
"Hivi kuna app naweza kutumia kusave kwa ajili ya kodi kuliko kulipa yote kwa pamoja siku moja?" "Hivi naweza kujenga kwa kununua vifaa i.e cement?" I’m building @makazii_app in public – a game-changer to help you save step-by-step for your dream home!

















