Uncle Mauja
198.9K posts

Uncle Mauja
@Captain_almando
| Land Consultant | | Certified Manchester City, FC Barcelona & Simba SC Fan |
Tanzania เข้าร่วม Aralık 2013
1.2K กำลังติดตาม3.4K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว

Good morning wapendwa
Shoe rack
TSH 25,000
0755693113
📍 Ubungo External, mikoA yote tunatuma
@MiriamMkanaka @Sativa255

Filipino
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว

Umetumika kisenge na ninafikiri you knew what you did. Samia ameuwa maelfu ya Watz. Ni upumbavu kuchukua pesa kutengeneza diversion, au kuibua mjadala wa kijinga wakati tuko msibani.
Acha ushirika wa kipumbavu na watu wanaotaka wakuuwe pia. They’re so desperate.
Learn or perish
Madenge@rollymsouth
@fredkavishe Freddy hakuna sehemu nimesema wamelipia maandamano, I was trying kuelezea kuwa hizi fund zipo kila mwaka so tusiambiwe zimetoka kwa ajili ya maandamano..uko sahihi kabisa zinatolewa Kwa taasisi mbali mbali.. Watu wamejaribu kuipindisha kulingana na wanavyotaka wao
Indonesia
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว

Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡
Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa wasanii na watu maarufu wa Tanzania wako busy na vibao kata hata kupaza sauti hawawezi 🚮
Ni uchungu kuona namna ambavyo angeweza kung’aa, lakini akasukumwa gizani na ukatili wa watu waliokataa kuona utu wake. Mungu azidi kumpa nguvu ya kuvumilia magumu anayopitia naaamini she will come back stronger 🙏❤️
#FreeNiffer

Indonesia

@fadhilikangusi Acha tamaa kaka, vizuri vinagharamiwa shauri yako 😂
हिन्दी
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว

Kwamba watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali zenu!!!!
Rasimali zipi?
Bandari mmekabidhi kwa mwarabu Dubai.
Madini wanamiliki watu wa nje wazungu na migodi midogo wachina.
Vijana wa Tanzania wananufaika vipi na hizo rasimali tofauti na nyie na familia zenu?
Wakitaka kuweka Mwenyekiti wa mtaa atakaewasemea mnaiba.
Wakitaka Diwani, mbunge au Rais atakaebadili maisha yao mnapora na kuwaua..
Msifikiri Watanzania wa sasa ni wajinga.
Indonesia

@Cowwbama fanya odds 2 kwa siku kumi em
Nina harusi ya gafla
Naenda kama shangazi😂🥱
Indonesia
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว

Watu wa Man City wataniua😭,Folks niko huku kwa mkopo wajameni
#COYG
MKAMANGI🦒🇿🇦@___sonianana
Switched to Arsenal just because I wanted that Kit Thank you doctor @Ms__hope255 naomba uni-upgrade tajerr au nirudi🥱
Indonesia
Uncle Mauja รีทวีตแล้ว

Waterproof bedcover
Futi 5x6
Tsh 40,000
Hayapitishi maji/ mkojo
0755693113
📍 Ubungo external, Mikoa yote nakutumia Kwa uaminifu 📌

Sarafina@Finah_Business
Good morning 🌞 Hizi NI waterproof bedcovers zisizopitisha maji wala mkojo📌 Futi 6x6 Tsh 43,000 0755693113 📍 Ubungo External, Mikoa yote tunatuma @Sativa255 @MiriamMkanaka
Indonesia









