Yosouph
4.8K posts


@yosouph2 @gabyconscious huyu lulukila nampata alikua noma sana naskia, siasa na ujanja ujanja mwingi sana.
falsafa nyiiiingi
Indonesia

Hawa ndio huwa wanapungukiwa milioni 3 za emergency😂
komugisha Peace@KomugishaPeace
Honest opinions about such ladies😊
Indonesia

@Dream_online_Tz @gabyconscious Oya we sio powa...ni kama kuongea ma maiki...ha ha ha
Indonesia

@gabyconscious Mwezi wa kwanza niliwasha camera ya iphone 17pro ili nijirecord video, nilishidwa kuongea chochote Hadi leo 😂😂 naheshimu sana wanaofanya content
Tanzania 🇹🇿 Filipino

🚨_CHEMSHA BONGO⤵️
➡️Mdau unakumbuka wakati Mafisango anasajiliwa @SimbaSCTanzania alikuwa anatokea timu gani?

Indonesia

@og_outfits Simiyu hiyo...nadhan gari za Musoma zinakatiza...Shinyanga...Dutwa...Lamadi
Filipino

@Happinesmlay Kuna sehemu moja hapa Tanzania panaitwa MAFIA kile ni kisiwa ambacho kidizaini ni kama kimesahaulika ila nenda kule ukiwa na huyo mgonjwa wako ulizia wenyeji wa kule ukiwapata waelezee hiyo changamoto yako kisha waombe wakutafutie matabibu wa huko.. u will thanks me later.
Indonesia

Ndugu zako wa Charambe uwanja wa Ninja
Man Like Sule™@Maichagange
Huku uswahilini mademu wamevurugwa mnoo Mbagala, Buza Kipande Cha Sweet Corner Na Pade, mitaa ya Chamazi Asee...🙌😂

@Officialsantan8 ni sawa....long time nilikuw naanza kadio namaliza na weight....kuna mwana akanishtua naenda wrong....now naanza weight kunesa namaliza na cardio....naona kabisa mabadiliko ya haraka
Filipino

@Rydx_017 @Finah_Business @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 kuna mwamba tik tok😂..anachukua video ya mtu anaianimate kama katuni...hizo katuni zake sasa😂😂
Indonesia

@Finah_Business @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 😂😂 ndio nani huyo 😂
Filipino

@yosouph2 Niunganishe na ndugu yako au winga wako ambae yupo Kariakoo.
Filipino


























