wise melody12
663 posts


@JayleenRickie Haswaa umenena, yaani ni kama Jovial wa kenya, akishirikishwa anaua ila kwenye nyimbo zake anazingua
Indonesia

@gallanemma Sawa sepenga hujamueka Hivi kati ya Uwoya na wolper nani mkali??
Indonesia

@_snipers1 @Labella_Mafia95 Raisi na waziri mkuu hawawezi share ofisi lazma watataka kuingiliana majukumu mwangalie mondi, burna boy, hakeem na ata uyo kiba
Indonesia

NDOTO HATARI AMBAZO HUPASWI KUZIPOTEZEA
1. Kuota unafanya mapenzi
2. Kujiona upo kwenye geneza au wanakuzika
3. Kuota unaolewa na mtu ambae humjui na hayupo kweye circle yako
4. Kujiona unaogea maji machafu au kuogelea
5. Kuota unakimbizwa na wanyama au nyoka kwenye ndoto
6. Kuota upo kijijin kwenu au shulen
7. Kujiona upo uchi ndotoni
OMBA SANA🤲
Indonesia

@iamcleopatricia duh me naotaga lkn huwa nasahau nilchokiota baada ya kuamka
Indonesia

@iamcleopatricia Ongeza hii, kuota umeachwa na usafiri wowote ule
Polski

@masanja___ @nyuki_malkia Umeshaambiwà mama alikua hana maziwa sababu ya lishe mbovu ulitaka wamkojolee au
Indonesia

@nyuki_malkia Mtoto under 6 months si atakiwi kunywa chochote zaidi ya maziwa ya mama yake? Ukampaje juice sasa mkuu?
Filipino

Kuna kipindi nilisafiri kutoka Dar naenda shinyanga nikakaa siti moja na mdada ana mtoto bado mdogo kama wa miezi 4 hivi
Kuanzia Moro pale mtoto akaanza kulia tu akitoa nyonyo ampe yani ziwa limelegeaa limechoka limekonda inaonyesha hakukuwa na maziwa
Nikamwambia mpe maji au juisi atulie akasema hajabeba wala kununua chochote nikaona fresh nikampa juice ampe mtoto
Mtoto akatulia na yeye pia akaipiga yote hali ikatulia
Nikawa namuuliza mbona humbadili mtoto kama amekojoa akasema hana hata matambala ya kumbadilishia nikatulia
Kufika dodoma pale nikamnunulia chakula nikanunua na pampas za mtoto ili wote tuweze kukaa kwa kujiachia mambo yasiwe mengi
Safari ikaendelea ikabidi nimuulize imekuwaje mpaka uko na hali hiyo
Alinipa story ya kusikitisha sana yaliyomkuta anarudi kwao kumuomba baba yake msamaha alitoroka kwao akakimbilia dar kwa jamaa yake alipomaliza form 4 tu..na hapo hata nauli kachangiwa na majirani asije kufia hapo kwa mwanaume ....
Watoto wa kike mkiambiwa mtulie kwa wazazi wenu mtoke na baraka zao tulieni tu maisha yapo tu
Mimi nikashuka zangu shinyanga yeye akaendelea na safari kwao ni Mwanza sengerema .... Sijui anaendeleaje na hali huko ila natumaini kama alifika nyumbani salama wakampokea basi yupo salama
Filipino

@iamcleopatricia Si alikua 87 akafika 89 sa hii amefika 1990 huyu miaka 5 ijayo atakua wa 2000
Indonesia

@eastafricatv Kichwa changu kinawaka moto kwa madeni lakini noo body cares😣😣
Indonesia

#HABARI Taharuki imetokea kwa wakazi wa mtaa wa Azimio Kata ya Igogo jijini Mwanza, baada ya moto umbao haujafahamika chanzo chake kuteketeza gari ndogo aina ya Toyota Crown.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema baadhi ya watu walinusurika kuungua na moto huo baada ya kujaribu kusogea eneo la tukio wakati moto ukiwaka kwa nguvu.
Jeshi la Zimamoto mkoa wa Mwanza limefika na kufanikiwa kuuzima moto huo.
#EastAfricaTV

Indonesia

@dalalikiongoz @Neypaul01 Alafu huyu mbona kama nishakula
Indonesia

Asante Mungu kwa nafasi nyingine tena na asante kwa kunifikisha hapa nilipo, Baba kuna kijana ananikwaza anasema mimi ni mbaya wakati kwenye maandiko matakatifu umesema tumeumbwa kwa mfano wako.
Okayyy kwa kutumia Zaburi 35:1-8 muaibishe mfedheheshe kijana huyu, mrudishe nyuma na toa Mkuki umpige, pia Isaya 54:17 umesema maneno ya kijana huyu hayana kibali juu ya maisha yangu so am good.
Ni maombi yangu, AMEN🙏
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01
Ukweli sito acha kusema hata mkiniroga 👉 asilimia 95 mademu wa Bongo Camera zinawabeba Sana ila kwa huyu watu wa Camera hata mfanyaje huyu ameshikana Demu mbovu Sana kademu kanaumri Mdogo Sana ila kamezeeka kabla ya mda wake kutwa kuazima nguo na viatu kananuka jasho hatari
Indonesia















