Legendy

600 posts

Legendy

Legendy

@Legendyfx

Arusha เข้าร่วม Aralık 2023
164 กำลังติดตาม89 ผู้ติดตาม
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Ligi karibia zote duniani zimeisha ila hii ligi bado haijaisha na ipo kwenye mapumziko.
PàChâ#1738 💫 tweet media
Filipino
34
20
112
5.9K
Legendy
Legendy@Legendyfx·
@Granitinho85459 @mzee_mbuzi Izo thawabu za ndoa wanaopata ni wakinan ni wanandoa au wahudhuriaji tofauti malipo ya wahudhuriaji kwenye mazishi yametajwa je malipo ya wanaohudhuria ndoa ni yapi
Indonesia
0
0
0
15
Granitinho
Granitinho@Granitinho85459·
@Legendyfx @mzee_mbuzi ibada ya kufunga ni nusu ya dini! na itakapotokea kuna msiba at same time kuna ndoa mfano bibi harusi au babu harus wamepata habari ya msiba wa mzee wao basi inatakiwa ndoa isihairishwe wafungishwe ndoa then msiba ufate
Indonesia
1
0
0
11
AftEr ReVieW
AftEr ReVieW@mzee_mbuzi·
Leo baada ya swala ya ijumaa kulikua na swala ya maiti mskitini na baada ya hapo watu wakagawana wengine wakaelekea makaburini wengine wakabaki kwajili ya Ndoa(Harusi) hapo hapo mskitini. Wengine wakiyaanza maisha wengine wanakuwa washamaliza yakwao Life🙌🏾
Indonesia
18
54
203
3.5K
Legendy
Legendy@Legendyfx·
@Granitinho85459 @mzee_mbuzi Ndio wanaohudhuria kuzika wana ujira mkubwa kuliko waliohudhuria ndoa Mtume PBUWH anasema ujira wake ni sawa na milima miwili mikubwa ya thawabu
Indonesia
1
0
0
14
Lorna♧♡
Lorna♧♡@L0rna_li·
Saa mbili mchana, leteni usernames zenu tuwafollow
Indonesia
35
26
77
744
Legendy
Legendy@Legendyfx·
@VungaEl74 Kuna yule mwingine alisema amesikia adhana. Michezo hii 😂
Indonesia
0
0
0
34
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Mwanaanga Reid Wiseman anasema ALIGEUKA kuwa Mkristo baada ya safari yake ya kwenda mwezini. "Hakuna maelezo mengine ya kile nilichokiona na kukipitia. Tuliporudi duniani, niliona msalaba na kulia tu." Ukweli ni kwamba ukiangalia kila kitu na bado humwamini Mungu muumba basi ni wazimu. Unafikiri kila kitu kimetokea tu? Somo la maadili: Karibu katika Ukristo. Yesu Kristo ni mfalme
Vunga tweet media
Filipino
31
34
256
20.5K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Nyakati za jioni, Arusha Tanzania Zoom kisha niambie hapa NI wapi upate 5K
P'site Shio tweet media
Indonesia
8
1
28
1K
Cypher Smith Rowe💥🇹🇿
Cypher Smith Rowe💥🇹🇿@CypherSmithRowe·
Hizo ni animation za ndege za abiria, ukitumia rockets ni miezi tu unafika na sayari zingine inachukua miaka kadhaa. Qur'an inasema hatuwezi kuvuka Mbinguni mpaka Mungu aruhusu, Uzuri Mungu sio Maduro Voyager 1 ya mwaka 1977 mpka kufikia leo hii imeshavuka Solar System.
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani

Ukiangalia Video hiii utagundua kwamba maneno ya kwenye Quran ni ya kweli kwamba hakuna binadamu atakayetoka nje ya solar system au kwenye Sayari hii ya Earth kwenda kwenye sayari nyingine kuishi

Indonesia
10
3
23
4.7K
T-Bg
T-Bg@_iamtbag·
Kama uko active drop handles tukufollow
Indonesia
99
64
139
2K
mogire
mogire@Its_Mogire·
@Legendyfx Those who will stand by your side are true ones
English
1
0
1
2
Legendy
Legendy@Legendyfx·
Saivi ukitaka kuwajua ndugu zako subiria msiba wa familia utokee utakutana na kila ndugu yako
Indonesia
1
1
4
60
mkoleni
mkoleni@mmanyema5·
@Geeee_123 Waache waendelee kuushi bila kuaga. Na sisi hatuwafatilii. Tutapokea miili yao tuwazike
Filipino
2
0
1
223
Geeee❤️
Geeee❤️@Geeee_123·
Kuna ile kawaida yao Wanaume wanaondoka hawaagi hawasemi walipo ukimuuliza anaona unamfatilia Imagine jirani Yetu toka jpili Haonekani hajulikani alipo watu wakadhani kawaida yake Leo jioni anapatikana kauwawa NDIO maisha gani lakini Siku izi kuuwana sio Shida kabisa Duuh😭🙌🏻 🙌🏻
Indonesia
20
25
249
15.4K
Legendy
Legendy@Legendyfx·
@Mikumifinest Hao hao wakina mathayo na luka mmoja anasema yesu alivaa nguo ya zambarau mwingine anasema alivaa nguo ya rangi nyingine na wote wanakiri walimshuhudia
Indonesia
0
0
1
131
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Petro na wanafunzi wengine wa Yesu ambao waliishi nae , wakala nae. Wanakiri kwamba Yesu alikufa akafufuka katika Wafu . Mohammad ambae aliishi Miaka miasita mbele anakuja kutuambia Yesu hakufa . Mungu alibadilisha Mtu mwingine. This is wild 🤔
Indonesia
35
12
102
7K
Dr. Thadeus Mihayo
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19·
Acha kukaa kinyonge shusha handle Yako tukufollow back chap uongeze followers
Dr. Thadeus Mihayo tweet media
Filipino
53
12
52
1.1K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
jumapili ya kuinuana weka handle yako hapa tukuinue sasa hivi.
kibaha_finest tweet media
Indonesia
34
16
54
1K