๐˜ฝ ๐˜ผ ๐˜ฝ ๐˜ผ ๐™’ ๐˜ผ ๐™ ๐˜ฟ ๐˜ผ ยฎ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’”

21.6K posts

๐˜ฝ ๐˜ผ ๐˜ฝ ๐˜ผ ๐™’ ๐˜ผ ๐™ ๐˜ฟ ๐˜ผ ยฎ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’” banner
๐˜ฝ ๐˜ผ ๐˜ฝ ๐˜ผ ๐™’ ๐˜ผ ๐™ ๐˜ฟ ๐˜ผ ยฎ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’”

๐˜ฝ ๐˜ผ ๐˜ฝ ๐˜ผ ๐™’ ๐˜ผ ๐™ ๐˜ฟ ๐˜ผ ยฎ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’”

@Budda2016

Registered Nurse | R.i.P father | Live long Mother | The QURAN | Allah Akbar |SimbaSC| GGMU |Farmer | Health | Music | Cooking | Love | R.I.P My Daughter ๐Ÿ’”

Mtwara, Tanzania Entrou em Mart 2016
3.9K Seguindo2.2K Seguidores
peter kunjega
peter kunjega@PKunjega1_ยท
Huyu ni mwanangu sana nimesoma naye o level baadae tumepotezana saan kama miaka 6 bila mawasiliano Jana nimekutana naye FB kwenye kujuliana hali akaniambia alikuwa anapiga kazi kiwandani sasa kapata ajali mashine imepita na kidole ๐Ÿ˜ญ na nikama bahati tu maana mkono asingekuwa nao ๐Ÿ™๐Ÿ™daah imeniuma sana Ama kweli hakuna ajuaye kesho . #sadness
peter kunjega tweet media
Filipino
43
19
355
40.7K
Charles Chelsea Jr
Charles Chelsea Jr@CharlesChelsea_ยท
DSTV wanakera sana na Matangazo yao wakati wa COOLING BREAK๐Ÿฅถ๐Ÿฅถ yanakata Mzuka wa Mechi @DStv @DStv_Tz ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Imebidi niSwitch upande wa AZAM TV tu hakuna namna
Charles Chelsea Jr tweet media
Filipino
12
6
149
9.3K
chato finest
chato finest@chatoboy25ยท
@Budda2016 Unapiga sana misumari ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Filipino
1
0
1
6
EAST
EAST@Prince_Urioยท
Huyu Asmah majed ni mzuri sana kwenye mitandao ya kijamii kutana nae live mkuu๐Ÿ˜‚
EAST tweet mediaEAST tweet media
Filipino
80
54
790
77.3K
Mchokozi !!
Mchokozi !!@OleMteteziยท
Leo AGM Ya NMB Bank Wamepitisha Azimio La Share Split Ya 1:10 Yaani Kila Mwanahisa Mwenye Hisa 1 Ataongezewa Hisa 10 Liquidity Ya Hisa Za NMB Itaongezeka Hivyo Usishangae Hisa Za NMB Zikatoka 15,000 Kwa Hisa Moja Mpaka 1500 - 2000 Baada Ya Mchakato Wa Share Split Kukamilika
Filipino
4
13
156
11.3K
Sekenke One ๐ŸŒป
Sekenke One ๐ŸŒป@AlexSamojaยท
Bwana Twalibu alioa mapema sana arranged Marriage, akapata na mtoto mmoja akiwa na Uraia wa nchi moja, Bwana Twalibu akaachana na mke wake, akapata Uraia Pacha yaani Dual Citizenship, kwenye Passport na Permit jina likasoma Anko T. Watu kama hawa wapo wengi sana sehemu zenye Foreigners wengi, Vijana wanaitwa Baba ila gafla wanabadilisha Uraia wanakuwa Dual citizenship ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ˜ญ
Sekenke One ๐ŸŒป tweet media
Filipino
35
15
187
33.7K
Royal Media
Royal Media@royalmediatzยท
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Mhandisi Upendo Mbelle, amesema TBC imepewa haki miliki ya kurusha matangazo ya michuano ya Kombe la Dunia hivyo chombo kingine kitakachorusha matangazo hayo bila ridhaa ya TBC kinaweza kuchukuliwa hatua za kisheria. Kaimu Mkurugenzi huyo amewataka wenye nia ya kurusha matangazo hayo kufika zilipo ofisi za TBC ili kuingia makubaliano ya kurusha matangazo hayo kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria TBC ambalo ni shirika la Umma Nchini limekuwa likionesha michuano hiyo bure kabisa pamoja na kufanya uchambuzi wa mechi za Kombe la dunia kwa lugha ya kiswahili.
Royal Media tweet media
Indonesia
78
10
363
54.9K
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23ยท
Kwa sisi tuliozaliwa kwenye muziki Jose mtambo sio mgeni kwako, aisee iyo clip nmkutana nayo TikTok jamaa anahitaji msaada anakula pombe za kienyeji nimeumia sana jamaa nnavyo mkubaligi dah Fame ina mambo mengi sana ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
STUNNA tweet mediaSTUNNA tweet media
Indonesia
23
20
130
20.3K
The champ๐Ÿ‘‘
The champ๐Ÿ‘‘@fintanjr_ยท
Michael Olise ana vitu vya kitofauti kiasi kwamba unaweza kudhani amepagawa, sasa Last week wakati akienda Airport ili kujiunga na team kusafiri kuingia marekani, alienda na Bodaboda,.. na kuzua mijadala mingi sana,. lakini Bei ya hiyo bodaboda ndio mzozo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ.
The champ๐Ÿ‘‘ tweet mediaThe champ๐Ÿ‘‘ tweet media
Indonesia
17
16
108
10.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36ยท
Hii ajali imetokea leo maeneo ya Iyovi apo. Aisee
Adventure-360 tweet media
Indonesia
23
29
297
20.4K
Masterplan๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Masterplan๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ@master_plan9ยท
Imagine After Sex Usikie Sauti Ya Watoto Kwenye Dirisha Wakisema "Twendeni Wamemaliza"๐Ÿคฃ
Indonesia
45
40
455
23.3K
JOHโœ๏ธ
JOHโœ๏ธ@JOH_MCIยท
Ile acrobatiki alipiga paqueta jamaa linakuambia โ€œHakumuona chamaโ€ Nikaswitch kwenda kingereza muda ule ule๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿšฎ
JOHโœ๏ธ tweet media
Filipino
67
44
545
42K
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_ยท
Hivi hawa wanawake wanao kaaga uchi kwenye uwanja, huwa wanalipwa kabisa au nikujitolea tu?
Njiwapori 10k tweet mediaNjiwapori 10k tweet media
Indonesia
63
44
275
31.4K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyehยท
Diaspora. Ukiamua kurudi bongo, rudi ukafanye biashara zako. Ona huyu dogo katoka Europe kwenda kutafuta kazi bongo.๐Ÿ˜€
Dr. Kala. MD tweet media
Rogersville, MO ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Indonesia
5
2
17
2.1K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafactยท
Bunge lipitishe mswaada wa dharura hakuna kwenda Chuo kikuu chochote kama hujapita JKT Haiwezakana majanja wamekacha kuripoti yani makambi ni empty ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
เคนเคฟเคจเฅเคฆเฅ€
69
36
584
34.9K