠𝗔𝗧𝗜𝗖𝗦 𝗜𝗡 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗢𝗟 𝗔𝗡𝗗 𝗠𝗔𝗦𝗧𝗘𝗥𝗘𝗗 𝗧𝗛𝗘 𝗥𝗔𝗣 𝗘𝗤𝗨𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 Day 1A Anaingia katika kundi la wasanii wachache ambayo wanatizamwa kama Genius 👇
chizzo drama tweet media
English
18
28
120
7.8K
Tabasamu pharmacy
Tabasamu pharmacy@simonsalimini1·
@UTDTrey That kind of peneka , bro think he is zinedine Zidane 😂😂
English
0
0
0
90
(fan) Trey
(fan) Trey@UTDTrey·
Nah Morocco losing this final would be the funniest thing ever Even Arteta can’t achieve these level of bottling😭
English
307
1.4K
21.9K
278.6K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
JUST IMAGINE… NANI SASA ATATU COMFORT KAMA SERIKALI INATUZODOA? Yaani Wananchi wana raise concern juu ya taharuki ya watu KUPOTEA, KUTEKWA na baadhi KUUWAWA, alafu Sauti ya Serikali (Msemaji Mkuu) hatua ya kwanza anayochukua ni ku-UNDERMINE & DOWNPLAY the issue?! Seriously?! smh There is a very serious VACUUM in our Leadership jamani hadi natamani kulia. Hata tulivyokuwa Watoto tuliongozwa vizuri zaidi ya hivi; yaani Mzazi anakuchapa, unalia, then yeye huyo huyo anakubembeleza OR anakwambia “nani kakuchapa tema mate tumchape” unatema kwenye mkono anajipiga mwenyewe then wewe unanyamaza. Imagine the Protector & Comforter of the People (GOVERNMENT) can’t even do that old trick, instead anatu GASLIGHT. Sijaongea zaidi ya mwaka kuhusu mengi, nimekuwa kimya napambana na maisha binafsi, ila sio kama sioni na sisikii, na siguswi. Ila siwezi kaa kimya kwenye hili, Familia za watu zimeachiwa simanzi na majeraha, Msemaji Mkuu wa Serikali anasema “kupotea ni Mchezo tu”. Mzee Kibao katekwa na kauwawa, Deusdetius Soka katekwa (Nililia kuona clip ya Bibi yake akilia), Sheikh kauwawa Zanzibar, Mdude Chadema katekwa na tumeona damu za kuashiria kuumizwa in the process, allegedly Humprey Polepole ametekwa na kuna Damu pia (kama kwa Mdude), na wengine wengi ambao sio maarufu ila watu wame ripoti. And that is the best response ya serikali? Yaani bora useme “No Comment” kuliko ku-justify vitu kwa logic za kitoto. Shame on you Msigwa! I hope mnatambua sumu mnayoipika… in due time you will. The Leader
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Indonesia
31
65
363
13.6K
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
Hichi kipindi inspector kila akitokea jua ni moment of truth if not clarity Diss track zake alikuwa anakuja na mafaili kama LISSU pale kisutu ana kudiss na elimu juu Na anakuachia homework, SIJUI NI DISS AU MASIMANGO HAYA 😂😂
chizzo drama tweet media
Filipino
5
8
114
4.3K
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Dawa nzuri ya Mafua ni dawa gani? Maana nisha tumia dawa kibao na sioni dalili nzuri.
Filipino
5
0
15
748
1: - X
1: - X@joehustl·
@ChrissFundi Kwa hio jamaa ndie anayeitomba nchi saa hv😂
Suomi
5
0
4
3.5K
Tabasamu pharmacy
Tabasamu pharmacy@simonsalimini1·
@NiiteSonga Ma super EMC tunashuka namna hii Nasiyo wewe kapuka unaekuja pupa kama fally Situka B siyo unakutupuka na fashion Utanyukwa watuka RIP ET Mimi balaa ndo mitaa inavyosema Nitabaki shujaa kama vile star kwenye sinema ... @pmawenge
Indonesia
0
1
2
121
Tabasamu pharmacy
Tabasamu pharmacy@simonsalimini1·
@BabuBomba4 Maalimu Nash ni mnomaa Sana anajua kuimbisha raia vibaya mno ✊ tulikuwa nae Tunduma aisee siyo mchezo
Filipino
3
1
3
55
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Kwenye Show ya Tukusa una enjoy performance ya nani zaidi. 1 Songa 2 Pmawenge 3 Nikki mbishi 4 Maalim Nash 5 Mansu lii 6 Ghetto ambassador. Na kwanini?
Filipino
6
4
35
1K
Tabasamu pharmacy retweetledi
N.S
N.S@Sarkodie______·
Went out to eat 😊🤎
N.S tweet mediaN.S tweet mediaN.S tweet media
English
512
1.3K
23.7K
914.5K
Mr Nyongololo
Mr Nyongololo@diojariko·
@Wakazi Unajua but khaligraph kakuzidi vtu vingi hasa kwenye uchanaji.
Indonesia
1
0
2
107
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
BABA WA BABA YAO: Episode Two Kasongo Jones (Khaligraph Fraud) alikuwa anafuata nyayo za Baba yake Beberu, kwa kupita kwenye beat ya “Hell On Earth” ya Mobb Deep. Wakazi did it in 2010… Kasongo Jones kafanya 2017 and still ilibidi asaidiwe na Manzi (Cashy) na bado hajafikia level za lyricism za Beberu. Na Manzi kamfunika 😩😩 Kasongo eeeeh. You’s a 🤡🤡🤡 !! Nikiwaambia kuwa mimi ni baba yake huyu @KHALIGRAPH muwe mnanielewa.
Indonesia
10
15
53
3.7K
Tabasamu pharmacy
Tabasamu pharmacy@simonsalimini1·
@DullahTheking2 Upo sahihi kabisaa huyo dogo ni MOJA ya marapa Bora sanaaa anakupa kila kitu lyrical, flow na pia bilingual 🙌🙌
Filipino
0
0
1
35
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
SALMIN SWAGG>>>CONBOI & YOUNG LUNYA 📌🚶🏾‍♂️
Filipino
43
23
273
17.2K
Tabasamu pharmacy
Tabasamu pharmacy@simonsalimini1·
@BabuBomba4 Muda umefika ya chiku k ft Ditto bila kusahau nyimbo nyingi za THT za kina barnaba,Lina na Amini 🙌🙌 Mimi ukiniuliza maproduza Bora bongo Duke yupo pale juu 🙏🙏
Indonesia
1
0
1
18
Tabasamu pharmacy
Tabasamu pharmacy@simonsalimini1·
@BabuBomba4 Daah duke touches moja ya maproduza Bora Sana kutokea bongo ngoza aliwahi katengeneza kabla ya hizo hit za Tamaduni music ni Jose masihara ya Jose mtambo wakiwa na j murder,,nyimbo ya O ten ft child Benz nakaza roho akiwa sey records,,tatu bila rmx ya tmk wanaume halisi,muda umef
Indonesia
1
0
1
81
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Bongo hakuna presenter anaweza kumualika Duke Tachez. Kama kuna presenter angeona jinsi mashabiki tuna hamu ya kumsikiliza Duke akihojiwa wasenge chezea hiyo karata. Wanasema bro ana misimamo mikali ila sidhani kama anaweza kugomea Mahojiano. Mfano tumpendekeze presenter yupi?
Indonesia
21
5
72
2.3K