MhiniⓂ️
14K posts

MhiniⓂ️
@tea12cup
Human rights, we're equal under the law, no to racisim, we need better income for living 🙏🙏 let's fix our differences
Doreen38@14 5695 Katılım Mart 2021
1.2K Takip Edilen1.8K Takipçiler
MhiniⓂ️ retweetledi

Wakuu wa Mikoa wachaguliwe na wananchi moja kwa moja, wawe na baraza lao la utendaji, RCC ziwe Bunge la Mkoa. Futa maDC. Wenyeviti wa Halmashauri au Mameya wa Manispaa/majiji wafanye majukumu ya kisiasa anayofanya DC sasa. DED afanye majukumu yote ya kitendaji ya DC na DAS
Joel Ntile@JoelNtile
@Semkae Futa wote DC na RC. Majukumu ya DC kama mhamasishaji wa maendeleo aachiwe Meya au M/Kiti wa Halmashauri. Mengine yanayohusu utawala yabaki kwa RAS na DED. Rais anazo taasisi nyingine ground ambazo ndio jicho lake.
Indonesia

@Baradhuli2 Raisi wako anakiogopa kuliko ukoma ila wewe umekaza tu fuvu na elemu yako mbalimbali

Kwani hiki chama cha mashog kinashida gani?

Rose Mayemba@rose_mayemba
Kwani sisi wanawake ni viumbe vilivyolaaniwa? Kwanini kila kiumbe dhaifu hufananishwa na Mwanamke? Siku nyingine wekeni hata mnyama mbaya please... Mbali na ukweli kwamba Samia katuchafua lakini yuko Netumbo Ndaitwah kule Namibia anatuheshimisha sana.
हिन्दी

@Sativa255 Unakuta mzazi anasomesha mtoto shule za gharama ada mamilion kwa mwaka, halafu maofisini wamekaa wenye elimu mbalimbali form four failure🤔.
Indonesia

@HildaNewton21 Kichwa sana huyu, elimu yake yote kapiga akiwa kalala kwake
Indonesia

Nduli Idd Amin Mama yeye kasoma degree ya mambo mbalimbali huko Pakistan.
Sasa angalieni CV ya huyu kilaza mwenzake aliyemteuwa kuwa Naibu Waziri haram wa ajira, hivi kweli huyu anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani?
Waziri haram anacertificate 3 na zote ni za online halafu vyuo vyote alivovitaja kwenye CV yake hata ukiingia google kuvitafuta havipo isipokuwa kimoja tu maana yake yuko na Certificate za kununua pale Karikakoo kwa Machinga wa vyeti vya Taalum.😂
Kwamba Waziri haram mwenye certificate za mchongo ndio ataongoza wizara ya ajira?
Mtu kama huyu atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira?
Waziri gani ana udaktari wa mchongo ule wa kununua kama ule wa Babu Tale?
Nduli Idd Amin Mama kaamua kujaza vilaza wenzake ndani ya Serikalini haram maana hapendi kabisa maana watu wenye akili maana anajua watamchallenge.
Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze halafu hapa mtegemee nchi itasonga mbele.🚮🚮🚮🚮

Indonesia

Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.
Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee..
Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza.
Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm.
Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale.
Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo.
Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara..
Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!!
Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike..
Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi

@therealrigoh Bado kuna tiketi tatu zimebaki pale kwa dollar 2.3m kila moja ...wahi sasa
Filipino
MhiniⓂ️ retweetledi

#Pichani anaitwa Damuru ni mkazi wa Mburahati, ametekwa mida hii na watu wasiojulikana, watekaji walikuwa wamevaa musk nyeusi usoni.
Walikuwa na gari ambalo mbele lilikuwa na plate number 125 DFPA na nyuma namba 28957

Indonesia

@swahilitimes Mbona mimi nawatukana kila siku na hawanikamati wakati naishi jirani na central. Mbwa sana @tanpol nyie ni nyoko. Mmewapiga risasi ndugu zangu wa 2 wakiwa likizo nyumbani kwetu, hata maandamano hawakushiriki. Kamwe sitowasamee, ntapata amani hadi nilipe kisasi, mbuzi nyie.
Indonesia

Jeshi la Polisi limesema limewakamata watu watatu wanaodaiwa kutumia mitandao ya kijamii kuwatusi wengine wakiwemo wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa Ghasia za Oktoba 2025.
Polisi wamesema watuhumiwa hao wamekamatwa mikoa ya Arusha, Iringa na Mbeya, huku msako wa kuwakamata wengine ukiendelea.

Indonesia
MhiniⓂ️ retweetledi

@PMadeleka Utaitwa muuaji pia mzee wangu, mashabiki wa ripoti ya chundu sio waadilifu kabisa
Indonesia
MhiniⓂ️ retweetledi

@BattawySaleem Nilitaka nikujibu kumbe ni wewe mzanzibar hata shule hakuna kwenye vichwa vyenu.
Indonesia











