Sabitlenmiş Tweet
Pierre
1.7K posts

Pierre
@ujugumbm
Genetic lab 🧬 ocean 🌊 is life. AI NoFEaR7.4
Zanzibar West, Tanzania Katılım Aralık 2020
317 Takip Edilen326 Takipçiler

“Ripoti hizi [za CAG] zinazosomwa kila mwaka zinachangia maboresho au kuimarisha utendaji ndani ya Serikali na mashirika ya umma. Kwa sababu dosari zilizotolewa leo hapa tutakwenda kukaa tuzifanyie kazi kisawa sawa, turekebishe, na mwakani pengine hizi hazitojirudia, tutakuwa tumesogea.” – Rais Samia Suluhu

Indonesia

@alexpeter_281 @millardayo Yaani ni ridiculous kabsa, even they say it in media? Sjajua kipaumbele gani kimetumika hapa. Is it Religous state? Islamic Wanaokula Kwaresma huku mikoani tuwafanye nini?
Indonesia
Pierre retweetledi

@millardayo Mtu anaekula hadharani kuna sababu ya kumfanyia msako?? Mtu aliyejificha ndo wa kumsaka. Kama wamekamata kwa kuwasaka basi utakua uonevu
Indonesia

Kufuatia taarifa mbalimbali zilizosambaa mitandaoni zikidai kuna baadhi ya Watu Visiwani Zanzibar wana tabia za kula chakula hadharani wakati wa mchana mwezi huu wa Ramdhani, Jeshi la Polisi limefuatilia taarifa hizo na kubaini uwepo Watu hao.
Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa mjini magharibi (Zanzibar) amesema walifanya msako na kuwakamata Watu hao 12 katika maeneo tofauti ya mjini ambapo sasa wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Madema wakisubiri taratibu za kupelekwa Mahakamani.
@AyoTV_ hapo awali kabla ya kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ilifanya mahojiano maalum na Mrajisi wa Baraza la Sanaa Zanzibar ambalo pia husimamia Milka, Silka na Tamaduni za Zanzibar na ambapo alizungumzia kanuni zinazopiga maarufuku mbalimbali za mwezi mtukufu ikiwemo kusimamisha shughuli za mziki, kufungua Baa, ulaji holela wa hadharani na uvaaji usio na staha. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@CloudsMediaLive Hii media imekua ya ksng sana toka amekufa bosi wenu hamna muelekeo kabsa. Fakeni media
Indonesia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa Futari mtoto Yatima Shuraiya Ramadhan (6) wa Kituo cha Watoto Yatima cha Rahman kilichopo Chang’ombe Jijjini Dodoma. Rais Samia aliwaandalia Iftari Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.

Indonesia

@raphyrodrick Huku unaambiwa 2024 mwisho kuni maraa february 16 mwisho umeme kukatika anii tafrani
Filipino

@raphyrodrick Eti zumaridi kamuombea mtu roho ya michael jackson imuingie huyo kijana kweli tutafika?
Suomi

@raphyrodrick Unawza kuta ZUMARIDI akaingia bungeni 2025 kaka, Tanzania ina vituko vingi sana
Indonesia

@raphyrodrick Oyaa angalia ZUMARIDI anakuja kufundisha pale form V comb ni DHL 😂
Indonesia

@raphyrodrick Kaka niliona mbali nikashtuka ni mtego. Huenda ningekesha saivi kusoma shetani mpya
Filipino

Hawa TAMISEMI walivyoweka hizi combination za DINI sijui wanataka tugundue SHETANI mpya au vipi? @rollymsouth @Isha59492557
Indonesia

@ayubu_madenge Shida ni baada ya CCM kuteka kile chuo. Anangisye aliruhusu siasa za CCM waziwazi chuoni hadi leo. Hata PhD feki ya Mwigulu imezalishwa pale.
Indonesia

@meamswahili @Kahiyuzi3 @diamondplatnumz @harmonize_tz Acha usenge, kawakutanisha kivipi hapo. Sometimes mkikosa content mkae kimya
Filipino

Rais Samia Amewakutanisha Wanamuziki @diamondplatnumz na @harmonize_tz Hii Leo Katika Tukio la iftar Lililoandaliwa ikulu ya Dar es Salaam.
Sio Hao tu Bali Kuna Watu Wengine Maarufu na Wasanii Mbalimbali Ambao Wamebahatika Kupata Mualiko Huo Kutoka Kwa Rais.
#MeaMswahiliUPDATES

Indonesia








