pasptechs255

165 posts

pasptechs255

pasptechs255

@techs255

lets build the tech industry having techs problems? dont hesitate to contact us via our email [email protected]

meta Katılım Haziran 2020
181 Takip Edilen116 Takipçiler
pasptechs255 retweetledi
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Mifumo yetu ni ya KIBEBERU ambayo haina utu kabisa.. Inawezekanaje, ambae halimi ndo ananufaika zaidi na Kilimo kuliko mkulima.
Indonesia
7
3
37
1.6K
MāđýPùņđıť🦁
@techs255 @EsirEid Niliacha ndala huko. Ni Mkoa jau sana Poor Infrastructures Watu wanaamini sana uchawi kuliko kitu chchte Hawana pesa wanasurvive tu[low purchasing power] Binafsi Never ever again haswa ukiwa sio mzawa sikushaur kwenda, nilitelekeza biashara zangu na sitokuja kujutia kuondoka
Indonesia
2
1
1
93
pasptechs255 retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Hii nimeipenda sana inapaswa kusambaa kila sehemu. #Repost
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
16
334
1K
10.8K
ALLY MSANGI
ALLY MSANGI@ally_eh·
Mwanza ni Jiji Moja la ovyo sana linapokuja swala la bara bara.
Indonesia
26
4
70
7K
pasptechs255 retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Never forget that Samia Suluhu killed thousands of our compatriots. It is incumbent on us to ensure accountability is attained. We must strive to fully restore the integrity & dignity of our land and The People, respectively!
Tito Magoti tweet media
WelBeast@WelBeast

Bro to Bro:

