

𝙼𝚏𝚊𝚠𝚒𝚍𝚑𝚒 פְּנוּאֵל 🩺
33.2K posts

@MOPenuel
Medical personnel | Data analyst | UI/UX Designer | Klug @AfyaGazette





Bei sio Fixed 👉🏾Ingia reebelo.com tafuta bei hutofautiana 👉🏾Baada ya hapo nenda IG Check agent anaitwa "Aquantuo tanzania" akupe address ya kuweka Reebelo 👉🏾Atakusafirishia mzigo wakupe na gharama za usafiri




Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa htmldog.com Itakusaidia kujifunza HTML, CSS na JavaScript bure.

Mtu kama @gabyconscious sio wa kupuuzwa,anaishi kuleta 'impact' kwa jamii. Nashangaa sana watu wanamchukulia jamaa "simple simple". Ukiachana na kazi kubwa anayofanya,jamaa ana moyo wa kujitoa sana. More Appreciation homie.✊🏾.

Mzee Conscious Nilifuata hii procedure, nikaagiza S22 Ultra 5G kutoka USA Machine imenyooka sana Storage 512GB, RAM 12GB, One UI8, Snapdragon 8 Gen 1 Sikusaidiwa na mtu, nilifuata tu maelekezo na mzigo ukafika salama kabisa Be blessed man! Asante sana!





