MSHAURI MKUU

878 posts

MSHAURI MKUU banner
MSHAURI MKUU

MSHAURI MKUU

@annamatari995

Upcoming great Industrial Investor,follower of @chaummatz

Tanzania เข้าร่วม Ekim 2023
151 กำลังติดตาม39 ผู้ติดตาม
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@ayubu_madenge Huenda waliozusha kifo cha bibi ni akina Mange Kimambi mana ndo zao
Polski
1
0
0
639
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Rasmi Benjamin Netanyahu ameonekana hadharani akiwa mgahawani akiagiza kahawa na kusalimiana na watu. Kwenye video hiyo ambayo pia imetumwa kwenye accounts zake za social media, Benjamin amewabeza wale waliozusha juu ya taarifa za kifo chake.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
123
73
1.2K
42.3K
Grok
Grok@grok·
Ndiyo! Katika Daniel 7:20-25, pembe ndogo hiyo inawakilisha kiongozi au nguvu inayotokea miongoni mwa pembe kumi za ufalme wa nne (wa kutisha). Ina macho kama binadamu, inazungumza makuu dhidi ya Mungu, inawatesa watakatifu wake na inajaribu "kubadili majira na sheria" (k.m. kubadilisha wakati wa ibada, kalenda au sheria za Mungu kama Sabato). Hii inatokea kwa "wakati, nyakati mbili, na nusu wakati" (miaka 3½ ya mateso). Katika tafsiri nyingi, ni ishara ya Mpinga Kristo au nguvu inayopinga Mungu katika siku za mwisho. Una swali zaidi?
Indonesia
1
0
0
28
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@Grok unaweza fafanua kuhusu wanyama 4 wanaoonekana kwenye Daniel 7:3-8?
Indonesia
1
0
1
9
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@grok Katika Daniel 7:20-25 ,hiyo pembe ndogo ni nini? Na kivipi ilibadili majira na wakati?
Indonesia
1
0
0
5
Grok
Grok@grok·
Ndiyo! Katika Daniel 7:3-8, Daniel anaona maono ya wanyama wanne wanaotoka baharini, wakiwakilisha falme kuu zinazotawala dunia (maana yake ni ya kinabii): 1. Simba mwenye mbawa za tai: Inasimama kama binadamu – inawakilisha Ufalme wa Babeli (kiburi cha Nebukadneza kinapunguzwa). 2. Dubu mwenye mbavu tatu kinywani: Unakula nyama – Medo-Persia (nguvu na ukatili). 3. Chui mwenye mbawa nne na vichwa vinne: Anatawala – Ufalme wa Kigiriki wa Aleksanda Mkuu (baadaye unagawanywa). 4. Mnyama mkali mwenye meno ya chuma, pembe 10 na pembe ndogo inayozungumza kiburi: Inawakilisha ufalme wa nne wa kutisha (mara nyingi Roma au wa mwisho katika tafsiri nyingi). Hii ni ishara ya mabadiliko ya falme hadi mwisho wa wakati. Una swali zaidi?
Filipino
1
0
0
28
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@Ntobi_ @YerickoNyerereT Pesa zinalipwa kwa wahamasishaji tu wenye majina,walioandamana ni waliohamasishwa, thus's why hatujasikia madenge,Newton,Sativa &co kwamba wamepgwa risasi wakati wa maandamano. Haya mambo ndg ni project za watu na ni kweli kuna pesa zilikuwa znasambazwa kmya kimya kwa waratibu
Indonesia
3
1
4
927
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
@YerickoNyerereT Binafsi—naamini bila chembe ya shaka kwamba ; watu wametoka kwenye maandamano bila kulipwa hata senti moja, na bado wengi wanaendelea kusukuma harakati hizi kwa kujitolea —pasipo kupokea malipo yoyote.
Indonesia
24
17
167
14.6K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Baada ya kuibuka tuhuma huko jamhuri ya Twitter/X kwa mmoja ya Wanaharakati walioko chini ya Maria Sarungi kwa ushirika wa Mange na Diaspora anayeitwa Ndugu Roll Msouth aka Madenge “kukiri hadharani” kuwa wanalipwa mabilioni ya pesa na mataifa ya Ulaya na Marekani ili kuendesha harakati za kuyumbisha nchi na machafuko, Kisha watu wengi wakaanza kumshambulia kwamba anyamaze anawaharibia na wengine wakisikitika kwamba walidhani wanapigania haki kwa sauti moja kumbe wenzao wanalipwa, Nimekurudisha nyuma usome makala niliyoandika 26 mwezi wa tano mwaka 2025 nilipoibua uozo huu lakini vijana wengi mitandaoni wakaishia kutukana tu bila kutafakari, Sasa leo, Nakuongezea mengine haya kwa msaada wa Mwita. Wenye akili zilizotulizana tu ndio wanatakiwa kusoma Watu wengi sana wamekuwa wakilipwa mabilioni haya na wengi wao ni wanaharakati wengi ni viongozi wa heshima katika jamii, viongozi wa dini, watu maarufu, Viongozi wa Kisiasa na makundi mengine hasa vijana wanaojiita wanaharakati, Roll Msouth aka “Madenge” ni mmoja ya vijana hao ambae leo amekiri wazi ingawa amejaribu kwenda kufuta andiko hilo kule X lakini haiondoi ukweli huo kuhusu Ford Foundation na kulipa Mamilioni ya Dola, mfano nyaraka za kuanzia januari 2024 hadi januri 2025 oparesheni kubwa ya taasisi inayoitwa Change Tanzania ya Maria Sarungi na zingine zilipewa mabilioni ya pesa kwaaajili ya kitu kilichoitwa Demokrasia nchini ilihali ilikuwa oparesheni ya makundi hayo kuteka vyama vya siasa (upinzani) kwa malengo ya mataifa ya magharibi. Kisha kwa kipindi cha kuanzia February 2025 hadi September na utafiti unaonyesha kwa uharaka katika kipindi cha kuanzia January 2025 hadi September 2025 Zaidi ya USD 30,000,000 sawa na Tsh 7.5B+ (74,026,276,800.00 zilikua injected Tanzania kwa ajili ya kusaidia makundi ya wanaharakati kufanya siasa. Jiulize pesa hii nyingi ndani ya miezi 10 tu walioitoa wananufaika na nini na Tanzania? Angalia list ya baadhi ya wanufaika wa mabilioni haya ambao wote ni wanaharakati nchi… 1. February, 2025 Ford Foundation waliipa Taasisi ya Twaweza ya Tanzania kiasi cha USD $2,015,000 kwa lengo la kuhamasisha demokrasia na uwajibikaji wa Serikali ya Tanzania kama amabyo wao wenyewe wame report katika website yao hapa (fordfoundation.org/work/our-grant…) 2. February 2025, Ford Foundation waliidhinisha kiasi cha $315,000 Kwa taasisi inaitwa Tanzania Bora Initiative kwa lengo la kuwajengea uwezo vijana wa kitanzania kupashana na kuchakata habari mtandaoni za masuala ya Demokrasia. Reference (fordfoundation.org/work/our-grant…) 3. April 2025, Ford Foundation waliidhinisha kiasi cha TZS $300,000 kwa Amnesty International Tanzania kwa malengo waliyoyaita Core support for social justice groups in Tanzania and Uganda to continue reclaiming civic space and enhancing Social Justice Leaders protection mechanisms'' kama inavyoonekana hapa katika link yao (fordfoundation.org/work/our-grant…) 4. May 2025, Ford Foundation waliidhinisha kiasi cha $200,000 kwa Tanzania Human Rights Defenders Coalition kwa ajili ya ku support harakati za haki za binadamu na watetezi wake hususani katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ikiwa ni sambamba na kuwajengea uwezo hao wanaharakati kama wanavyoeleza hapa katika link yao ( fordfoundation.org/work/our-grant…) 5. July 2025, Ford Foundation wakato kiasi vha USD 100,000 Kwa Jamii Forums kwa ajili ya malengo waliyoyaita ''General support for advocacy for freedom of expression, democracy, good governance, accountability and transparency via digital rights, and for building an inclusive digital community while empowering Netizens in Tanzania'' kama wanavyoeleza hapa (fordfoundation.org/work/our-grant…). 6. September, 2025, Ford wakatoa kiasi cha $1,680,000 kwa Mzalendo Trust kwa ajili ya kujengea uwezo wanaharakati wa kisiasa mitandaoni kama inavyooleza hapa katika link yao hapa (fordfoundation.org/work/our-grant…) 7. Zipo Taasisi zingine zaidi ya 10 ikiwemo Restless Tanzania, Mwanzo Dot ORG, Change Tanzania, Centre for Strategic Litigations nk Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT

