Sabitlenmiş Tweet
Agigi
2.3K posts


Hello boss @George_Ambangil
Kindly ukiniruhusu naweza kukuagizia ukaipata Ina a week
Kwa shilling 50000 tu
Karibu 🙏🏾



George Ambangile@George_Ambangil
Ambaye anayo anauza kama hilo sweta . Nahitaji 👏🏼
Indonesia

Kitu watu wengi hawajui ukiwa too close kwa Tv quality inakua ndogo, chumba kimoja 43" is maximum screen size!
Masterplan🇹🇿@master_plan9
Vijana Wa Dar Chumba Kimoja TV nchi 70 huwa Mnaangalia nini.?🤔
Indonesia

@assengajrr @makumbawaleo_5n kwamba makumba anashindwa kuafford io 70 nchi
Indonesia

@makumbawaleo_5n Ukiwa huna ela ya kuafford kitu fulan lazima uwe na visingizio vingi ata wasio na uwezo wa kumiliki iphone wanavisingizio kuwa ni simu za kike
Indonesia
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi
Agigi retweetledi

#TajiriLaKihaya
Ukweli mchungu ni kwamba…
Humu X- Wanaharakati PURE HAWAZIDI 10.
Wengine mnauzana ,kuchorana na kunafikiana tu!
Hauwezi ukawa mwanaharakati pure au mpigania Haki -alafu haupo consistent…
Kitu kinachokuja kukutoa kwenye Reli- as long as ndio kinaTrend we unapost tu…
Tupo kwenye #FreeTunduLissu #WhereisMdude …
Mara linatokezea La manara tayari Ushapost, mara Simba/Yanga usharuka nalo, mara Upost unauza chupi,kidogo Usharusha ODDS, mara kidogo ushaanza kumpika flani😅
Hatupo serious ,hatuna Umoja ndio maana hata wenye mamlaka wana tutake for granted!
Hatuna tunachokisimamia…
Saa hizi hata Lissu hatajwi hakuna pressure yoyote hadi siku anapelekwa mahakaman ndio wanafiki wanajitokeza na tweets mbili tatu ili aonekane na yeye yumo😅
Angalia Gen Z wakenya walivyokuwa serious na jambo lao…
Hakuna story zingine hadi mawaziri walipobadilishwa na rais kuongea nao kwenye space ndio wakarudi kwenye mambo yao ya awali…
Wewe nipike uwezavyo ila Message sent and received💯
Indonesia
Agigi retweetledi




















