Tweet fixado
TheBoss.๐ฐ
23.8K posts

TheBoss.๐ฐ
@BOSSferdd
Here X for fun,๐ฆ
Tanzania Entrou em ลubat 2025
1.4K Seguindo1.4K Seguidores

@BOSSferdd Wanakua kama umekoleza ๐ฅ๐
Indonesia
TheBoss.๐ฐ retweetou

Mademu wa uswahilini jau sana
Leo nimepanda daladala kuna dada mmoja kapanda kavaa kijora afu si unajua usafiri wa dar wa shida kwenye daladala mnakua mmebanana sana
Yule dada kuna kijana alikua kamsimamia afu janja akawa amembambia aisee kwenye daladala bil aibu
Huyu dada bila aibu kamuuliza jamaa una sh ngapi ?
Wameshuka kituo kimoja pale tiptop noma aiseee
Saiv mjini wadada wazuri wanaringa kuliko hata wenye degree
Hawa madada wana njaa kali aisee ๐
Indonesia

Nilipoona ile tweet ya @Maestrowafact kuhusu kupewa dawa na anko wake aache kugida ugimbi binafsi nilijua ni suala ambalo haiwezekani.
Kwa sababu hata hapa mtaani kuna dogo mmoja wa kirangi bi mkubwa wake kahangaika sana na kila aina ya dawa aache kugida lakini imeshindikana.

Filipino

TheBoss.๐ฐ retweetou


















