Obsidian

98 posts

Obsidian

Obsidian

@2BitRoot

So What?

เข้าร่วม Mart 2026
5 กำลังติดตาม3 ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Mwanaume unaombaje fedha mtandaoni kwa mwanaume mwenzio? Omba mchongo, kibarua, kazi, au connection na si pesa. Ndio maana tuna kizazi cha hovyo sana siku hizi.
Filipino
0
1
0
38
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
Bwana Mrisho Gambo ametoweka kwenye ramani😁
Jambo TV@Jambotv_

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo. Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama mbunge kwa ufanisi na kujivunia elimu yake, akisisitiza kuwa hakuna aliye na haki ya kumzuia kufanya kazi aliyopewa na wananchi. "Tofauti kati ya mtu aliyeenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya mashaka ipo wazi,” alisema akisisitiza kuwa ni muhimu kwa kiongozi kuwa na elimu ya kweli ili kuhakikisha kuwa anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kusisitiza kuwa "Ni lazima ifike mahali uoneshe tofauti ya mtu ambaye amekwenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya kubabaisha au ni ya mashaka. Kwa sisi ambao tuna uhakika na shule zetu, kila jambo linapotokea tunahitaji kutafakari na kufikiria na kuangalia athari ya kila kinachofanyika," aliongeza. Katika kujibu wito wa baadhi ya madiwani ambao walimuomba Makonda achukue fomu ya kugombea ubunge, Gambo amesema kuwa hakuna mtu anayekatazwa kugombea ubunge, lakini akasisitiza kuwa mbunge anachaguliwa na wananchi na sio madiwani. "Kama mtu ana ndoto ya kuwa mbunge, aache njia za mkato. Asubiri utaratibu na aje kwenye uchaguzi, aone kama ngoma ya kitoto inakesha," alisema kwa kujiamini. Gambo amebainisha u pia shutuma za kwamba watu wanajaribu kutumia mamlaka zao kuingilia mchakato wa uchaguzi na kutaka kumchafua. “Kuna watu wanaona kazi inakwenda na wananchi wanatukubali, wanataka kutumia mamlaka yao kutuchafua na kuleta ajenda zisizo na msingi. Mbunge huyo pia amekosoa vikali hali ya baadhi ya wanasiasa kutoa machozi kwa sababu ya kushindwa kupata fedha walizokuwa wakitarajia kutumika kinyume na utaratibu. “Kama kuna mtu analia kwa kupoteza fedha alizokuwa akitarajia, machozi hayo ni ya halali kwa sababu walijua wazi kuwa wangezitumia kwa manufaa yao binafsi,” aliongeza. Kwa kumalizia, Gambo amekumbusha kuwa yeye ni mbunge anayetekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi wa Arusha Mjini, na hakutakuwa na mtu yeyote atakayemzuia kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu.

Indonesia
1
1
2
50
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
@salymdev Hapa wako busy kushughulika na wakosoaji wa Mitandaoni.
Filipino
1
0
1
30
Salym
Salym@salymdev·
Sijui sisi huwa tunafeli wapi, tupo nyuma nyuma sana aloo
Salym tweet media
Indonesia
4
1
6
383
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Hizi sausage za KENYA zipo vizuri sana kushinda hizi za kwetu. 🤌
Bony 📚 tweet media
27
7
133
7.9K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu sheria na kutotumia uhuru wa nchi kuvuruga amani na mshikamano wa taifa.
Suomi
18
3
31
4.1K
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
@TheChanzo Atulize Kuma Lake Ikulu na afunge kopo lake, mitandao atuachie sisi Msenge huyu.
Filipino
0
0
0
0
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa dini zinapojenga maadili mema ya jamii taifa hujenga msingi wa amani na maendeleo yake. Akizungumza kwenye Baraza la Idd El-Fitri jijini Dar es Salaam leo Machi 21, 2026, Rais Samia amewataka viongozi wa dini kuendelea na jukumu la kuwajenga wananchi kiimani na kimaadili. "Tukiendelea kuyaachia yale aliyoyasema Mufti ya kutukanana kwenye mitandao ya kijamii huko, ya kutengeneza AI zinazokashifu viongozi eidha wa Serikali au wa dini, watoto wetu wadogo wakiyaona yale wanajifunza, wanayafata, hatutakuwa salama, na nchi haitatulia na maendeleo hayatakuwepo," amesema Rais Samia.
Indonesia
16
2
13
2.2K
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Mtawala anachaguliwa kwa asilimia 98%. Lakini anaogopa mpaka magrop ya Whatsapp, X . Yaani Kwanini wakati anapendwa
uncle chitemo tweet media
Indonesia
9
10
56
2.7K
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Absolute Banana🍌
Svenska
0
0
0
8
Learner✝️🛐
Learner✝️🛐@ProLearner77·
@ErickKamihanda Watu wa Hip Hop mnatumia muda wenu 98% kulalamika, kubishana kuhusu maana ya Hip hop, kujigamba, beef na kutukana watu. Watu wa ovyo kweli
Indonesia
4
0
4
507
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Ni muda wa jamii na media kuacha kuchanganya HIP HOP na RAP. hivi ni vitu tofauti kabisa. Contradiction ipo hapa: Sio kila anayerap ni Hip Hop artis. Wasanii kama Lunya, Moni, young D, conboi, wako kwenye angle ya RAP. Sikumbuki Kama washawai kuwa hip hop artist.
Indonesia
14
7
61
4.9K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
ukisiikiia nnamchukia mtu bila sababu ndo uyu kaka simjui hajanikoseea Ila niliona interview yake siku moja nikajikuta namchukia anajibu jeuri ana dharau, Mshamba namba moja wa chugga eti figo vato ndio nani wakuu?😂
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
69
13
278
43.2K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Huyu bimaza kipaji anachoo , sawa kaimba matusi kuna kumkanya sasa kufungiwa miaka mitatu halafu ndio alikuwa kaanza kujulikana wanamrudisha tena nyuma duuh
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
35
18
185
20K
Dr. Travis
Dr. Travis@TravisKitengo_·
Huyu jamaa anajua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dr. Travis tweet media
Indonesia
71
24
204
19.8K
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Absolute Madness💀
English
0
0
0
14
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@2BitRoot Sio Unimous ila hunifahamu tulia we joined 2026. Heshimu baba zako.
Indonesia
1
0
0
4
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Mtu kajoin Twitter 2011 afu leo 2026 anasema ana umri wa miaka 30. Humu kwa kujidogosha.
Indonesia
9
1
28
6.8K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@2BitRoot Kapuku unanifahamu au shobo zako tu we joined 2026.
Indonesia
1
0
0
10