Sabitlenmiş Tweet
Dada Afya💉💊
4.1K posts

Dada Afya💉💊
@yantorya
Dawa sio chungu, chungu maradhi|| man city 💙||God fearing girl😊
Dodoma, Tanzania Katılım Haziran 2022
531 Takip Edilen1.3K Takipçiler

Kwenye chaka moja huku Mkoani kwangu ninapotafuta ugali wangu.
Kuna familia moja ya mtumishi pale katani ambae ni mtu mzima ila sio mzee.
Jamaa ni mtu wa TOTOS in such a way that mpaka mkewake ameshazoea.
Ilifika stage, akampa mtu mimba mwanamke wa nnee ambae atakuwa kazaa nae au kumuoa.
Mkewake akamwambia usiongeze majukumu kwa kupanga nyumba nyingine.
Huyo mwanamke mlete hapa hapa nyumbani tukae nae na hao wawili nje waendelee kuwepo.
Mwanamke wa ndani anafahamiana na wanawake wote wa huyo bro (aliowapangishia au kuwazalisha)
Basi yule brother akamsogeza pale home huyo mwanamke mpya nwenye mimba.
In one month, wakawa na ujenzi pale home yaani uboreshaji.
Mjamzito akawa anatumia muda mwingi kukaa na mafundi pale, fundi mmoja akampanga wakawa wanaishi kama wapenzi kimya kimya.
Sikumoja uyo father kaenda mishe mishe yule mjamzito nae kaenda kwa uyo fundi.
Amekaa huko na anajua yule mke mkubwa aliemkaribisha anajua ila atamfichia siri.
Mke mkubwa akamueleza mume wake, mume akarudi home wakamsubiri mpaka arudi usiku.
Alivyorudi akakili kweli alikuwa kwa fundi, mjamaa akampa nauli arudi kwao na mambo yakaishia hapo😁
Wanawake hawapendanagi na manzi akajisahau na ujauzito wake.
Indonesia

@koku_shekya @INFLUENCERjr Yes hapa wamechukua part tu wanaanza kumsema ila hajaongea vibaya ukisikiliza speech nzima.
Eesti

@INFLUENCERjr Lakini ukisikiliza speech nzima ameongea tu vizuri ! Hajasema Mume asiheshimiwe wala Hajasema ndoa mbaya .
Indonesia
Dada Afya💉💊 retweetledi

Mwaka 2023 nikiwa MD Vs mwaka 2026 nikiwa na mambo mengine.
Unaona ujinga wa MD?😂


SANUKAnaCHAPO@chapo255
Mwana MD akaamua kuacha kusala ajira akaingia kwenye kuuza Laptop, wana kama 10 wa MD alitemana Bungo, watu hawataki kazi za Hospitali ngumu au?
Nixa, MO 🇺🇸 Indonesia
Dada Afya💉💊 retweetledi

@kibaha_finest @yantorya Kama ni huyu kwenye picha,sema haraka nimleteee mwe
Filipino
Dada Afya💉💊 retweetledi

Naomba nisaidie kusambaza ujumbe huu, Ndugu yetu @yantorya amepoteza vyeti kwenye bajaji, amevisahau akiwa anaelekea kariakoo
Vyeti vipo 3
1. Pharmaceutical technician certificate
2. licence of practise
3. certificate of enrollment
Majina Yantorya Kishere
Simu 0743999604.

Dada Afya💉💊 retweetledi

Naomba nisaidie kusambaza ujumbe huu, Ndugu yetu @yantorya amepoteza vyeti kwenye bajaji, amevisahau akiwa anaelekea kariakoo
Vyeti vipo 3
1. Pharmaceutical technician certificate
2. licence of practise
3. certificate of enrollment
Majina Yantorya Kishere
Simu 0743999604
Dada Afya💉💊 retweetledi

Naomba nisaidie kusambaza ujumbe huu, Ndugu yetu @yantorya amepoteza vyeti kwenye bajaji, amevisahau akiwa anaelekea kariakoo
Vyeti vipo 3
1. Pharmaceutical technician certificate
2. licence of practise
3. certificate of enrollment
Majina Yantorya Kishere
Simu 0743999604


@dev_mkadi @YaneKariuki Akuna kitu kama bongo twitter bongolala wewe😂😂
Indonesia
Dada Afya💉💊 retweetledi
Dada Afya💉💊 retweetledi
Dada Afya💉💊 retweetledi

@rayasel94 @mchiziMonie Next year ni quadruple, mark this!
FA, EPL, CARABAO, EUFA
English

Huyu uwa akisema yanatimia nyie puuzeni 😃
Premier League@premierleague
The job isn't finished for Declan Rice and @Arsenal 🏆
Indonesia

@ze_mandevu @yantorya ulizia hapo positioning ya Ile kiungo cha PSG ,,,,,, Neves anacheza namba ngapi?
Indonesia

@ze_mandevu Kupiga mpira nje hii ni njia ya kumsaidia kocha kujua kama hawa jamaa wakishambuliwa wanareact vipi?
Indonesia















