FUTURE ME

5.2K posts

FUTURE ME

FUTURE ME

@MALLY2809

Me

เข้าร่วม Haziran 2023
511 กำลังติดตาม185 ผู้ติดตาม
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@gabyconscious na wana Elimu mbalimbali katika vyeti vyao. diploma wood work in house structure, degree political science chuo oxford in washngton, masters engineering,agriculture, vyuo vyao sass😀😀😀
Čeština
1
0
0
67
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@MarekaMalili kachelewa sana kuanza huyu alitakiwa aanze 10yrs ago.pombe walidhani sifa
Filipino
0
0
0
503
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Dj choka anagonga dialysis 🙌🏼
Filipino
48
24
465
36.6K
FUTURE ME รีทวีตแล้ว
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Tone Tone Imerudi.
Brenda Rupia Jonas tweet media
English
5
63
243
2.1K
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Una sababu gani za msingi za kutokula nyoka/mbwa/Simba/paka? Sababu ambayo ukisema unaonekana upo timamu na unatumia akili zako kama inavyotakiwa.
Filipino
118
58
706
54.5K
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@gabyconscious umaarufu unafaida sana vijijini huko usione watu wanajitoa akili wafahamike then warudi vijijini mwao wakawadanganye wananchi
Indonesia
1
0
9
794
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@Paul_Sweezy1 @EsirEid si ni kazi tu kama kama kazi nyingine. Je anawachoma wana X humu kwa kazi yake?anasapoti mambo ya hovyo? vijana pambaneni acheni roho za kimasikini mkizeeka mtakuwa wachawi.
Indonesia
0
1
7
373
paul
paul@Paul_Sweezy1·
@EsirEid Huyo tajiri ni Usalama wa Taifa kaeni rada nitawaletea mafaili yake na cheo chake
Filipino
5
2
9
13.7K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Daah! Nmekuja kugundua humu ndani kuna Polisi wengi kishenzi😂. Alafu wapo kimya kimya handle za followers chini ya mia tano… Nmefika Central… shughuli zimesimama Kama dakika 10 hivi… “Tajiri la Kihaya… nakufuatilia saana pale X…” “Kiboko ya wasimbe upo…” “Mtetezi wa Iran…” “ Tajiri Leo umefika… Lazima Tuokote” “Tajiri la kihaya Ni Mmoja tu” “Na hii ndio maana Halisi ya Tajiri la kihaya…” Yaani imekua vurugu mechi kuanzia Reception Hadi 3rd floor😅 Mapoti tuliokutana Leo mni Dm basi nipate handle zenu😅😂
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Nani Yupo haya Maeneo ya Central Police… Tuone Tunafanyeje???

