C H E P E

40.4K posts

C H E P E banner
C H E P E

C H E P E

@Chepezi

Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.

Duniani Entrou em Ocak 2016
1.2K Seguindo18.1K Seguidores
Tweet fixado
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
Sababu kubwa ya mtu kutapeliwa ni kutaka mafanikio makubwa ya haraka kwa jitihada ndogo na hafifu.
Indonesia
85
136
730
0
millardayo
millardayo@millardayo·
Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda iliyokuwa ikisafiri kutoka Johannesburg kuelekea Entebbe imelazimika kurejea ilikotoka na kutua kwa dharura leo Aprili 3 baada ya kugongwa na Ndege (bird strike) na kioo kupasuka muda mfupi baada ya kupaa takribani dakika 45 baada ya kupaa. Marubani waliamua kugeuza na kurejea Johannesburg ambapo Mmoja wa Abiria wa Ndege hiyo amenukuliwa akisema Rubani aliweza kupambana na changamoto hiyo kwa utulivu mkubwa akishirikiana na Wahudumu wa ndege ambao walifuata taratibu zote za usalama bila kusababisha taharuki. Katika rekodi za Ndege kupasua vioo Duniani, tukio la British Airways la mwaka 1990 halitosahaulika baada ya kioo kupasuka na kutoka nje kutokana kufungwa bolts zisizo sahihi kitendo kilichopelekea Rubani Mkuu kujikuta mwili wake nusu umevutwa nje ya Ndege sababu ya presha ya hewa ambapo Msaidizi wake Alastair Atchison alilazimika 'kucheza kama Pele' kwa kuirudisha Ndege ardhini na kuokoa maisha ya Tim. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
10
11
281
24.6K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kiongozi wa Kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore, amewataka Wananchi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi kuacha kabisa kufikiria kuhusu demokrasia na kusisitiza kuwa mfumo huo hauendani na mahitaji ya Nchi yao kwa sasa. Traore ameitoa kauli hiyo wakati wa mahojiano yaliyorushwa na Televisheni ya Taifa, RTB ambapo alieleza kuwa msingi wa demokrasia haukujengwa kwa ajili ya mazingira ya Burkina Faso na kwamba msimamo wake kwa sasa ni kuwa Taifa hilo linapaswa kuzingatia mbinu mbadala za Uongozi zitakazoweka mbele usalama na utulivu wa Nchi badala ya mifumo ya kisiasa ya Magharibi. Serikali ya Burkina Faso ambayo ilianza kuongozwa na Kapteni Traore baada ya mapinduzi ya kijeshi baada ya kuipindua Serikali nyingine ya Kijeshi Septemba 2022, mwaka jana 2025 ilitangaza kuvunja Tume ya Uchaguzi huku pia February 2026 Bunge la Nchi hiyo linaloongozwa na Wanajeshi likipiga marufuku Vyama vyote vya siasa. #MillardAyoUPDATES ( via @DWkiswahili )
millardayo tweet media
Filipino
42
27
396
24.2K
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
Bado mnapenda Irani apigwe?
1
0
0
85
millardayo
millardayo@millardayo·
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Aprili ambapo mafuta ya petroli yamepanda bei kutoka 2,864 mpaka 3,820 kwa lita kwa bei ya rejareja Jijini, Dar es salaam ambapo inaelezwa kuwa kupanda huko kwa bei kunachochewa na vita vinavyoendelea kati ya Marekani kushirikiana na Israel dhidi ya Iran. Bei hizo mpya zimetangazwa hii leo April 1, 2026 ambapo zitatumika kwa mwezi huu ambapo kwa upande wa Bandari ya Tanga Mafuta ya petroli rejareja yamepanda kutoka 2,925 mpaka kufikia 3,881 kwa bei ya rejareja huku kwa upande wa Bandari ya mtwara mafuta ya petroli yamepanda kutoka 2,956 mpaka kufikia 3,912 kwa rejareja. Aidha kwa upande wa jumla EWURA imetangaza bei ya kikomo ya mafuta ambapo kwa bandari ya Dar es salaam mafuta yamepanda kutoka 2,723.97 mpaka kufikia 3,677.71 huku kwa upande wa bandari ya Tanga mafuta yamepanda kutoka 2,72.05 mpaka 3,685.00 na kwa upande wa bandari ya Mtwara mafuta yamepanda kutoka 2,727.04 mpaka kufikia 3,669.32. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
6
11
181
5.8K
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
@AbroadTanzania Kawaulize wanaoumwa madonda ya tumbo gesi yao inatusaidia nini?😂😂
Filipino
0
0
0
22
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Hivi Gesi asilia inayozalishwa nchini Tanzania inatusaidia Nini?
Indonesia
25
6
156
7.6K
Israel Boy🇮🇱
Israel Boy🇮🇱@Magomelo10·
@Chepezi Hata Mafuta yakifika 10,000/= Kwa Lita fresh tu Cha muhimu magaidi lazima yafutwe🇮🇱❤️🇮🇱🇮🇱❤️❤️🇮🇱🇮🇱
Indonesia
1
0
0
5
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
@Magomelo10 Bei za mafuta zipate sana ndio ulichosema?😂😂😂
Filipino
1
0
0
7
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
@Rahim_Meghji Sema maalimu una tatizo sana juu ya Manhaj. Usalafi haufundisi hayo, kwanini unayafunganisha na Manhaj Salafi?
Indonesia
0
0
0
6
KIPRONO
KIPRONO@Onorpik·
Sunni Muslims are cowards, puppets and collaborators with the enemy. It has taken Shia muslims courage to stand up for what's right in yhe world.
KIPRONO tweet media
English
147
409
2.4K
72.4K
Jackson Hinkle 🇺🇸
Jackson Hinkle 🇺🇸@jacksonhinklle·
🚨🇮🇷BREAKING: Iran's Pezeshkian gives message to arab countries: "If you want development and security, don't let our enemies run the war from your lands."
Jackson Hinkle 🇺🇸 tweet media
English
304
6.3K
24.7K
305.3K
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Trump adokeza mpango wa kukiteka Kisiwa cha Kharg nchini Iran, huku bei ya mafuta ikipanda bbc.in/3Pzo8Mx
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
15
7
131
7.1K
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
@netanyahu Jamaa ni waarabu ila ujinga tu. Ona hiyo sura!?!
Indonesia
0
0
0
27
Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו
יחד עם כל אזרחי ישראל, רעייתי ואני מוסרים את תנחומינו העמוקים למשפחתו של לוחם השריון, סמל לירן בן ציון ז״ל, שנפל בקרב בדרום לבנון. לירן ז״ל לחם בגבורה בקו החזית כדי להגן על יישובינו ואזרחינו מפני ארגון הטרור חיזבאללה. אנו מחבקים את משפחתו של לירן ז״ל ומשתתפים בצערה על האובדן הכבד. יהי זכרו ברוך ונצור לעד.
Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו tweet media
עברית
3.1K
678
5.4K
284.3K
C H E P E
C H E P E@Chepezi·
Siku ilaheze.
Indonesia
0
0
0
17
Ig @william_andason
Ig @william_andason@WiliamAndason·
Majengo _ mwanza Majengo _ Dodoma Majengo _ songea Majengo ipi nyingine unayo ifahamu wewe..?
Indonesia
20
2
26
1.5K
Jvnior
Jvnior@Jvnior·
🚨🇮🇱 BREAKING: Tel Aviv settlers: “We Want Regime Change” How ironic, they wanted regime change in Iran but now they rather have a regime change in Israel.
English
474
8K
32.3K
502.3K