Saint_martao
7.4K posts

ทวีตที่ปักหมุด
Saint_martao รีทวีตแล้ว

@chisomholic You was a wife by then. Anyway take them all a become a husband.
English

@ServiceMan2014 @makumbawaleo_5n @Isayadicksonjr Jijini wako wengi sana hawa kila idara, Nakubali kazi zao.
Filipino

Hii inawezekanaje wakuu @ServiceMan2014 @Isayadicksonjr
Bimkubwa anakula consultation fee zetu wagonga ulimbo! 😂

Indonesia

@KennedyMmari Biashara zao za cargo za kinataifa zitakufa, Bandari itapunguza mapato n.k
Euskara

Kipindi nacheza Forex ulikuwa ukigusa story za kuipondea Forex nilikuwa natamani nikurukie. Na baadae niligundua ulikua ni utoto wa kifikra sio kiumri.
Nilichokuwa napitia ndio ambacho wacheza forex wengi wanapitia sasa.
Vijana wenzangu ile sio biashara ya kubet potential na future yako yote.
Africa tuna matatizo mengi makubwa sana ambayo ukitatua ni pesa nyingi sana! Lets go solve them.
Indonesia

Kuna utajiri umejificha kwenye vitu tunavyovichukulia poa
Kama una milioni kadhaa agize mtambo china, Mtambo ambao utakuwa unao uwezo wa kutengeneza vile vikopo vya kupimia choo na mkojo mahospitalini.
Ukiwa ushaagiza piga mguu kwa mguu hospitali zote waambie unazalisha vile vikopo na utawauzia kimoja mia mbili hamsini bei ya jumla.
Kwa siku unao uwezo wa kuuza hadi vikopo elfu saba na ni biashara ambayo naona kabisa huwezi kujutia.
Changamoto zake zinaweza kuwa zipo ila chache sana.
Indonesia

@luxemiaa After all these explanations your son is already a man in a his father's house, So he should move out, build his own empire and rules.
English

My husband decided to get a secret DNA test to see if our youngest daughter was actually his. He didn't ask me anything, never even hinted that he had doubts, and didn't give me a chance to explain anything. He just went ahead and did it on his own, then came to tell me about it later like everything could just be fixed with a quick conversation. We've been married for twelve years. We have two kids: our oldest is a ten-year-old boy and......
🧵
English

@Hunaiya153989 Hizi MDF hata ubebe mwenyewe kichwani zitafika zikiwa Zina shida fulani, Tupunguze lawama kwa mabus
Indonesia

Imetokeza tena hapa tunatumia gharama kubwa sana 😢 hasa sisi tunaoanza kujitafuta unatoa gharama tena kufix mali ya mteja inakofika tuoneane huruma tunachopata si kikubwa wala kidogo lakini ndio tunachopambania kama mimi naumiaga sana kiukweli 😒😭🤲




It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989
Huyu mfanyakazi wa kampuni ya Ally bus cargo nilimcheki vizuri tu kwanza nilipakia mizigo jumamosi ikakaa mpaka j4 ya wiki iliyofata naangaikia kujua mzgo kama umefika kumbe walishusha shinyanga baada ya kahama kaka hana customer care anakujibu short anakata simu na hapokei
Tanzania 🇹🇿 Filipino

Ukiwa mtumishi wa afya mkoani ukaugua ukaenda hospitali ya kanda au ya taifa, hakuna hata special treatment unapata. Bima yako ni ya kawaida na utakaa kwenye foleni kama watu wengine tu. Ukizidiwa utalazwa general ward.
Ukifa ndio mkurugenzi wako anaweza kutoa ambulance ije ikufuate. Chama wafanyakazi (TUGHE AU TALGWU) kitachangia 100k kwa familia baada ya kukata mamilioni for years.😂
Nenda taasisi zingine za serikali. Bima za kishua. Wake zao wanaenda kujifungua Aghakhan.😃

Indonesia

Nothing, than a valid medical practicing license
Derah@Derahobs
At your age, what’s the most expensive thing you own?
English

@gabyconscious 2017 niko chuo kikuu ilibakia kidogi niweke ada ya semester 2. Somo la Fx lilinikolea kuliko Physiology na Biostatistics.
Filipino

Oyah 2016-18 ndo kulikua na forex achana na ngonjera za pigamwizifx watoto wa miaka 20 kina QumerDizofx
Fluent In Printing@3dmabango
@gabyconscious Watu hawaelewi confidence level watu waliyokua nayo kwenye fx miaka ya 2016, 17, 18. Tuki account at individuals level kwamba kila trader tuangalie loss zake, kuna billions zimepotea ambazo zikikusanywa nakuwekwa kwa account moja hata hii 1.7B inayowashangaza watu ni cha mtoto.

@cr_xniper Kama betting, 1m kupata 1.1m uhakika sana kuliko 100k kupata 1m, shortly utapoteza no matter how clever you're.
Filipino

@nimipamela0 @250_chacha if he is fat and you're not light skin, You won't get this.
English

@Kicheche_jr Anarudi alipokuwa na mshahara haushuki unabakia ule ule mkubwa benefits chache ndio zinapungua.
Filipino

@prossoff Hamna ushauri mwamba atafute hela kwa wakati huu aachane na hayo mahusiano yote mawili.
Filipino














