Wan bissak
274 posts


@kasezelo99 @bonifacejoseph_ Ivi iniesta na bruno wanacheza position sawa??
Filipino

Ndiyo Namkubali sana Bruno, lakini kwa Iniesta ni Maji marefu sana. Hell No, Usimuongelee Iniesta kama unamzungumzia Ugarte kaka 😂
Malcolm 🏆@mlinganya
Bruno Fernandes is by far the better player than Iniesta. Muweke Bruno kwenye zile timu za Spain na Barcelona atapata assists 40+ kila msimu. Muweke Iniesta kwenye hii United team hatoweza kupata assists hata 5. Iniesta anaishi kwa lile goli la final 2010 tu
Filipino

@kasezelo99 @bonifacejoseph_ Ukitoa mataji aliyotwaa Iniesta,ambayo ni WC x1,2010,UEFA x4,na La liga x9,hakuna kitu ambacho anamzidi bruno,
Bruno anamzidi magoal iniesta,pia anamzidi Assist iniesta.
Indonesia

@bonifacejoseph_ Acha uongo kaka, Iniesta sio bora kama Bruno ni ile hype ya 2010 tu, jamaa kasema fact tu, Bruno ni bora kuliko Iniesta
Uzuri Iniesta tumemuona wote 😅😅😅
Filipino

@MarekaMalili Mimi nlimwambia jamaa wa boda punguza speed akasema kapande kinyonga😄 😄
Indonesia

@chapo255 😄 😄 Mimi naitaka hiyo kazi ya laki nane,hata weekend nitaenda kazini bila kulipwa posho.
Filipino

Hiyo kazi kama mtu haitaki anipe mimi nitafanya kwa moyo wote😂
Trojan Horse 🎭@anon_codex
Umeona kabisa maisha yamepanda kila kitu bei juu baadala ujiongeze na wewe bado upo hapo ofisini unasubiria hiyo laki 8 au 1M kwa mwezi ambayo inaishia kwenye mihogo na nauli 🫵🏾🫵🏾
Filipino

@wanbissak @PinguRahim Huyo anauza duka la silaha
Filipino

@ErickKamihanda Mr Nice kwa enzi zake alikua mkubwa kuliko Nassib,Hapakua na digital platforms,no social medias,vyombo vya habari vichache lakini aliweza kalisha East Africa
Indonesia



@SeekNaturalLife @PinguRahim 😄 😄 Hicho cha wageni wake kutoka Manzese.
Filipino

@wanbissak @PinguRahim Marekani kuwe na choo kama hiki?😂😂
Filipino

@malalo_adam @baraka_asege Cha ajabu ni shabiki wa simba,kimkayndo.
Indonesia

@MarekaMalili @anuskills3 Alisema hawezi rudi man u,yupo tagae kupunguza mshahara ili abaki barcelona
Indonesia

Mkuu @TitoMagoti tarehe 12 June, Neema Gospel tutakua na ibada inayoitwa Grateful itakua ni kuimba mwaa mwee
Kama admin nimekuona wewe ni mdau wetu mkubwa sana kule IG, naomba nikupe mwaliko
Kama upo nje ya nchi tarehe hiyo sasa ufanye utaratibu uwepo
Indonesia

@mkemi4mkUu Mwaka jana mwishoni,mwanangu mmoja kanicheki kwenye simu mida ya saa moja jioni,anataka tukapige mchongo flani kesho yake,nikamwambia niko busy saiz tutaongea saa mbili usku,inafika mida hiyo napiga simu haipokelewi,alaf saa nne usku naambiwa kapata ajali kafariki,walikua watatu.
Indonesia

Dada mmoja alikua anatuuzia juisi mwenge kijiweni jana napiga simu yake anitengenezee smoth naambiwa kafariki juzi Sia Fresh juice.
Nimefuta Namba kwa machungu sana, mwanae bado mdogo sana.
mTusi original 👦@mTusiOriginal
FUTENI NAMBA ZA MAREHEMU KWENYE SIMU ZENU.
Indonesia














