9 years

1.5K posts

9 years

9 years

@_justslowly

Charming, Secretive,Young African

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2022
121 Takip Edilen70 Takipçiler
9 years
9 years@_justslowly·
@Uherry14 Kulikuwa na uchaguzi wa diwani kata ya Mzimuni Magomeni,aliyekuwepo alifariki
Indonesia
0
0
1
96
H E R R Y 🦉
H E R R Y 🦉@Uherry14·
Leo kuna nini mbona Polisi wengi sana Mtaani ??
Indonesia
19
15
283
34.5K
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Mohamed dewj hajafanikiwa sababu ya elimu, bakhresa hajafanikiwa sababu ya elimu, Mengi vivyo hivyo,...ukiangalia kila mmoja kuna kitu anauza...Mo, maji, unga wa ngano, vinywaji...hii inaonyesha wazi kwamba inatakiwa mtoto wako ajifunze selling skills na busness plan nje ya elimu....
Indonesia
14
30
87
3K
9 years
9 years@_justslowly·
@Adv_innocent Hii ya elimu umeiweka kwa ujumla sana,elimu ni muhimu sana kwenye kila kitu tukifanyacho,utofauti ni kwamba ipo elimu rasmi hii ya kujaza makaratasi na kuvaa majoho na elimu isiyo rasmi ambayo nadhani ndo umemaanisha kwenye tweet yako,cha muhimu kuelimika na sio mavyeti mengi
Indonesia
1
0
1
8
9 years
9 years@_justslowly·
@twenderide @Arafat__AH Wakuu pambaneni sana na matangazo wateja wawe wengi hatupati kabisa abiria,pia changamsheni na usiku hasa weekend
Indonesia
1
0
0
12
9 years
9 years@_justslowly·
@RKishaija81715 Yaani mi mwenyewe najiulizaga hili swali nashindwa kupata jibu kabisa,hawa wapangaji sijui wanatokaga wapi aisee na cha kushangaza kabla jengo halijamalizika unaambiwa lishajaa tayari
Indonesia
2
0
3
734
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Hizi apartments zinajengwahapa Dar ni nyingi mno kuliko households zenye uwezo wa kurent Sijui watatoka wapi wakuzijaza
Indonesia
39
24
461
32.4K
9 years
9 years@_justslowly·
@Mwinshehe07 Inawezekana wana maslahi nalo sana ila vp kwa ambao wanahitaji kufahamu ukweli wa jambo husika bila kuegemea story ya upande mmoja?
Indonesia
0
0
0
160
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Wale jamaa wa kijani na njano ukiona wanashabikia jambo jua Wana maslahi nalo!
Indonesia
24
57
268
7K
9 years
9 years@_justslowly·
@INFLUENCERjr Yaani wasomaji tunafaidi sana kufahamu ufahamu wa watu wengi humu ambao hujinadi kwamba wana uelewa mkubwa wa mambo,watu wanajiweka uchi sana
Indonesia
0
0
0
14
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Leo ndo ile siku unapita unasoma kitu unaguna tu unapita.
Italiano
2
1
21
4.3K
9 years retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Target hapo ni mimi wewe hujui. Nilishawahi kufanya kandarasi kama environmental consultant wa kampuni iliyokuwa ikiendesha machinjio ya punda (HUACHENG INTERNATIONAL LTD) iliyomilikiwa na raia wa china. Wakati ule kulikuwa na mjadala kuhusu sustainability ya mradi kutokana na reproduction rate ya punda hali iliyolazimu baraza la taifa la mazingira NEMC kutoa EPO kwa client wangu. Tukishirikiana na NEMC ikafanyika EIA na EA ambazo zilikuja kuruhusu mradi uendelee. Kila decision ilifanyika on merit kwa hoja za kitaalamu. Mshabaha sasa amebaki tu na Obsession inayomsumbumbua kuhusu mimi kwani hakujakuwa na damage aliyoitegemea kwenye mauzushi yake sasa anaamia kwenye ujuzi wa mtu. Sema nitakuja na andiko zuri sana. Hii tabia ya mtu kutumia paranoia yake binafsi kushutumu kila mtu hakika itakoma. Inatakiwa zifanyike harakati za wazi zenye malengo thabiti ya kubadilisha mfumo wa kisiasa. Kusiwe na harakati za kutumiana. Nawaachia tu swali moja, mnafikiri wanatupenda sana kwa kukaa hapa mtandaoni asubuhi hadi jioni kutupigania? Saa ngapi wanapata muda wa walau kujitafutia kidogo ili waweze kumudu gharama za kujiendesha? Sisi ndio miradi. Simaanishi mtilie shaka kila mtu. Kuna wanaharakati wazuri mnawajua ambao hawana njaa. Taaluma zao hazina shaka yoyote hadi wameweza kuajiriwa kwenye taasisi kubwa za maswala ya demokrasia na haki za binadamu. Hawa mtawajua kwani wako busy na wanatokea humu mitandaoni occasionally at least once or twice a day. Kuna yule dogo. Yule dogo kwanza ana sababu za wazi kuwa mwanaharakati. Inawezekana hakuwahi kuota kufanya harakati lakini mfumo umemtegeneza kuwa mwanaharakati kwa njia walizompitisha. Huyu dogo pia hana njaa. Is doing what is doing kwa sababu amesurvive just an inch kubaki hai. Pia kuna hawa wanaharakati ambao wao muda wote wako salama wakiwa wamejifungia kwenye apartments ughaibuni. Kwa mtaji tu wa Wi-fi huko walipo wanatuma namba za viongozi kutoka nchi walizotoroka na kuhamasisha vijana “kuwasalimia”. Shida inaishia kukupata wewe wanayesema wanakupigania huku wai wakibaki kutuma jumbe mitandaoni kutaka uachiwe huru. Hii ni sawa na yale maswala ya kupiga simu BBC au DW kisha unasema “Trump achana na Irani huna haya?” Wazazi wako, ndugu na jamaa ndio wanaokuwa wanasota kukutafuta kiukweli. (Sitaki kujenga hofu kwa hoja hii. Ni akili pia kujua mazingira ya battlefield yanayokuzunguka ili fanye maamuzi sahii) NB: Pichani nikimzungusha eneo la mradi aliyekuwa Naibu waziri Ofisi ya makamu wa rais, Muungano na Mazingira (Kangi Lugola), aliyekuwa ameeambatana na timu ya wataalamu kutoka NEMC na Jiji la Dodoma.
Fortunatus Buyobe tweet media
Zumbe Mtana@JimmyMtanzania

