๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž

39.2K posts

๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž banner
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž

๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž

@techygaspar

Possessing Laptop is the First Thing to gain Access to the world of technology Get one from our store at Affordable Price. Call+255748 262 715

Dar es salaam ,Tanzania Katฤฑlฤฑm Mayฤฑs 2020
993 Takip Edilen9.5K Takipรงiler
SabitlenmiลŸ Tweet
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž
FAHAMU: Mambo 10 ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Computer Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, uzi huu utakusaidia kufanya mmchaguzi ๐Ÿ‘‡
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž tweet media
Indonesia
27
178
353
57.9K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255ยท
Wanao tumia "disappearing message" WhatsApp wakifika miaka 45 wanakuwa na sifa ya kujiunga chama cha wachawi.
Indonesia
44
32
613
29.4K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechsยท
Zamani ulisikia nini kuhusu hii Minara ya simu na mahali hii minara ilijengwa ?
#TOTTechs tweet media
Filipino
13
4
73
6.5K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Unite
Unite@ifafricauniteยท
Mjue Robert Chesebrough: Mvumbuzi wa Mafuta Maarufu leo hii Vaseline. Wakati wengine wakikimbilia fulsa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu. Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo: "Innovation doesnโ€™t happen in laboratories; itโ€™s discovered in the field." Na hii ndiyo hadithi yakeโ€ฆ
Unite tweet mediaUnite tweet media
Filipino
40
182
1.8K
373.1K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Jayleen ๐Ÿ’ž
Jayleen ๐Ÿ’ž@JayleenRickieยท
Nasoma Comments ๐Ÿ˜
Jayleen ๐Ÿ’ž tweet media
English
160
35
613
133.6K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLowยท
๐Ÿ’จ Huwezi download VPN bila kuwa na VPN ๐Ÿ˜‚
James Munisi tweet media
Indonesia
48
26
393
0
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Unite
Unite@ifafricauniteยท
Mjue John McAfee: Muanzilishi wa McAfee Antivirus, Najua wengi wetu tunaitumia sana antivirus yake. "Mwana aliegawa laptop kwa kiongozi wa Serikali akiwa ameweka spyware bila wao kujua na kugundua kuwa viongozi fulani, walikuwa wakifanya biashara haramu" Na hii ndio short story yake, shuka nayo.
Unite tweet mediaUnite tweet media
Indonesia
36
73
955
200.4K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Revocatus Millambo, Ph.D.
Revocatus Millambo, Ph.D.@Millambo_ยท
Unapoanza kunyanyuka kiuchumi jitahidi masikani wasijue ukweli wako, especially sehemu uliyozaliwa. Siku zote play kama underdog, acha sifa za kijinga. Hakuna mtu anahangaika na mtu anadhani anamzidi kimaisha. Sasa jichanganye.
Indonesia
25
107
677
24.2K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Alpha Index
Alpha Index@Alphaindextzยท
Kuna watu hudhani kofia au kifuniko cha peni ni ya kufunika tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo. Hili shimo au kitundu dogo kwenye mfununiko ya peni siyo mapambo wala ajali ya utengenezaji. Lina umuhimu mkubwa wa kiusalama, na leo utagundua kitu kipya. Soma zaidi: ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Alpha Index tweet media
Indonesia
4
17
70
40.9K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
T
T@TMnyama4_ยท
Wewe una miliki card ngapi mpaka sasa 1.Kadi ya NฤฐDA 2.Kadi ya Kupiga Kura 3.kadi ya bank 4.kadi ya NHIF 5.Kadi ya NSSF 6.Kadi ya Mwendokasi 7.kadi ya Pantoni 8.Kadi ya ccm/chadema 9.Kadi ya Yanga/simba 10. Kadi ya Mzanzibari 11. ....... Taja nyingine
Indonesia
51
9
159
12.1K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Free Movies Delivery
Free Movies Delivery@latariicoยท
Top 25 | Documentaries kalii Zinazohusu UJASIRIAMALI๐Ÿ’ฐ๐Ÿ”ฅ Nambie ushacheki ngapi kati ya hizo? โš ๏ธKama una ndoto za kuwa mjasiriamali AU ni mjarisiriamali. nashauri ucheki hata 40% ya hizi.
Free Movies Delivery tweet media
Indonesia
13
44
97
243.1K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36ยท
Wakuu ni Website gani nzuri ambayo naweza kuchek gemu za Ulaya, Natanguliza shukrani
Indonesia
43
72
717
98.5K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
It's MalekoGJ.
It's MalekoGJ.@GoodluckMalekoJยท
KIPI CHANZO CHA HITILAFU SUBMARINE FIBER CABLES?? โžคJe, umewai kujiuliza mtandao unavyofanya kazi? โžคCables za nyuzi za baharini ndizo mishipa ya habari ya dunia! Zina uwezo wa kubeba data zaidi ya mabilioni kwenye kidole chako kidogo. Cable hizo huitwa SubmarineCable.
It's MalekoGJ. tweet media
Filipino
30
181
1K
168.4K
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Splendor Kyrios๐ŸŒด
Splendor Kyrios๐ŸŒด@Skyfly_gainsยท
Good morning ๐ŸŒž Chagua marafiki wanaokuongezea thamani, si wanaokupunguzia ndoto. Heshimu wazazi wako, maana baraka zao ni kinga isiyoonekana. Usifanye mema kwa kutafuta sifa; fanya kwa sababu ndivyo ulivyo.
Indonesia
32
24
58
717
๐†๐š๐ฏ๐ข๐ง๐๐ž ๐Ÿ’Ž retweetledi
Maverick ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด
Maverick ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด@Enemy_19ยท
Wamasai wa mjini ni halali kabisa wawe wataalam kwenye Pool table ๐Ÿ˜‚ Wewe mtu halipi kodi wala bills za aina yeyote hapa mjini unategemea utaweza kushindana naye kwenye hilo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Filipino
10
11
151
7.1K