twende

32 posts

twende banner
twende

twende

@twenderide

Rekwesti twende pamoja

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2026
0 Takip Edilen116 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
twende
twende@twenderide·
Mwezi mmoja wa twende💚 👥 Watumiaji 6000+ 🚘 Madereva 3000+ 🚗 Safari 1000+ Rekwesti twende ukiwa Dar es Salaam, kuna ofa ya hadi 20% ukitumia Promo Code ya TWENDE PAMOJA. Kumbuka dereva una keep 100% ya faida yote! #twendepamoja
Indonesia
2
7
12
4.6K
twende retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kila safari unayochukua na @twenderide si usafiri tu ni mchango wako katika kujenga uchumi wa wazawa. Bei nafuu kwa mteja, maslahi bora kwa dereva, na huduma inayokujali kila hatua ya safari. Chagua Twende Ride.
Safari yenye thamani kwa kila Mtanzania. #TwendePamoja
Indonesia
1
7
12
566
9 years
9 years@_justslowly·
@twenderide @Arafat__AH Wakuu pambaneni sana na matangazo wateja wawe wengi hatupati kabisa abiria,pia changamsheni na usiku hasa weekend
Indonesia
1
0
0
8
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Misa ya kwanza na familia kanisani ilirahisishwa na wenetu wa @twenderide Wife alishangaa nauli niliyolipa ilivyo kitonga😄
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
3
8
44
1.8K
twende retweetledi
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
It’s Sunday, nenda popote kwa gharama nafuu na @twenderide
M A G I R I tweet media
Filipino
0
8
11
2.3K
KYOMA
KYOMA@godypopeye·
@chapo255 @twenderide Bado dereva hapewi thamani kwenye hizi app , wapambanaji wenzetu wanaummizwa sana.
HT
2
0
0
21
twende
twende@twenderide·
Mkoa gani twende baada ya Dar?
Indonesia
0
5
4
891
twende
twende@twenderide·
Kwa fasi ya madereva wa twende boda😃
HT
0
4
2
633
twende
twende@twenderide·
@chapo255 😆😆 Kula li ofa hilo la 20 pasenti ishi nalo!
Filipino
1
0
0
67
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Mguu wa kutoka sio wa kubaki ndani haijalishi tunaenda kupiga dili gani, tunateleza na @twenderide
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
2
14
24
6.1K