
@keithevans2685 @Roma_Mkatoliki Ndo mana nikaanza na Mungu kwamba mungu hatupitish kwenye njia sawa Kila moja anampa kwa kadri alivyomkadilia kama kapanga utumie Cha halali ni elfu hamsin bas hata Ukipata million itatumika bila mpangilio wako ilimlad ibak unayostahil kuitumia
Filipino




















