
twende
32 posts

twende
@twenderide
Rekwesti twende pamoja
Dar es Salaam, Tanzania Присоединился Nisan 2026
0 Подписки116 Подписчики
Закреплённый твит

Mwezi mmoja wa twende💚
👥 Watumiaji 6000+
🚘 Madereva 3000+
🚗 Safari 1000+
Rekwesti twende ukiwa Dar es Salaam, kuna ofa ya hadi 20% ukitumia Promo Code ya TWENDE PAMOJA.
Kumbuka dereva una keep 100% ya faida yote! #twendepamoja
Indonesia
twende ретвитнул

Kila safari unayochukua na @twenderide si usafiri tu ni mchango wako katika kujenga uchumi wa wazawa.
Bei nafuu kwa mteja, maslahi bora kwa dereva, na huduma inayokujali kila hatua ya safari.
Chagua Twende Ride.
Safari yenye thamani kwa kila Mtanzania.
#TwendePamoja
Indonesia

@twenderide @Arafat__AH Wakuu pambaneni sana na matangazo wateja wawe wengi hatupati kabisa abiria,pia changamsheni na usiku hasa weekend
Indonesia

Misa ya kwanza na familia kanisani ilirahisishwa na wenetu wa @twenderide
Wife alishangaa nauli niliyolipa ilivyo kitonga😄

Filipino
twende ретвитнул

@chapo255 @twenderide Bado dereva hapewi thamani kwenye hizi app , wapambanaji wenzetu wanaummizwa sana.
HT

Rekwesti twende
STUNNA@CavityDamas23
Kama ni wewe apa unafanyaje wanangu Mtaani kwako unafikaje fikaje 😂
Filipino

Wasilete kisingizo cha ohoo nauli mara mafuta yamepanda bei. Tumetoa punguzo la 20% hii wikiendi. Wanunue Samaki😂
Lubasha Jr@MarekaMalili
Mwisho wa mwezi ndio muda sahihi wa kufanya shopping za groceries ikiwemo proteins za kutosha Kama samaki. Kabla hujainywa hela yote 😃 Tupigie kwa mahitaji ya samaki fresh, na wa kukaanga kutoka Ziwa Victoria. 0762344677
Filipino

Anuary anauliza mnapata Faida kweli mbona ofa kabambe sana wanetu 😂
twende@twenderide
Mwezi mmoja wa twende💚 👥 Watumiaji 6000+ 🚘 Madereva 3000+ 🚗 Safari 1000+ Rekwesti twende ukiwa Dar es Salaam, kuna ofa ya hadi 20% ukitumia Promo Code ya TWENDE PAMOJA. Kumbuka dereva una keep 100% ya faida yote! #twendepamoja

Ukitoka kwenye mishe mishe zako, request na @twenderide, Hawa jamaa wana bei za kizalendo kinoma na huduma zao zipo fasta sana. 🙌🏾
Pakua App yao sasa kupitia link hii 👇🏾
apps.apple.com/tz/app/twende-…

Filipino

@P_simpleman95 @twenderide Sijajua kwa mikoa mingine ngoja nifatilie 😁😁
Indonesia

@twenderide Hawajatoa, fanyeni hata li 20k niishi nyie kampuni kubwa😂
Indonesia

Mtoe dinner baby Chappo, Rekwesti twende tumekupa punguzo la hadi asilimia 20 ukitumia promo code ya TWENDE PAMOJA. by the way Happy Anniversary! vipi walevi zawadi wametoa?
SANUKAnaCHAPO@chapo255
Anniversary nyingine🙌 Nianze sasa kutoa ushauri wa mambo ya ndoa😂😂
Filipino

twende pamoja, iwe bar kokote kule kuwacheki masupa staa wa nchi
CAF Online@CAF_Online
𝑻𝒉𝒆 𝑺𝒆𝒓𝒆𝒏𝒈𝒆𝒕𝒊 𝑩𝒐𝒚𝒔 are #TotalEnergiesAFCONU17 finalists for the 𝐟𝐢𝐫𝐬𝐭-𝐞𝐯𝐞𝐫 time! 🇹🇿
Polski

Mguu wa kutoka sio wa kubaki ndani haijalishi tunaenda kupiga dili gani, tunateleza na @twenderide

Filipino