@lifeofmshaba Hivi mtu akiamua kufungua kiwanda cha kuchinja nyama ya Punda kwa kufuata sheria zote za nchi kihalali kwa kushirikiana na wabia wengine anakuwa amefanya kosa gani? Zingatia neno Kihalali.

Indonesia
44
18
128
87.9K
9 years
9 years@_justslowly·
@fbuyobe Jamii yetu inatakiwa kuelimishwa sana kuhusu neno harakati kwa ujumla,wengi wameweka neno harakati kama kupinga na kupinga na kupinga na bahati mbaya wapo ambao wanafanya biashara ya uwana harakati ambao ni wabaya zaidi kwa nyakati hizi ambazo habari za uzushi ni nyingi sana
Indonesia
0
0
1
2K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mfano mwanaharakati aseme ana taarifa za kiintelejensia kuwa karatasi za ripoti ya tume ya Jaji Chande zimesafirishwa hadi Zanzibar kwenda kuchomwa moto Mimi nikitokea nikamuuliza kuwa kwani Tanganyika hakuna moto wa kutosha kuunguza karatasi hizo? Unajibiwa wewe sio mpambanaji
Indonesia
50
30
461
73.6K
IbRaH
IbRaH@Ibrah_Sheby·
Wapi wanakopesha/kutoa truck za mikataba kama zilivyo bajaji na piki piki nataka nikadake moja nijikwamue kiuchumi wakuu.
Indonesia
31
29
179
11.3K
9 years
9 years@_justslowly·
@abelsima45 @nyamseri Uko sahihi kabisa ila ujue leo kuwa hawa mawakili wa pro bono asilimia kubwa ni vilaza hatari nishashuhudia kesi ya manslaughter wakili anashawishi mtuhumiwa akatae na anapokubali na kutolewa kifungo kdg wakili anakasirika mbaya na prosecutor anamwambia mtuhumiwa bahati yako
Filipino
0
0
0
9
SIMA
SIMA@abelsima45·
@_justslowly @nyamseri Sawa lakini hii ni proffesional misconduct inayoweza pelekea wakili kuondolewa moja kwa moja kwenye orodha ya mawakili lakini pia ni wakili gani mjinga afanye huu upuuzi maana ni anajiharibia yeye mwenyewe na nahisi kiurisia(practically ni rarely sana hii kitu kutokea)
Indonesia
1
0
0
8
9 years
9 years@_justslowly·
@abelsima45 @nyamseri Kinacholeta changamoto hapa ni kuwa baadhi ya mawakili sio waaminifu na wana tabia ya kushirikiana na upande wa jamhuri na watuhumiwa wengi wamekuwa wanafahamu hilo ila ishu ni kuthibitisha hilo jambo ndo maana watuhumiwa wengi huwa wasemi ukweli hata kwa mawakili wao
Filipino
1
0
0
6
SIMA
SIMA@abelsima45·
@nyamseri @_justslowly Ata akikwambia ukweli kuwa ameua hiyo ni siri kati ya wakili na mteja wake na hairuhusiwi kutolewa kwa mtu mwingine yoyote yule sababu wakili huruhusiwi kutoa siri za mteja wako na alichokuambia huwezi kukiwasilisha popote kama ushahidi zaidi wakili ndo unaweza shtakiwa tena
Indonesia
1
0
1
19
9 years
9 years@_justslowly·
@nyamseri @abelsima45 Mawakili hupendelea kutaka kujua ukweli kwamba ilikuaje na mara nyingi watuhumiwa hukataa tuhuma mpaka dakika ya mwisho hata mbele ya wakili wake na bahati mbaya hawa mawakili huteuliwa na mahakama kuwakilisha upande wa utetezi coz watuhumiwa wengi hawana uwezo wa kifedha
Indonesia
0
0
1
10