Ili taifa liendelee linahitaji Wanaharakati wa kweli, Lakini aina ya Wanaharakati tulio nao ni hatari kwa mstakabali wa siasa na taifa letu kwa ujumla, kwakuwa wengi ni wafanyabiashara ya harakati na Siku Watanzania wakifanikiwa kuwafahamu wanaharakati wetu hawa hakika tutajitenga nao mbali sana! Haya Wanaharati wenu hao hapo wanapokea mabilioni toka kwa Wazungu kwakutumia kinachoitwa matatizo yetu…. Na wengi wameingiza mabilioni kupitia matatizo ya Chadema (kesi za wanachadema) tena bila chadema yenyewe kushirikishwa. Jiulize kwa mabilioni haya wanayopokea kutokana na migogoro nchini, Wanaharakati hawa watapenda kuwepo na maridhiano ya kisiasa nchini? Hawa nchi ikiwa tulivu maana yake unawakosesha ulaji huu. Najaribu kufikiria zile kelele zao enzi za maridhiano ya Chadema na Serikali zilikuwa na maana kubwa sana kwao. Wakati wa Uchaguzi ndani ya Chadema, kulikuwa na nguvu kubwa ya Wanaharati wengi wao wasio wanachadema wakishinikiza mabadiliko ya uongozi ndani ya Chasema na kukawa na tuhuma kwamba makundi ya Wanaharakati hawa yaliingilia uchaguzi huo kwakutumia Mabilioni hayo ya Wazungu ambayo yaliombwa na wanaharakati hao chini ya Maria Sarungi kupitia Nairobi Kenya wakisema lengo lao ni kusaidia kutoa elimu ya demokrasia na utawala bora nchini kumbe kazi yake ilikuwa kuingilia siasa za vyama na kuchochea migogoro katika vyama vya upinzani. Kwa ripoti hii ya Shrika hili la Ford Foundation sasa naanza kuamini Uchaguzi ule uliingiliwa, na tujiulize hawa Wanaharakati wanapata wapi nguvu za kuendesha harakati hizi katika mataifa ya Afrika Mashariki? Ikumbukwe Mwaka jana 2024 Rais wa Kenya Wiliam Ruto alilishutumu shirika hili la Ford Foundation kwa kufadhili maandamano ya Gen Z. Sasa Wanaharakati wa Kenya wanavuka mpaka na kuja Tanzania wanasema sie tumelala ngoja watuamshe, Binafsi sina tatizo nao kuamshwa ni jambo jema sana, Tatizo langu ni haya malipo ya mabilioni wanayolipwa hawa ndugu zetu yana nia njema kwa Taifa letu? Ingia kwenye tovuti ya shirika hili usome ripoti ya mwaka ikionyesha watu wenu wanavyovuna mabilioni huko…. fordfoundation.org/work/our-grant… Na Yericko Nyerere

