Kigogo WaMabadiliko

2.3K posts

Kigogo WaMabadiliko banner
Kigogo WaMabadiliko

Kigogo WaMabadiliko

@wamabtz

Mtanzania tu, naipenda nchi hii na familia yangu. 🇹🇿

Dodoma Katılım Nisan 2020
89 Takip Edilen20 Takipçiler
Kigogo WaMabadiliko
CCM 1989 walijua chama kinakufa kinapotengana na watu. 2026 wanapongeza kuua Watanzania. Mimi naona hili ni upuzi
Indonesia
0
0
0
6
SUN TZU🇹🇿
SUN TZU🇹🇿@Sun_tz_u20sj·
Tume ilibaini kwamba vikundi vya vijana vilifunzwa kwa zaidi ya siku 28 katika maeneo ya siri. Muda huu mrefu wa mafunzo unaonyesha wazi kwamba hii haikuwa ni operesheni ya haraka bali ni mkakati ulioandaliwa kwa uangalifu mkubwa, ukithibitisha haja ya mfumo bora wa ujasusi...
SUN TZU🇹🇿 tweet media
Indonesia
3
0
1
29
Kigogo WaMabadiliko
@lajijimedia Hawa siri siri tu matokeo yapi kwa mwananchi ? Wakati wenzetu wa mashariki wanaweka data wazi matokeo unaona kwa macho
Indonesia
0
0
0
5
Lajiji Media
Lajiji Media@lajijimedia·
Ofisi ya Msajili wa Hazina imekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, pamoja na ujumbe wake, katika kikao kilicholenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, uwekezaji na mageuzi ya mashirika ya umma.
Lajiji Media tweet media
Indonesia
2
0
0
16
Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿
4/ Kampuni hiyo haikufaa kijiji. Jina lilikuwa Ruvu Wildlife Company. Kitu pekee ninachoweza kupata kwa jina hilo ni bustani ya wanyama iliyopo Mlandizi, Pwani.>
Indonesia
2
0
0
41
Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿
Nimepata taarifa: 1/5 Mwenyekiti wa Njoroi anasema kuwa serikali ya kijiji ilichunguza kampuni iliyotaka eneo la kambi ya watalii, kufanya utalii wa picha Serengeti. Kampuni haikutaka WMA. >
Indonesia
2
1
0
205
Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿
3/ Nimeelewa kuwa hofu ni kwamba viongozi hao walikwenda kwenye ziara na mwekezaji ambaye alitaka kuwahonga ili wakubaliane na WMA, kama ilivyofanya Kilombero North na baadhi ya viongozi wa vijiji vingine vya Loliondo, na hasa diwani wa Oloipiri.>
Filipino
2
0
0
37
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: HII SAFU YA CHADEMA KUNA VIJANA WAO CCM KUNA MZEE WASIRA, TUTAMKIMBIZA MPAKA ATAPIKE MAPAFU - BONI Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai leo Mei 18, 2026 amewavunja mbavu wakazi wa Kahama mjini katika mkutano wa hadhara amesema mikutano mitatu ya CHADEMA ni sawa sawa na mikutano elfu tatu ya CCM huku akisema CHADEMA wana safu ya uongozi ambayo ni vijana lakini kwa upande wa Chama cha CCM wamejazana wazee kama mzee Stephen Wasira, "tutamkimbiza mpaka atapike mapafu" Zaidi: youtu.be/L5DShNBZJy0
YouTube video
YouTube
Indonesia
1
37
157
5.2K
Kigogo WaMabadiliko
@Mtaalam_01 Meli bandarini sasa zinatoka siku 7 badala ya 46, trucks 15000 inaonyesha biashara inaenda ila kijana anapata nini?
Indonesia
0
0
0
5
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠✍️
Kwa Mwaka Tanzania inahitaji magari ya kubeba mizigo (trucks) zaidi ya 15,000 hii inaonyesha Tanzania imeingia kwenye era mpya ya ukuaji katika sekta ya madini, kukua kwa mnyororo wa thamani wa viwanda na kutanuka kwa biashara ya kikanda.
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠✍️ tweet media
Indonesia
1
10
11
157
Kigogo WaMabadiliko retweetledi
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
Viwanda na wawekezaji wa viwanda wanapendelea nchi zenye strong logistics systems. Logistics efficiency ndiyo msingi wa industrialization huo kwa Tanzania tumeonyesha njia kuwa economic accelerator wa ukanda huu.
𝐉𝐫  tweet media
Filipino
1
7
7
83
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
#VIDEO "Bado watanzania hawana elimu ya kutosha kuhusu matumizi ya gesi asilia kwenye kupikia na kwenye magari, japo tangu vita ya Mashariki ya kati ianze idadi ya wanaohitaji gesi hiyo imeanza kuongezeka" - Gerutu Bosinge Gerutu ambaye ni mtaalam masuala ya Gesi na Meneja wa Karakana za magari
Indonesia
2
2
4
539
Kemgongo Media
Kemgongo Media@kemgongo_media·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ambapo amemteua Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya leo Mei 18, 2026 iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Rais Samia pia amewateua majaji watatu wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Makamishna wa Tume hiyo ambao ni Mhe. Gad John Mjemmas, Mhe. Awadh Mohamed Bawazir na Mhe. Aishieli Nelson Sumari. Rais Samia amefanya uteuzi huo kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32 katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025. #KemgongoUPDATES
Kemgongo Media tweet media
Indonesia
1
0
2
40
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
UJUMBE WA KUTOKA GEREZA LA UKONGA “Nilipewa chungwa , embe na nanasi , baada ya kula , tumbo langu liliuma sana, maumivu ambayo sijawahi kuyapata toka nizaliwe”-; Mhe. @TunduALissu 💔 Nani alimpa hilo chungwa? Maana CCM wana mbinu nyingi za kuua watu
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
2
26
94
2.2K