Willison

2.2K posts

Willison banner
Willison

Willison

@willisonsworld

📱 Phone Features & Hidden Trick||🚀 Making tech simple & practical ||🎥 Reviews | Tips | Comparisons||💡 Upgrade your digital life

Tanzania Katılım Nisan 2025
1.8K Takip Edilen1.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Willison
Willison@willisonsworld·
Watumiaji wa Samsung phones, mimi binafsi sijazoea sana kutumia Google Messages, mara nyingi natumia Samsung Messages. Kwa wale wanaopendelea Google Messages, ni features zipi hasa zinaifanya muione bora zaidi kuliko Samsung Messages?
Willison tweet media
Indonesia
12
9
39
1.2K
Ngatta Boe
Ngatta Boe@Ngattaboe99·
Tanzania ukimaliza shule unakua broke ni kama ulikua unasomea umasikini kipindi upo shule.
Filipino
66
187
901
17K
Shababi a true leader
Shababi a true leader@blazadadee1·
Wakuu kwahiyo Jeans oG huwa zinapatikana kwa bei gani na wapi??
Filipino
37
28
237
17.7K
Willison retweetledi
Haky
Haky@Haky49501827·
Uzuri ya ku own debit card haina pesa ni unaaplly free trials bila uoga 😹
Indonesia
19
103
786
16K
Willison retweetledi
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Maisha huanza pale uoga hufika kikomo. Nakuamua kuuvaa ujasiri na kukabiliana na uoga ni ushindi mkubwa.
Indonesia
8
16
45
418
Willison retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Mwanangu niliesoma nae leo nimekutana nae kwanza kanionea sana huruma kasema nitafute sana pesa kwa sasa yeye ni mmiliki wa kampuni ya ukodishaji magari suala la milioni 50 kwake sio jambo dogo. Amenishauri kwa lugha ya moto sana nimepokea ushauri wote kwa moyo wa shukrani kanambia anko unachelewa sana. Muda huu nimemuuliza Mungu au kuna namna nakosea kutuma maombi yangu kwake. Oya umaskini nikikukamata😁🫵🙌
Filipino
16
19
150
10K
Willison retweetledi
#𝐍𝐚𝐭𝐞
#𝐍𝐚𝐭𝐞@RealNate08·
Siri ni numbers, leteni handles tukuwe mutuals.
Indonesia
38
33
90
918
Willison retweetledi
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
MAFANIKIO katika jambo lolote huanzia kichwani mwa mtu. Believe!
Indonesia
2
3
37
257
Willison retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Mbinu 10 Za Haraka Za Usalama Kila Mtu Anapaswa Kujua: 1. Ukihisi harufu ya kitu chenye utamu ndani ya gari lako, simamisha kuendesha mara moja kwa sababu huenda kuna uvujaji wa betri au kimiminika cha kupozea injini (coolant). 2. Ukihisi kuna mtu anakufuata kwa kukufatilia fanya mizunguko minne ya kushoto, akiwa bado yuko nyuma yako, kuna uwezekano anakufuatilia. 3. Ukidondosha funguo zako ukiwa unafukuzwa, endelea kukimbia usisimame, utapoteza sekunde muhimu. 4. Daima weka viatu vyako karibu na kitanda majanga mengi hutokea usiku. 5. Mgeni akikuomba umsaidie kutafuta mnyama wake aliyepotea, usiende hii ni mbinu inayotumiwa mara nyingi kuvutia waathiriwa. 6. Ukikwama kwenye moshi, tembea kwa kujikokota chini hewa safi zaidi hubaki karibu na sakafu. 7.Usiache kinywaji chako bar bila uangalizi hata kwa sekunde moja. 8. Hisia aka Intuition zako zikikuambia usiende, ziamini. 9. Ukishikwa mkono kwenye kifundo, zungusha mkono wako kuelekea upande wa kidole gumba cha mshambuliaji hapo ndipo sehemu dhaifu zaidi. 10. Hakikisha simu yako ina chaji angalau 50% kabla ya kutoka nyumbani simu iliyozimika hukata mawasiliano ya msaada.
Indonesia
3
25
136
10K
Willison retweetledi
MJOMBA NI MAMA 🦘
MJOMBA NI MAMA 🦘@mjomba__nimama·
Mungu fanya baraka juu Yetu sote 🙏 🗼 Good morning Twitter fam 😊 Bado tuna uza simu na Kutengeneza simu .. 0789456054
MJOMBA NI MAMA 🦘 tweet mediaMJOMBA NI MAMA 🦘 tweet media
Indonesia
2
18
37
572
Willison retweetledi
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Biashara haisomewi inafanywa
Indonesia
7
15
52
568
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Alafu Kwani NMB Makato Yao Kwa Mwezi Ni Sh Ngapi?? Mwezi Wa Pili Huu Sasa Wabapita Na Kihela Changu Ni Kama Wenye Hela Za Mawazo Hatutakiwi Kuwa Na Bank Account Kabisa 😂😂
Filipino
10
2
82
3K
Willison retweetledi
lynne254🌹🌺
lynne254🌹🌺@tabithalinzely5·
Si mnifollow before nitokee niende kwa streets watu 50 pekee ☺️☺️🥱🥱😭😭
Filipino
15
18
47
555
Willison retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Confidence na nidhamu unaijenga kwa ku-show up everyday Mafanikio yanajengwa na hatua ndogo ndogo zinazofanywa kila siku Never skip…Show up. Good morning everyone…
Filipino
11
15
46
376