Brigitha Faustin Chuwa
7K posts

Brigitha Faustin Chuwa
@BrigithaFC
Entrepreneur 🇹🇿 | Author of 1. Purpose and Impact: A Guide To A Happy and Fulfilling Life. 2. My Reflection,The Inner Voice — Both available on Amazon.📚✝️



Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji. Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.








Mjomba @kitilam nimesema Mungu wa mbinguni hawezi kutupa zawadi ya kuishi zaidi ya miaka 100 halafu tufanye makosa. Upande wa Public Procurement Regulatory Authority mpe ndugu Pendason Philemon kutoka hapo hapo @CRDBBankPlc @ikulumawasliano @ikuluzanzibar @UKinTanzania @GOVUK





Mjomba @kitilam Naibu Katibu Mkuu Madini mweke ndugu Saleh H. Pandu, Naibu katibu Mkuu Ujenzi mpe Pascal Mihayo kutoka hapo @CRDBBankPlc Naibu Katibu Mkuu mifugo mpe Bi. Vaileth Mwakalukwa @ikulumawasliano @ikuluzanzibar @GOVUK @UKinTanzania

Mjomba @kitilam ndugu @ThatBoyKhalifax mpe Ukuu wa Wilaya ya Mafia @ikulumawasliano @ikuluzanzibar @UKinTanzania @GOVUK












