Kisu Cha Buchani #KCB

28.8K posts

Kisu Cha Buchani #KCB banner
Kisu Cha Buchani #KCB

Kisu Cha Buchani #KCB

@NikkiZohan

Emcee/Rapper/Beat Maker/Actor and Host Contact:+255654600065/+255747828275

Tanzania Entrou em Ağustos 2012
204 Seguindo70.7K Seguidores
Tweet fixado
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
PLATA O PLOMO ALBUM is officially out and available at Tsh 25,000. Payment numbers on my profile!
Kisu Cha Buchani #KCB tweet media
English
5
34
102
7.5K
Kisu Cha Buchani #KCB retweetou
Brother Moe
Brother Moe@maran_moe·
@NikkiZohan Yote yaliyotokea baada ya uchaguzi huu ni MAJIBU kwa tahadhari na maswali aliyouliza @NikkiZohan miaka 8 iliyopita kwenye ngoma hii.
Indonesia
0
1
10
808
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
Kwamba UNJU achane ma verse mapya ili a-prove nini yaani au amuoneshee nani kwamba yeye ni mkali? Hiyo fanyeni nyie mlionza RAP juzi aisee...TUHESHIMIANE maana vi EP vyenu vinne havifikii mixtape yangu moja sio ALBUM.
Indonesia
7
12
105
3.5K
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
Vitoto vingine sijui vina matatizo gani kwenye hii RAP GAME.....!
HT
2
2
45
1.6K
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
Busta Rhymes amechana nyimbo zake zile zile za zamani au ile verse ya "Look at me now" kwenye interviews ngapi?Shindaneni wenyewe pia jitahidini basi hata muwe na verse moja moja za maana zinazojulikana,maana mimi naanza kurap wengine mlikuwa MASHABIKI tu
Indonesia
2
7
90
2.7K
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
Nina miradi binafsi 13 mpaka sasa na wa 14(Kisu Cha Buchani)unakuja achana na ile ya TAMADUNI na Kikosi Kazi na Sisi The Trio. 10 ALBUMS 2 MIXTAPES 1 EP Wewe unayetaka verses mpya kwenye kila interview kasikilize hizo kazi utakutana na verses kibao ambazo hujawahi kuzisikia.
Indonesia
4
24
145
4.3K
Kisu Cha Buchani #KCB retweetou
Shreubui Binoh ( SB )
Shreubui Binoh ( SB )@everyythangsb·
I’d really love to see @NikkiZohan take the podcast route. He has the authentic street wisdom & articulate delivery, in the podcast form that would cut through like crazy. Imagine hearing his raw thoughts weekly?? I mean that would spark convo after convo after convo …
English
4
8
15
1.5K
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
Tarehe 23/08/2025 TUKUSA FESTIVAL itakuwa ZANZIBAR PAJE BEACH: VENUE:BENTO Hakuna Kiingilio pia utapata Machata Ya Unju kuanzia Hoodies/Pullovers na Tshirts bila kusahau ALBUMS/MIXTAPES na EP.
Kisu Cha Buchani #KCB tweet media
Indonesia
1
19
68
1.9K
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
Shukran kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ushirikiano na upendo mlionionesha hususan kipindi hiki kigumu kwangu cha kuondokewa na baba yangu mzazi Mzee John Marwa Machuche. May the mother nature grant you with abundant blessings. #ASANTENI_SANA #HIPHOP
Filipino
18
26
166
4K
Kisu Cha Buchani #KCB
Kisu Cha Buchani #KCB@NikkiZohan·
WACHIMBA CHUMVI EP [NIKKI MBISHI NA MIRACLE NOMA ]IMETOKA RASMI. INAPATIKANA KWA TSH 15,000 TU. YAS:+255654600065 VODA:+255747828275 AIRTEL:+255685481111 NICAS J.M.MACHUCHE
Kisu Cha Buchani #KCB tweet media
HT
1
27
103
3K