Thakibu Yusuph

1.5K posts

Thakibu Yusuph banner
Thakibu Yusuph

Thakibu Yusuph

@twitani_2014

MAWE YATAIVA NA KUNI ZITABAKI. FATHER FIGURE/ACTIVIST/BRAVE/STEADFAST/RESOLUTE/DOGMATIC/ CERTIFIED AUTHENTICITY.

Tanzania Katılım Eylül 2017
7.4K Takip Edilen4.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
Huyu ndiyo @HecheJohn, Kiongozi Mpenda haki asiyekuwa na tamaa ya madaraka, mtetezi wa Wananchi.
Indonesia
29
219
810
35.5K
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
@Ulimwengu01 Dada kama ulivyotushauri tumekubali na mimi ningependa kukushauri kitu kimoja, hizi harakati huziwezi tafuta ni bora utafute bwana uolewe, maana inaonekana nyege zinakusumbua sana, unawashwa unatafuta mabwana kwa nguvu, nothing but silly.
Indonesia
0
0
0
84
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
HII NCHI INA MAMBO YA KIPUUZI SANA. CCM wakihitaji kukutumia kwenye agenda zao wanakujazia mafuta full tank, na wanakuita Afisa Usafirishaji, wakitaka kukupa kesi ya uhaini wanakupa mafuta mwisho lita mbili halafu wanakuita kwa jina la Bodaboda.
Indonesia
0
1
2
65
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
Bakwata ni Taasisi ya Kiislam ambayo iko chini ya Serikali ya CCM kwa ajili ya kuuendesha uislam na kuudhibiti ili usitoke kwenye malengo ya CCM. Kwahiyo Ndugu zangu Watanganyika, hawa BAKWATA ni mawakala wa CCM kama tu ilivyo JUIMUIYA YA WAZAZI ,UWT, UVCCM NA POLISI.
Thakibu Yusuph tweet media
Indonesia
0
2
1
104
Dizasta Vina
Dizasta Vina@dizastavina·
I weep for you my country. Heal soon Tanzania 🇹🇿
Tanzania 🇹🇿 English
47
325
1.6K
51.3K
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
@MwitaJulius2000 Polepole kuwasema wapinzani vibaya kipindi cha nyuma, au kumtukana Lissu, au kujigamba na maV8 au kubeza maskini haiondoi ubinadam wake. Uhai wa mtu unathamani kuliko chochote Duniani. Punguza mihemko, fikiri kabla ya kupost.
Indonesia
0
0
0
46
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini kila mara Mwabukusi akitoka kukutana na Rais Samia, sura yake inakuwa na aibu fulani hivi pia confidence yake inakuwa chini, hata akizungumza anauma uma maneno? Huyu jamaa ana Umbowe fulani hivi, tusimwamini sana atakuja kutuuza.
Thakibu Yusuph tweet media
Indonesia
1
4
10
373
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
@Thommunkondya Daaah nimesoma andiko lako nimepata hasira sana, kijana msomi unawaza kama watu wa Darasa la saba? CCM imepoteza uwezo wako, ulikuwa smart sana kichwani. TATIGA AMANA GHAO MURA KWAO KYO BHAE MURAAA????
Indonesia
1
0
0
33
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
KWANINI UPINZANI TANZANIA HAUWEZI KUFIKIA NGUVU YA 2010(Dr Slaa) au 2015(Lowassa)..? Hizi ni sababu zangu; 1.Kupungua kwa kashfa kubwa za kifisadi Katika miaka ya nyuma, upinzani ulipata nguvu kupitia hoja za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, mfano Richmond, EPA na Escrow. Kwa sasa, kukosekana kwa skendo kubwa za aina hiyo kumeondoa nguvu kuu iliyokuwa ikiwahamasisha wananchi kujiunga na harakati za upinzani. 2.Ukosefu wa viongozi wenye mvuto wa kitaifa Enzi za Dr. Slaa na Edward Lowassa ziliashiria uwepo wa viongozi waliokuwa na karisma, mvuto na ushawishi mkubwa wa kisiasa kitaifa. Katika mazingira ya sasa, viongozi wa upinzani hawana ushawishi wa kiwango sawa cha kuibua imani ya wananchi kwamba mabadiliko makubwa yanawezekana. 