English
8
157
505
14.5K
pasptechs255
pasptechs255@techs255·
Fyekaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Eesti
0
0
0
1
pasptechs255
pasptechs255@techs255·
Mko na uhakika kuwa hii elimu ya TAMISEMI ni ufunguo wa maisha?
Filipino
0
0
0
2
Eng_Lumilelo
Eng_Lumilelo@andrew_mwakyusa·
@lifeofmshaba Na kwanini tutafute mafuta ya kupikia kutokea nje wakati tuna mafuta kutoka Dodoma, Singida, Shinyanga na mikoa mingne 1. Singida- Alizet 2. Dodoma- Alizet na Ufuta 3. Morogoro-Ufuta 4. Shinyanga - Mafuta ya Pamba 5. Kigoma -Mawese. Nakadhalika Mungu alitupa viongozi gani sisi
Filipino
1
3
17
2.1K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Ila Zanzibari this time wametupata Tajiri wa Zanzibar anaingiza mafuta kwa bei nafuu kutoka nje ya Zanzibar Kisha anasema ana mafuta anapeleka Tanganyika Mafuta ameingia huko kwa utaratibu tofauti yaani nafuu Hii maana yake nini — Ajira za Watanganyika kwenye viwanda vya mafuta hatarini — TBS imezungukwa na itapewa amri kutulia, magojwa kama figo mtaona yakiripuka maana hayo mafuta ubora wake itakuwa tia maji tia maji kwa lengo la kupata faida , mnafikiria mtu anaweza ingizia mafuta Zanzibar kisha anayasafisha tena kuja Tanganyika hiyo gharama ya shusha pandisha nani anailipa? Hapo wana cheza na ubora na mkifa kwa Bi Msumi sio issue — Tanganyika kukosa kodi ya haki kuna amri kuhusu namna hili kufanyika kama wanabisha wasema Zanzibar viwanda vinazalisha mafuta kiasi gani kutokana na mazao gani! Yaani Tanganyika ikose mafuta ya kula halafu Zanzibar tawepo mpaka kuleta huku eti magendo !? Kwa nini Polisi nao wasianze kuiba usiku hili kuzuia ujambazi, yaani wahuni wakifanya kitu kinahalalishwa !? — Bandari za Zanzibar kupokea haya mafuta kisha kuvusha Tanganyika na majahazi ni kutorosha uchumi wa Tanganyika kwenda Zanzibar kwa kuchepusha meli za mafuta zilizotakiwa kuja Tanganyika zikashushe Zanzibar Mnajua meli za madawa ya kulevya zimesajiliwa Zanzibar, mipango yao ni kushusha mzigo Mwingi Zanzibar kisha kuuleta Tanganyika wakati ulitakiwa shuka Tanganyika kwenye bandari kubwa na ukaguliwa, ukishashuka Zanzibar unakuwa kama mzigo wa ndani Hapo ndipo madawa ya kulezwa yanakwenda ingizwa kama mchanga Hawa wapumbavu wanatafuta kila sababu kuingiza hiyo stock ya madawa ya kulezwa wameficha hapo kizimkazi, wameruka na mandege na kuingia hapo mzigo namna ya kuutoa hapo ndio issue maana watu wa TISS upande wa Tanganyika hawaaminiki na Bi Msumi Huu upuuzi tuukatae, mzigo wa Tanganyika ambao sio original ya Zanzibar usishuke Zanzibar hakuna maana yoyote kufanya hivi kimiundo mbinu, kiuchumi, ajira na Kodi pia usalama wa Tanganyika Huu Muungano siku ukifa wengi tutapata furaha sana
Think Different tweet media
Indonesia
36
58
327
32.5K
pasptechs255 retweetledi
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Tenga dakika chache kila siku kukumbuka kuwa watawala waliamuru polisi wafyatue risasi, na matokeo yake wakawapiga risasi vijana waliokuwa kwenye banda la kutazama mpira.
Filipino
17
205
924
20.6K
pasptechs255 retweetledi
Dr. Keroche Moro.🔬🔬
Dr. Keroche Moro.🔬🔬@NchiAhadi·
Ukweli ni Kwamba wale jamaa zetu wa visiwani IQ yao ni ndogo sana kupewa nafasi kubwa ya uongozi kwenye serikali ya JMT ni tunawabebesha mzigo mkubwa ambao hawauwezi kabisa tuwe makini na hili swala 2030.
Filipino
20
19
212
11.1K
pasptechs255 retweetledi
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Kwa nini waajiri wasiwachukue wahitimu wa Vyuo moja kwa moja bila kuwafanyisha mtihani na usaili? Je wanakosa imani na mfumo wa Elimu uliowaandaa wahitimu hao?
Indonesia
18
13
118
6.5K
pasptechs255 retweetledi
Lug
Lug@lugmeryz·
@AlexSamoja @Gibson44178359 Miongoni mwa miradi makini ambayo serikali zote za CCM zimeitelekeza kwa uhakika ni mradi wa "Ujinga, Maradhi na Umasikini" Huu ndio mradi unawapa uhakika wa ccm kuongea uongo na kutufanyia takataka zote sababu wana uhakika watz wote tupo ndani ya reli
Indonesia
2
3
21
645
pasptechs255 retweetledi
CONGRATULATION!
CONGRATULATION!@Ponge_Bromine·
Do you remember this? We will never ever FORGET.....29 OCTOBER 2025. 😤
CONGRATULATION! tweet media
English
13
105
443
7.9K
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Wenye GPA wanasubili wakashindanishwe kwenye interview ili wapate ajira wakati nchi za Asia, ulaya na marekani wenye GPA wanatengeneza makampuni yao. GPA zetu za mchongo harafu tunavimba🤣😂😂
Indonesia
10
12
74
3.8K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Mnaosema GPA kubwa inakupa competitive Advantage, nitajieni GPA ya Rais Wenu na ya Naibu Waziri wa Elimu.. afu mnitajie GPA ya Tundu Lissu. 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Indonesia
59
69
695
33.8K
pasptechs255
pasptechs255@techs255·
@DMaabara We hujiulizi kwanini maprofesa wanaacha ulecture wanaenda kuwa wanasiasa?? Jiongeze mkuu
Indonesia
0
0
0
97
Daktari Wa Maabara 🔬
Daktari Wa Maabara 🔬@DMaabara·
Pale Muhas Na UDSM Huwezi Kufundisha Kama Una GPA Second Class😎.
Indonesia
12
6
200
11.8K