Filipino
87
29
297
46.5K
FUTURE ME รีทวีตแล้ว
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao, rasilimali zao na mshikamano katika kumtetea Mwenyekiti Lissu. Mmeonyesha kuwa mu marafiki wa kweli katika vita dhidi ya Mamumiani na mafisadi wa demokrasia ya kweli katika nchi yetu. Katika harakati tunazoendesha tofauti lazima zijitokeze na hata kutiliana mashaka. Msikatishwe tamaa hata mara moja tusonge mbele kwa pamoja. Kama mjuavyo sasa tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Mwenyekiti Tundu Lissu. Taarifa hizo zitatolewa na uongozi mkuu wa chama, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa Sheria baada kushauriana na Mwanasheria Mkuu. Jopo la Mawakili wa Mwenyekiti Tundu Lissu ni hawa wafuatao: Orodha ya mawakili: 1. Mpale Kaba Mpoki 2. Dr Rugemeleza Nshala 3. Peter kibatala 4. ⁠Jeremiah Mtobesya 5 Hekima Mwasipu 6.Gaston Garubindi 7. ⁠Jebra Kambole 8. ⁠Deogratius Mahinyila 9. ⁠Paul Kisabo 10.Sisty Aloyce 11. ⁠Nashon Nkungu 12.Catherine Michael 13. ⁠Ikoti Lissu 14. Emanuel Chengula 15. ⁠Gloria Ulomy 16. ⁠Deus Singa 17. ⁠william Maduhu 18. ⁠Fredinand Makore 19.Jacob Mogend 20. ⁠Dorice Kafuku 21. ⁠Michael Mwangasa 22. ⁠Pastory Kong’oke 23. Matojo Cosata 24. Mzee Alute Mughwai Lissu. 25.Dickson Matata 26. Edward Heche 27.Maria Mushi 27. Selemani Mohamed Matauka 28.Michael Lugina 29. Melchiory Sanga 30. Edson Kilatu. Naomba tuwatie moyo Mawakili hawa wote na tusonge mbele kwa pamoja na kwa moyo mmoja (tiyende pamodzi, ndi mtima umodzi) kama Mzee Kenneth Kaunda alivyotufundisha. Aluta continua Vitoria e certa!
Indonesia
34
309
1.4K
63.7K
FUTURE ME รีทวีตแล้ว
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Watanzania ICHANGIENI CHADEMA ifanye kazi zake. Mimi nimekuwa ktk siasa za upinzani tangu 1990. Nawashuhudia Chadema ndio chama pekee kinachojali masilahi yetu. Kama mtadharau ushuhuda huu mtalia na kusaga meno.
Indonesia
40
346
1.4K
23.4K
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@TMnyama4_ wote wanapiga pesa,inategemea na hospitali uliyopo. hupo hospital ya rufaa utapigaje hela?mshahara 2m haufiki
Indonesia
1
0
1
1.3K
T
T@TMnyama4_·
Kada ya Udaktari Naombeni Majibu yenu hapa Ni specialist gani anapiga pesa nyingi kati ya hawa 1. Gynecologist (wnawake) 2. Dentist (Meno) 3. Pediatrician (Watoto) 4. Orthodontist (Mifupa) 5. Dermatologist (Ngozi) 6. Optometrist (Macho) 7. ENT (Sikio, Pua & Koo) Wataje wengine
Indonesia
48
13
184
27.1K
FUTURE ME รีทวีตแล้ว
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Pamoja a Misuko suko yote hawa Jamaa wamepitiaga na Bado Mitaa ina Waelewa.,Itoshe kusema CHADEMA ni mpango wa MUNGU..✌🏿✌🏿🙌🏿🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet mediaEng.Mapunda Jr tweet media
Filipino
28
189
1.2K
16.3K
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@Ninja_Damour katika rappers wakali wa Tamaduni kwangu Nikki hayupo. ni ONE, Chunda bad, songa. Nikki alijua yeye ni mkali ame relax sana amekuwa fala fala tu amebaki kujisifia ye mkali.ukali wake haonekani.growing up nimewasikiliza tanaduni/lunduno ila nikki hamna kitu.beat mbovu
Indonesia
2
0
1
248
N I N J A
N I N J A@Ninja_Damour·
Wanao wakipewaga show za viwanjani hali ndio inakuaga kama hii 😃😃 Mkiona Mkato ananyanyua hao hua mnadhani analoga sio.
PABLO@PabloYende

@KINGLUDA18 hamtaki maoni ya Wadau 🤠🤠 maana kila show aliekalisha mkato ni ya clouds au kill music

Indonesia
19
4
45
7.8K
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@Mangiurio12 @chapo255 kitu kinawaangusha ni beat. kuna mchungaji mmoja alitufundisha kuhusu WAKATI. ukielewa kuhusu wakati na ukazingatia maisha sio magumu kivile
Indonesia
1
0
1
75
Mangi urio
Mangi urio@Mangiurio12·
@chapo255 wanakosa Chorus na beat, wanapenda beat za kizamani mtu anachagua beat ngum, wakubali mziki umebadilika.
Indonesia
4
0
8
628
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Ukisikiliza ‘Sawa’ ya Gnako na wana wa ‘Tamaduni’ utagundua tu wenetu wa Hiphop wanakosaga tu chorus kali. Muwa mkali sana, nimependa zaidi verse ya Songa.
Filipino
16
17
341
9.3K
FUTURE ME รีทวีตแล้ว
Eng Octavian Lasway
Eng Octavian Lasway@Octavianlasway·
Welcome to my new venture — BASEPRO ENGINEERING LIMITED. We provide: Civil & building construction | Industrial real estate solutions | Industrial development & planning Motto: Your Industrial Vision, Engineered into Reality. Connect with us: info@baseprotz.com baseprotz.com
Eng Octavian Lasway tweet media
English
15
44
100
6.5K
FUTURE ME รีทวีตแล้ว
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn
Indonesia
36
286
1.1K
20.2K
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@FredrickMulla muziki ni kama katuni za kipanya kila mtu ana tafsiri yake. ila mstari mkali kabisa kauelezea kisanii
Indonesia
0
0
0
236
Master Manondo
Master Manondo@FredrickMulla·
“Na Mistari Mikali hadi George anarudi Bush/ Hakuna utata, Mbaratata nasimama mpaka BASATA/ Vaa Gucci Vaa Supra nafunga kupiga Supa.” Au sio Blaza😂😂
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki

