Pipsologist.

10.3K posts

Pipsologist. banner
Pipsologist.

Pipsologist.

@StephanoPerfect

enterpreneur,,, forex and crypto market Analyst Teacher (chemistry and biology)

Kilimanjaro, Tanzania Присоединился Ağustos 2018
1.9K Подписки2K Подписчики
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
@DizoFx ila dizo utakuwa maeneo haya haya niliyo..hayo maeneo unayoyataja hayo kahama ,,msumbwe ,,ushizo runzewe
Filipino
0
0
0
15
mwalimu wa diploma
mwalimu wa diploma@DizoFx·
Gold tunayo trade ni ya mzungu ila wachawi wanatoka bongo Ingekua gold ya mwime au msasa au rwamgasaa ingekuaje
Indonesia
1
1
5
189
mwalimu wa diploma
mwalimu wa diploma@DizoFx·
Maamuzi ya ku trade pair moja pekee ake ambayo ni gold Haya maamuzi ayawezi fanywa na watu ambao Akili zao ni za shule ya kata
Indonesia
4
2
21
520
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
@CyprianwaMercy @Millambo_ ahaaa sawa kaka..hopefully one day yes,, nimepambana me nimepata license ya sehemu ya kupata material,,napambana nipate tu crusher nifie site 😂😂mwendo wa mwaloni porini mwaka mzima nione
Filipino
1
0
1
7
Cyprian
Cyprian@CyprianwaMercy·
@StephanoPerfect @Millambo_ Kaka @StephanoPerfect mm nipo Songwe, nmetoka illusion sina muda sana, so nilichokipata nimerudisha kwenye kujenga plant, Bukombe ntatembea siku kuja kujifunza na kuvumbua fursa zaidi.
Suomi
1
0
1
12
Revocatus Millambo, Ph.D.
Wewe unajua process. Wengi wanadhani ni kuweka hela na kwenda baa. Ndio maana wengi wanapoteza. Inahitaji kujifunza na kufanya kazi kwa weledi bila kubahatisha. Sasa vijana wanataka sure bet, badala ya kulipa gharama ya kujifunza ili uingie ukiwa na taarifa sahihi.
Cyprian@CyprianwaMercy

@SemelaEA @Millambo_ Kununua Gold yenyewe 30M ni nyingi kwa mgonga ulimbo! Kwa kuchimba, 15M unanunua na kuset crusher, 5M gharama ndogo ndogo na malipo ya serikali, 10M running costs ya crusher na duara mpaka siku unachenjua.

Indonesia
1
0
18
1.8K
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
@CyprianwaMercy @Millambo_ Cyprian seti crusher huku bukombe...nikupe sehemu ya kupata material mle kigosi mawe yenye ppm nzuri kbs tuandae senga
Indonesia
1
0
1
24
Cyprian
Cyprian@CyprianwaMercy·
@Millambo_ Na hapa ndio tatizo lilipo, ukija site utakuta stories za mafanikio. Na utashuhudia watu wakispend sana. So wengi wanabaki wakitamani end results bila kupita kwenye mchakato! And huwez kusubiri kupata hela nyingi ili ikuzalishie hela nyingi,just start!
Filipino
1
1
6
126
Revocatus Millambo, Ph.D.
Juzi nilikuwa na mwanangu anauza dhahabu anakwambia ukiona magari makali hapa mjini wewe jua ni wanasiasa, au wafanyabiashara wa madini au matajiri wa Kkoo. Akija Dar, sehemu analala 500K kwa siku. Jamaa anasisitiza ukiwa na 90M unapata faida ya 200M+ kwa mwaka kwenye dhahabu.
Kante@MkulimaKante

Kuna sehemu kulala tu kwa siku 700,000 na kuna wanene wanabook kulala hapo mwezi mzima💔 Kuna muda haya maisha yanaweza yakakufanya umuulize Mungu swali gumu kuwa hivi ni kweli Mungu ni wa wetu sote?

