
Tinga Ramba
15.9K posts

Tinga Ramba
@tingaramba
JUSTICE BE OUR SHIELD AND DEFENDER!







Its my birthday weeek!!! 💃💃💃💃







wewe ulienda kupiga sherehe Alfakeer, yet unajua vizuri huko watu wengi huenda na agenda ya kuiba na kuibiana .Alafu unataka kuniambia uliweka opulence kando? Wacha hizo 😏 Ulinunua liquor ya bei juu.. ikakuja na DORIMR ! ukazunguka kila corner ya place kama boss, umebeba key ya BMW mkononi kama trophy, uki-flash kila mtu. Na bado hukujali kuweka simu zako za bei mbaya na gadgets zingine safe,ulikuwa nazo tu hapo wazi wazi. Yaani ulikuwa unaonyesha vile umeomoka, flexing bila brake, mahali watu wengine wako kazi yao ni kutafuta opportunity ya kukusafisha. Ni kama uliingia battlefield bila armor, ukisema “kujeni tu” 😂 Omwami @mbiti_mwondi uko na bahati sana ,huko unaweza ata toka nje ufike kwa parking ukose gari yako . 😂😂😂🤣


We're Live Codex Meetup Nairobi, Full House 🔥 @blackie_360 @gabrielchua @OpenAI @OpenAIDevs

Beshte yangu walilewa na dem jana. Wakakua na happy ending. Sahii anaaamshwa na rape accusations. Dem amemchukulia OB. TF??



An insecure man akiwezanidate depression itammaliza🤣🤣🤣