Nionavyo mimi!! Tunao Rappers/Mc’z and HipHop heads wazuri wengi tu! Lakini ni wazuri tu kwenye ufundi wa kucheza na maneno tu, kupanga vina na flow tamu!! Lakini hupati exactly maana ya anacho-rap!! Ni kama anacho rap hakina maana au you can’t relate na maisha ya msikilizaji!! Unakuta mtu anarap Mfano…anaweza akasema 🗣️ Midondoko,Mikong’oto,Misokoto yetu kanga moko/ Dry peku kama mpoto, masai yechu hii namba nyoko/ Ukimsikiliza na alivyonata na mdundo utapenda, BUT YOU CANT RELATE!! Ni kundi dogo sana linaweza relate na ulichosema (Wasanii wenzako na wenye ndoto za kuwa wasanii) Ni lines zinaweza kuwa tamu lakini hata yeye ukimbana kwa interview afafanue alimaanisha nini….. HE CANT! Ataishia tu kusema…. Si umeona hiyo Dry Peku, halafu kule mwanzo nilisema misokoto! Kwahiyo misokoto 🚬 yani dry….yani peku😁….halafu Mpoto si ndo’ anatembeaga peku na rasta zake kama misokoto😁 YANI HIZO NDO’ METAPHOR’s kaka!! Skillz za rap hizo!! Ndio kashafafanua hapo kamaliza!! Haya we umemuelewa!??🤔🤷🏿 Wito wangu, tengeneza maudhui (Content) ya nyimbo ambayo audience can relate with!! Hasa na maisha yao ya kila siku, iwe mapenzi,bata,siasa,inspiration. Na uiandike katika namna msikilizaji anaweza kuvaa uhusika!! Utapata fans wengi, utasikilizwa na watu wengi na fanbase yako itakuwa!! Ukiendelea na hizi za michomoko, miporomoko/ Tamathali za semi, na stanza sijui za banza kama stone na jiwe ndo magu chato/ na iwe manjagu couple!! Hizi watasikiliza tu kundi chache la wanaopenda Rap au wenye ndoto za kuwa Rappers!! Ndio maana Rappers wa dizain hii wengi wana struggle kupata fanbase kubwa, coz wanawaimbia wasanii wenzao na sio mashabiki!! Hakikisha Rap yako anaweza aka relate Mtoto/ Mama mtu mzima/Muhuni/Sista du/Padre/Ustaadh/Kiongozi/Babu/Bibi Hadi shabiki ambaye hafatilii muziki, Kama Padre anaweza sikia line moja na aka relate na maisha yake!! NA HIYO NDIYO HIP HOP!! Tusiwajaze sana vichwa hawa na kuwaambia wao ni wakali sana, kwa sababu tu wanaweza kucheza na maneno wakatengeneza vina!! HipHop/Rap Hakikisha inaleta maana!! GUSA MAISHA YA WATU!

Indonesia
21
6
106
24.7K
FUTURE ME
FUTURE ME@MALLY2809·
@JitulaMtumba12 @MTENGENEZSAFINA 😀😀😀😀😀 kwa hiyo wakina messi waliokuwa inspired na wachezaji wengine sio ma GOAT??.mtu anaku inspire unajishape na unaweza ukawa bora zaidi yake
Indonesia
2
0
1
15
jitu la mtumba
jitu la mtumba@JitulaMtumba12·
@MTENGENEZSAFINA Dizasta ana mzidi vipi Nikki mbish! Wakati wakina Niki mbishi ndo waliowainspire wakina Dizasta! Acha kuleta mahaba yako kwenye Harakati
Filipino
1
1
3
229
NOAH B
NOAH B@MTENGENEZSAFINA·
Kuna kamdomo akipata tu interview utasikia on top on top anaenda kwenye ufalme wake Ana Quantity pipa na quality kisoda Dizasta yupo top zaidi yake na hakuna clip za interview za kubwabwaja kusema yupo top Rspect wakubwa,Hapo anamsema baba ake wa mziki utapata mikosi tu.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious

DIZASTA VINA ndo Emcee pekee huezi kumsikia anasema kwa interview sijui nna goma kali, sijui mashabiki wanifollow, sijui kasubscribe wapi Na bado maguru hawajamsainisha lebo Mashabiki ndo wanafanya hiyo kazi. Put some respect on his name #VINA😎🫡

Filipino
18
4
47
7K
𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy
Chagua gari moja tu ambayo utaitumia kila siku kwa maisha yako yote yaliyobakia utachagua ipi!? 🙆🏾‍♂️
𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy tweet media𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy tweet media𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy tweet media𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy tweet media
Indonesia
24
9
70
9.3K