Strange Migrant
5.8K posts

Strange Migrant
@StrangeMigrant
JOBLESS||Here for fun||INTROVERT
เข้าร่วม Şubat 2022
994 กำลังติดตาม219 ผู้ติดตาม

@its_mubah Daktari bingwa bobezi alesona Elimu mbali mbali huko Pakistani

Bro this is too much now. Should we be concerned?
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini
Hii hesabu ngumu sana. Wataalam naomba msaada wenu.
English

@Psiteshio1 Kumbe familia nzima ni vichwa?
Ah tumebarikiwa viongoz smart sana na wenye maono
Indonesia


Kwa kawaida ya magonjwa atahitaji kuonwa na Daktr wa moyo watoto (Cardiologist) yeye ndio akiona mtoto anafit kwa upasuaji atampeleka kwa Daktari wa Upasuaji wa moyo wa Watoto.
Kwa Cardiologist The best By far in the Country Kuna Kubhoja, Naiz, Stella
Surgeon Godwin na Shonyela
vwathu@2010@IbrahimuAdolfu
@shaks_prince nihatari kiasi gani huo upasuaji!? anyrecomendation ya dr pale jkci kumwona!?
Indonesia

@Isayadicksonjr No
Kunipoza wangentolea makato na makodi
Filipino

#UfafanuziMuhimu
//
Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani.
Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo;
1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
2. Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026.
3. Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026.
Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine.
Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.

Indonesia

@amina_hafidh Binti inaonekana hata ww hujui unachokiongelea
Hujui hata maana ya makosa ya kimatamshi
LET ME EDUCATE YOU @ TULIA NIKUPASHE
Mama ako hajakosea matamshi bali hajui

Indonesia

@StrangeMigrant Makosa ya kimatamshi yapo na sio ya kuwa Agenda
Ni ujinga
Indonesia

@JamiiForums Hii ndio Changamoto ya kusoma elimu mbalimbali huko Pakistan
Filipino

DODOMA: Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani.
Kwa taarifa zaidi jamii.app/MafutaMarekani…
#JamiiForums #Uwajibikaji
Indonesia

@lifeofmshaba Paaaaaale kwenye elimu mbali mbali za Pakistan
Indonesia

@therealsemsii Si Bora angeenda tu Iran angejifunza bei mbali mbali za Kupitisha mafuta kwenye mlango bahari wa hormuz
Indonesia
















