YOUR_ENEMY™

16.9K posts

YOUR_ENEMY™ banner
YOUR_ENEMY™

YOUR_ENEMY™

@well12man

Optimist lone wolf Having some fun 😋 @ChelseaFC

geto Katılım Ocak 2018
2.5K Takip Edilen6.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
YOUR_ENEMY™
YOUR_ENEMY™@well12man·
moja kati ya biashara bora sana ukiwa timamu lakini, kwa mtaji wa million 6.5 unaweza kufikisha hivi viazi dsm kwa mchanganuo ufuatao. 1. viazi gunia kwa sasa mbeya ni 45K ambapo hela ya kuwalipa wachimbaji na kununua mifuko pia utatoa wewe, wachimbaji 3k kwa kila gunia
YOUR_ENEMY™ tweet media
Indonesia
5
6
27
5.6K
YOUR_ENEMY™ retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nitakuabudu kwa kila pumzi niliyo nayo Mwenyezi Mungu , kwa maana wewe ni MWAMINIFU sana.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
15
110
635
4.7K
YOUR_ENEMY™ retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
ARUSHA ASANTE SANA. Much ❤️ Always.
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
English
22
215
1.2K
12.2K
YOUR_ENEMY™ retweetledi
Martyn Ziegler
Martyn Ziegler@martynziegler·
Rio Ferdinand accused of sports washing after going on Tanzania govt visit hosted by minister - his "good friend" - who has been sanctioned by USA for gross violations of human rights. thetimes.com/sport/football…
English
227
751
2.7K
428K
YOUR_ENEMY™
YOUR_ENEMY™@well12man·
kwenye maisha ya kila siku mazoez ni muhimu sana.
Indonesia
0
0
0
2
YOUR_ENEMY™ retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Jana usiku, David Djumbe (@daviddjumbe), ambaye ni msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, @TunduALissu, alitekwa na watu wenye silaha nje ya lango la nyumba yake iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hata hivyo, kutokana na ujasiri wa madereva wa bodaboda waliolifuatilia gari la watekaji hao, wahalifu hao walilazimika kusimama na kufyatua risasi hewani ili kuwatawanya. Licha ya kufanyiwa ukatili na kuumizwa vibaya, David Djumbe alifanikiwa kutoroka mikononi mwao akiwa bado amefungwa pingu. MaCCM mnataka nini hasa? Hamtaki kabisa tufanye siasa? Hamtaki uwepo wa vyama vya upinzani?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
25
163
691
26.7K
YOUR_ENEMY™ retweetledi
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Natoa pole nyingi sana kwa Msaidizi wa Mheshimiwa Tundu Lissu, Ndugu Jumbe, kufuatia tukio baya na la kinyama lililomtokea. Huu si utamaduni wa Watanzania, wala si maadili yanayopaswa kupewa nafasi katika jamii yetu. Tofauti za kisiasa zisigeuke sababu ya chuki, vitisho, au mashambulizi dhidi ya watu. Taifa lenye afya ya kisiasa hujengwa juu ya ushindani wa hoja, heshima ya utu wa binadamu, na kulinda haki ya kila mtu kuwa salama bila kujali itikadi yake. Wananchi, wakati umefika wa sisi sote kupaza sauti na kukemea matukio ya aina hii bila kujali tofauti zetu za kisiasa. Ukimya mbele ya uovu unaweza kuupa nguvu uovu wenyewe. Namtakia Ndugu Jumbe uponaji wa haraka na nguvu katika kipindi hiki kigumu. Pia naomba vyombo husika vifanye uchunguzi wa haraka, wa haki, na wa uwazi ili wote waliohusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Indonesia
91
190
667
17.4K
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Nyeto inapofusha,utakuwa kipofu miaka ya mbele.
Indonesia
52
56
353
19.8K
GunnerPulse
GunnerPulse@GunnerPuls·
Current - Wingers Pyramid Do you agree or any changes chatt?
GunnerPulse tweet media
English
3.7K
343
5.1K
3.7M
narsa.🪺
narsa.🪺@rathor7_·
Peak example money can't buy you CLASS
narsa.🪺 tweet media
English
916
247
7.8K
860.7K
Msafiri
Msafiri@MsafiriLus24939·
Lipi ni jiji lako pendwa? 1:Dodoma 2:Tanga 3:Arusha 4:Mwanza 5:Mbeya 6:Dar
Indonesia
102
44
176
14.8K
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
Sio sehemu ya kuchezea, Ni uwanja wa Mpira, ni FAHARI yetu, Ni Historia.
Young Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet media
Indonesia
134
93
1.3K
92.3K
YOUR_ENEMY™
YOUR_ENEMY™@well12man·
@UrBoyMox haya what a the advantages and disadvantages of earth being sphere like all orher planets?
English
0
0
0
47
M O X
M O X@UrBoyMox·
Kwenye mtihani ntakosa maswali yote ila sio ya Advantage na Disadvantage haya marahisi kujitungia point😂
Indonesia
31
65
265
5.6K
YOUR_ENEMY™
YOUR_ENEMY™@well12man·
MBAPPE: kati ya mimi na kocha kuna mmoja lazima aondoke.
YOUR_ENEMY™ tweet media
Indonesia
0
0
1
8