Engr.Vini🦅

25K posts

Engr.Vini🦅 banner
Engr.Vini🦅

Engr.Vini🦅

@vincekayanda

#Eñgr💪 #ŹiÑzA BõY #Fïģhțęŕ #TUZƏNDƏTUKOLƏ

United States Katılım Ekim 2019
1.2K Takip Edilen463 Takipçiler
Engr.Vini🦅 retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: “Mungu yupo, atatenda miujiza.” Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.
Indonesia
21
127
754
20.3K
Engr.Vini🦅 retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
65
290
868
37.2K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Si tumekubaliana tunaanza upya sio?!😎 #TAITA
Suomi
27
131
832
18.5K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Kamati Kuu ya Chama imeazimia kuwaenzi waasisi wawili wa Chama, Mwenyekiti wa kwanza wa Chama Hayati Mzee Edwin Mtei na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chama Hayati Bob Nyanga Makani. Kamati Kuu imeazimia jengo la makao makuu ya Mikocheni, Dar es Salaam litaitwa Edwin Mtei House na Jengo la Makao Mkuu ya Zamani ambayo sasa ni makao makuu ya mabaraza ya Chama litaitwa Bob Makani House." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
10
46
233
6.3K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Leo, muda huu, tupo Landmark, Ubungo, Dar es Salaam katika kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Dar es Salaam ambao ni wanachama CHADEMA STUDENTS ORGANIZATION (CHASO), Dar es Salaam na limehutubiwa na viongozi wakuu wa CHADEMA. Kongamano maalum kwa ajili ya kuzungumza na vijana wa CHADEMA katika mustakabali wa kesho yao. Nimefurahi kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu takribani 1,000 wameujaza ukumbi na morali ya hali ya juu kabisa. CHASO ni chanzo cha fikra bora. #PeoplesPower NB; vijana hawajasombwa, hawajalipwa, hawajalazimishwa.
Indonesia
21
213
1.3K
18K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Fanuel Arsene
Fanuel Arsene@ArseneFanuel·
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Indonesia
14
194
364
13.5K
Engr.Vini🦅
Engr.Vini🦅@vincekayanda·
😂🙌🏃‍♂️🏃‍♂️
QME
0
0
0
0
Engr.Vini🦅 retweetledi
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Fikiria mtu mwema kama Lissu analindwa na maaskari magereza zaidi ya 20. Mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 16 mwilini. Just imagine?!
Indonesia
33
92
495
15.7K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Chande is an apologist of #TanzaniaMassacre perpetrared by security forces under the orders of @SuluhuSamia He has no place on such an important mission! @volker_turk keeping Chande on Mission while he defends publicly a whitewash of atrocities in his own country is an affront to “fact finding” missions and unfair to the people of Sudan!
UN Human Rights Council@UN_HRC

#Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the @UN Human Rights Council. #HRC61

English
12
101
289
10.3K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Halafu watu wengi ambao wametumia vyeti vya watu kusomea wanavitabia vinavofanana angalia kuanzia-; Mwigulu Nchemba (Lameck Mkumbo Maderu) Hamisi Kigwangala (Said Bagaile) Palamagamba John (Aidan Mwaluko Kabudi) Paul Makonda (Daud Albert Bashite) Herry James (Erick Ngambeki)
Filipino
30
93
741
0
Engr.Vini🦅 retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Maelfu wamesaini wito kulitaka Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kumfuta kazi Jaji Chande. Chande ni sehemu ya washauri wa Baraza kuhusu haki za binadamu Sudan. Alitumia turufu hiyo kujaribu kumsafisha muuwaji Samia huko UN. Kwa ripoti ile, hana tena uhalali.
Indonesia
37
312
1.5K
26.1K
Engr.Vini🦅 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Mtu akiniambia mambo ya Simba na Yanga sijui ma Miziki ya Bongo ni kama ananiambia Mambo ya Oct 29, shout out kwa wote tuliokaza kwenye hilo bila kushusha mikono chini.🥲🫡
The mandevu tweet media
Indonesia
47
191
1.3K
9.9K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️MUHIMU SANA‼️ Tafadhali unga mkono wito huu wa dharura wa kupitia upya, kumvua sifa, na kumuondoa Mohamed Chande katika jukumu lake la kitaalamu ndani ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, pamoja na kuanzisha uchunguzi huru nchini Tanzania. Kwa mshikamano na watu wa Tanzania waliotayarisha mawasilisho haya, tunatoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu, mashirika ya kiraia, harakati mbalimbali, na kila anayejali ukweli, haki na uwajibikaji kusimama na kuongeza jina lake kwenye barua hii. Tunakataa kukubali ukimya, upotoshaji na hali ya kutowajibika mbele ya mauaji ya halaiki. Hatuwezi kuruhusu walioko madarakani kubadili simulizi au kuondoka bila kuwajibishwa. Haki haitolewi bure—hupiganiwa kwa pamoja na kwa uthabiti. Ongeza sauti yako, unga mkono barua hii, na uwe sehemu ya msukumo unaodai ukweli, uwajibikaji na matokeo halisi. Pitia na Uunge Mkono Hapa: bit.ly/DisqualifyChan… Mwisho wa muda: Jumamosi, tarehe 2 Mei
Indonesia
14
136
406
13.1K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Uungwaji mkono wa Chadema na wananchi wa nchi yetu upo ni wazi kabisa na hiki ndicho kinachowafanya viongozi wa serikali haramu ya CCM kukataa kuwepo na mfumo wa haki na wazi wa uchaguzi nchini. Watanzania tuiunge mkono Chadema na tuchangie fedha na rasilimali nyingine ili iwang'oe majahili hawa madarakani.
Indonesia
25
217
832
12.9K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Asante sana wakili msomi Mwabukusi Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu 😁 #FreeTunduLissu NOW 👊🏽🔥
Indonesia
27
328
1.3K
22.4K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️AMKENI!.. AMKENI!.. AMKENI!..‼️ Katika hali isiyokuwa ya kawaida zile gari za Gereza la Ukonga ambazo huwa zinambeba Mhe. Tundu Lissu, leo asubuhi zimeonekana zinatoka Magereza, Magari yote yanayotoka Gongo la Mboto yesimamishwa. Shuhuda aliyeshuhudia gari hizo anasema kwa jinsi ulinzi ulivomkali mkali anahisi huenda ni Mhe. Lissu, jamaa amepotezana na msafara huo maeneo ya Posta pale Stesheni ila gari hizo zilikuwa zinaelekea Mahakamani japo hajui kama ni Mahakama ya rufani au Mahakama kuu maana hizi Mahakama majengo yake yapo karibu. Najiuliza Je, Serikali haram imeamua kumpeleka Mahakamani Mhe. Lissu kimya kimya bila kujulisha Mawakili wake au CHAMA? Au kuna mtuhumiwa mwingine ambae kapelekwa Mahakamani kwa ulinzi mkali kama ambao huwa wanampa Mhe. Lissu? Mliopo Mahakama tusaidieni kujua ukweli juu ya jambo hili.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
36
197
1.3K
76.7K
Engr.Vini🦅 retweetledi
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Hiv marefa kama hawa sisi ndio tumekosa kabisaa..Refa anachezesha akijua hii ni mechi kubwa anatumia akili,sheria na busara kwa wakati mmoja,waamuzi wetu oneni aibu kwa matukio yenu ya kushangaza,watu wanapenda furaha na uhalali wa mpira,jifunzeni sio dhambi..
Dominicksalamba tweet media
Indonesia
102
121
1.8K
55.5K