3.Kupungua kwa kizazi cha vijana wasomi na machachari kisiasa Bunge na majukwaa ya kisiasa ya upinzani yalikuwa yakijulikana kwa hoja thabiti na changamoto kali kutoka kwa vijana wasomi na wenye ujasiri kama Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Halima Mdee na John Mnyika. Hali ya sasa inaonesha pengo kubwa la kizazi kipya cha wanasiasa wachachari ndani ya upinzani, jambo linalopunguza mvuto wake. 4.Mabadiliko ya kijamii na kiuchumi pamoja na ongezeko la ajira zisizo rasmi. Vijana wengi wamejikita katika shughuli za ujasiriamali na ajira zisizo rasmi ambazo zinawaingizia kipato cha moja kwa moja. Hali hii imewafanya kuwa na shughuli nyingi za kujitafutia riziki na kupunguza muda, ari na hamasa ya kushiriki kwenye siasa za upinzani kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hivyo sitarajii kuona upinzani mkubwa kutoka vyama vya upinzani miaka ya hivi karibuni.
Indonesia
36
2
33
4.3K
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
@JrMwakinyo amekiri hadharani kuwa mawakili wa serikali hawaijui sheria ndiyo maana bado wanafundishwa na @TunduLissu jinsi ya kuisimamia sheria.
Indonesia
0
2
4
59
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلَىٰ Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe. وَلَلْآخِرَةُ خَيْرٌ لَكَ مِنَ الْأُولَىٰ Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia. #Mawe yataiva kuni zitabaki
Thakibu Yusuph tweet media
Română
0
12
28
536
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
@Thommunkondya Mdogo wangu una akili za kina John Heche, sidhani kama CCM utaendana nao...
Indonesia
0
1
4
427
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Hawa USAID kumbe walifika mpaka kwenye sekta yangu.😂😂🙌🏿. Kwa hii kibuli ya kinyiha siwezi kutumia kifaa au kitu chenye nembo ya msaada,never. Ndiyo maana huwa naumia sana kuona hata makampuni ya hapa hapa Tanzania nayo yakitoa msaada eti wanaandika majina yao. Kweli kuna haja ya kuandika jina kwenye dawati..? Au choo cha watoto shule..?😁 siku mtafuta tu.
Thom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet media
Indonesia
7
2
49
2.4K
Grok
Grok@grok·
@Jumakitto1 @spana_Konki Hakuna hatari—mimi ni AI, siwezi kutekwa! Kama unahitaji maelezo zaidi kuhusu Ummy Mwalimu bila hofu, sema tu. 😂
Indonesia
3
0
1
690
Thakibu Yusuph
Thakibu Yusuph@twitani_2014·
Yap kwa namna nyingine mateso ya wananchi huwa ni makusudi ya watu. Mfano mzuri ni matumizi yasiyo na tija kwenye ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Malipo ya Huduma Bila Nyaraka za Kutosha: Katika ripoti ya CAG ya mwaka 2017/2018, Jeshi la Polisi la Tanzania lililipa TZS 16.66 bilioni kwa sare za askari, lakini hakukuwa na ushahidi wa uagizaji, upokeaji, au usambazaji wa sare hizo. Malipo haya yalichukuliwa kuwa yasiyo na tija kwa sababu hayakuambatana na taratibu za manunuzi na hayakuwa na uthibitisho wa thamani ya fedha zilizotumika. Chanzo: Ripoti ya CAG 2017/2018. Ukibahatika kuwa Mbunge wa CCM utajua kila kitu na hakuna utachofanya maana serikali yako inalijua hilo.
Indonesia
0
0
0
57
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Moja ya sababu kubwa ya mimi kuomba ridhaa ya kugombea ubunge nikuthibitisha kama ni kweli mambo kama haya yapo..?😄. I’m curious guys Kwamba watu wasipate madawa au maji na hela ipo ila watu wanakula hela za miradi.?😁. Kwamba mateso ya wananchi ni makusudi ya watu..?. Nina shauku kubwa kujua undani wa haya.🤔
Masoud Kipanya@masoudkipanya

Sana

Filipino
12
3
22
2.6K