junglemaster

2.7K posts

junglemaster banner
junglemaster

junglemaster

@BarnabaSaimon

law enforcer & community policing analyst @chelseaFc, @realmadrid, @Cristiano @YoungAfricansSC [email protected] freedom of thoughts

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Mayıs 2019
1.1K กำลังติดตาม1K ผู้ติดตาม
junglemaster
junglemaster@BarnabaSaimon·
@livingmkamba Uchaguzi kuwa batili sidhani km tume inaweza batilisha ila mahakama na sisi kikwetu uchaguzi ukishapita umepita huwezi enda mahakamani. Tume haiwezi kujikosoa km ilisimamia uchaguzi itaendelea kusimamia msimamo wake
Indonesia
1
0
1
37
living⚖️
living⚖️@livingmkamba·
@BarnabaSaimon Vipi ikiwa kuna tume huru ya uchaguzi kuna haja ya kurudia uchaguzi mwingine iwapo awamu ya kwanza alizingua..
Indonesia
1
0
1
270
living⚖️
living⚖️@livingmkamba·
Hivi kisheria ipoje endapo itabainika umelea mtoto ambaye si wako.?🤔🤔
Indonesia
34
16
113
15.3K
junglemaster
junglemaster@BarnabaSaimon·
@bajabiri Ukiwa na njaa unaweza hisi ni donate watu wamemaanisha
हिन्दी
0
0
1
69
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Donati za Mikoani..... 🍩 Kipenyo kidogo,utamu kama wote....zina taste ya sukari miksa Chumvi
Hormuz™️ tweet media
Indonesia
13
7
48
2.5K
Broski_
Broski_@Kingston_Kappa·
“Bora akose angepata angetusumbua sana” Kwenye scenario yoyote ya maisha, kama umewaisema hiyo statement hapo juu basi na wewe unatabia za kishetani 😂
Indonesia
1
2
4
342
LizyRomanio🤪
LizyRomanio🤪@ShirimaYvonne·
Alafu ukishajipata umuache huyo manzi
junglemaster@BarnabaSaimon

@MarekaMalili Kaka kuna situation nakuelewa kbs eg mm mwaka jana nmekaa mtaa bila kazi kwa miezi sita ilifika hatua manzi ndo ananisaidia hela ya kula ulikuwa wakati mgumu sana ule

Filipino
3
0
2
82
junglemaster
junglemaster@BarnabaSaimon·
@MarekaMalili Kati ya viongozi ambao wananifanya nijione na mm maweza kuongoza huyu nae yupo imagine kwa access ya taarifa alizonazo na vitu ambavyo anazungumzaga unaona kbs huyu angekuwa km mm asingeweza hata kuongea kitu chochote mtu akaelewa
Indonesia
0
1
8
534
Samz•
Samz•@samz__23·
Toka nmeanza kumuangalia Nuno Mendes wachezaji wawili tu ndo nakumbuka wamemkalisha chini, Malo Gusto Club world cup final na Michael Olise UCL semis.
Indonesia
6
3
64
2.6K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Waamuzi wa mchezo wa Derby kesho wataongozwa na refa wa kati Dickens Mimisa Nyagrowa kutoka Kenya, akisaidiwa na Ali Mbwana na Yussuf Shombe kutoka Zanzibar, huku Is'haq Mwalile kutoka Tanzania Bara akiwa mwamuzi wa nne
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
11
7
196
6.8K
Kennedy 🐓
Kennedy 🐓@kenedsimon2·
PSG vs BAYERN MUNICH 👀, hii game leo tunamshabikoa nani wanngu?
Indonesia
5
4
19
309
UDSM ICON
UDSM ICON@udsm_ikoni·
Name a highly underrated series that deserves a hype?
English
1
1
2
476
Adellah Tillya
Adellah Tillya@AdellaTillya·
Sikia My Huku Mtandaoni Likes tu ndo zinahitajika Wewe Ishi Maisha yako na Uyafurahie, Usijione Mnyonge Trust Me Una Enjoy Kuliko Wao, Wenyewe wakimaliza Kupost Wanajichekea na Fake Life zao. ACHA KUJIPA STRESS ENJOY DARLING.🤗
Indonesia
8
4
96
2.8K