Indonesia
12
11
190
22.4K
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
@WamburaJR_ @Millambo_ njoo Geita nikupitishe nikupe mbinu za kupiga hiyo hela hamna uchawi wala nn ni elimu tu ya madini fulani
1
0
0
281
Wambura Jr
Wambura Jr@WamburaJR_·
@Millambo_ TZS 90m kwa mkwaka inipe TZS 200m, niunganishe na huyo jamaa nikarisk
2
0
3
1.5K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
naombeni mchongo wowote wa kupiga pesa wanangu hali yangu ya kiuchumi ni mbaya sana kama umeona hii post toa maoni kila comment nasoma nahitaji kazi yoyote serious niingize kipato.
Filipino
11
33
94
4.3K
sayilejr
sayilejr@Raphaelsayile1·
@kibaha_finest Kaka njoo moro ifakara kwa mbele kunaitwa chita huku nipo mm nitakupa michongo ya pesa
Filipino
2
0
1
253
Ezekiel Creative Tech
Ezekiel Creative Tech@Milisuboezekiel·
Weekend imefika Usikae kinyonge, Jifunze capcut video editing katika Youtobe Channel inaitwa "Joey edits"
HT
4
48
165
6.2K
MR KIMM™🇰🇪
MR KIMM™🇰🇪@MrKimmKE·
from tomorrow no more free training for outliers you guys are so daft.
English
17
4
90
8.7K
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
@MrKimmKE you're a cow if you like this😎😂
English
0
0
1
58
MR KIMM™🇰🇪
MR KIMM™🇰🇪@MrKimmKE·
If your comment get zero likes before 10am tomorrow I will add to my outlier training premium for free let's go.
English
39
2
28
1.9K
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Vijana wa miaka 25-35 maisha mnayaonaje?
22
9
101
6.6K
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
nikaanza kula pind la wordpress na saivi nipo hatua nzuriii kwahiyo hii tweet yako imegusa kitu ambacho napassion nacho saivi 1.naweza kudrive traffic 2.nipo hatua nzuri kwenye kudesign website kupitia wordpress kwa organic traffic nilijaribu hapo,,,,🤣😂hi
Pipsologist. tweet media
Filipino
0
0
0
23
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
akanitengenezea jamaa changamoto ikawa nzito na hailod zile ads scripts kwa wakati. nikapata wazo la kuanza kujifunza kutengeneza website shida ikawa sijui coding etc ndo jamaa mmoja akanambia kuna drag and drop tools kama wordpress
Indonesia
1
0
0
29
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
nitai quote hii post yako siku moja na ushuhuda... mm nililipia kozi sehemu ya CPA marketing,,then ikawa ngumu kupata leads etc nikawa napata clicks tu,,sikuchukulia in a negative way nikajilaumu mwenyewe pengine efforts zilikuwa hazitoshi maana nilikuwa natrade muda wangu mahal
Assenga Jr@assengajrr

@gabyconscious PESA MTU ANAYOTUMIA KULIPIA BLUE TIKI Anunue domain anunue hosting aweke content kwenye Blog, afu atumie twitter kupeleka traffic kwenye site yake, anaweza tengeza dolar elfu moja au 500 kila mwezi kupitia Google Adsence

Indonesia
2
2
2
213
Pipsologist.
Pipsologist.@StephanoPerfect·
@_kikakaOg utapiga hela balaaaa fundisha watu kutengeneza website,,tundisha kumonetize na ads,,fundisha kudrive traffic kwa paid ads hiyo tyr si inakuwa digital product ?
Filipino
1
0
1
12
KIKAKA CHA IT
KIKAKA CHA IT@_kikakaOg·
Kuna muda natamani nitengneze tutorial za Jinsi ya kutengeneza website na mifumo mikali kwa Ai maana kuna project mbovu za ai Jaman hata nikiCode kawaida hawezi kuwa mbaya hivyo
Indonesia
1
0
1
58