
Please retweet and promote
Ally Baharoon@venturally
@moodewji Ninaandaa chama cha watanzania wenye mitindo maalum ya uzungumzaji (kigugumuzi) na lengo lake ni kukuza ujumuishaji zaidi wa kijamii, ujenzi wa ujasiri, na kujithamini. #MoGifts2020 itatusaidia kujenga jamii ambapo kile tunachosema ni muhimu zaidi kuliko jinsi tunavyosema.
English






