Giant's bane
2K posts

Giant's bane
@tweetsby_Allen
|Beyond the expectations.| Just an ordinary man struggling to make ends meet.| One of three Dad's stubborn boys. #GOD, #wealth, #family.







Dar - Pwani - Morogoro - Iringa - Njombe - Mbeya - Rukwa - Katavi - Kigoma - Kagera - Geita - Mwanza - Simiyu - Mara - Arusha - DAR. 🚶


Huu ni mwezi wa pili sili mchana ila ndo kwanza zimepungua kilo 6 tu 😤



Huwezi mshtaki mtu kwa kufanyiwa bullying mtandao uliofungiwa na Serikali.!! 😂


@DadaConso bei yenyewe sasa lita 10 40K


JUST IN: Tanzania and Kenya have signed a mutual legal assistance agreement on criminal matters today at State House during William Ruto’s official visit to Tanzania.

@DadaConso Hapo sawa, ila pia ni kumind unachokula, Carbs kidogo sana, proteins za kutosha, vitamins na fats kiasi. Usijaze sahani.


@DadaConso Naomba kuuliza hapo vitu kadhaa, kulala kwa wakati ni ile kulala in btn saa 4 hadi saa 5 na kuamka anywhere btn saa 12- saa 2 au kulala masaa 8? Kingine binadamu tunatofautiana ujue, kuna anaelala 8 hrs + na hasipumzike na kuna mwingine masaa 7 tu kulala ni kipengele? Kipi hapo?


@DadaConso Hapo kulala kwa wakati

Why are we normalizing obesity 🥺