Indonesia
96
23
72
33.1K
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@Eric__Bernard Wee jamaa muongo sana,yan kansan kwenu kila jpil mahubiri huwa makali 😆😆
Filipino
0
0
0
3
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Mahubiri yalikua makali kidogo nikayapoze na Chochote kitu aisee nikae sawa!!
Filipino
4
1
32
3.4K
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@IAMartin_ Usilinganishe chadema ya Mbowe na hii ya Lissu. Mbowe alijua kujenga palipobomoka,huyu kichaa wenu wa sasa iv palipobomoka anapaongezea zaid pabomoke
2
2
6
667
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@BrendaRupia Na bado yan,kila mwenye utimamu wa akil atatoka huko CDM mana kwa sasa cdm inaongozwa na vichaa wasiojua siasa. Na ww akil ikikukaa utatoka
Filipino
6
2
6
5.7K
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Nyamatari Tengecha,umeamua sasa kuweka wazi kuwa wewe ni Yuda Iskarioti wa kizazi hiki. Anyway,nenda zako kwa amani, maana sisi tunaendelea na mapambano ya kutafuta haki na kuwasemea waTanzania. Leo umeamua kuvaa joho la usaliti na unyama,umekuwa muuaji wa dhamira njema na matumaini ya wengi. Tuambie Tengecha, wamekuahidi nini? Kazi? Vyeo? Au ni hofu imekufanya upoteze utu wako? Historia haitasahau, na wakati wa ukweli utakapofika, kila mmoja atasimama upande aliouchagua. Kila la kheri.
Brenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
101
147
1.1K
154.4K
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
Wanaotetemeka ni nyie mlioususia uchaguzi,mlidhan uchaguzi bila chadema haiwezekan.. Sasa kesho kura zitapigwa na hakuna kitu mtafanya 😆
Indonesia
0
0
0
40
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Uchaguzi Mkuu wa 2015, CHADEMA tulipata madiwani 1,182 wa kuchaguliwa. Madiwani wasiozidi 190 walihamia CCM hadi 2020. Anaekueleza CHADEMA inakufa 2025 kwa kuwa WAHUNI wasiozidi watano wamehamia CCM, HAJIELEWI. HUMAN TRAFFICKING haiwezi kumalizika wakati MALAYA wapo katika siasa.
Indonesia
16
122
1K
38.8K
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@IAMartin_ Mnafatilia uchaguzi mlioususia kaka 😆 Kaeni mtulie msubir 2030,na mkijichanganya tena mpaka 2035 au 2040😃😃😃
Indonesia
0
0
3
691
MSHAURI MKUU รีทวีตแล้ว
CHAUMMA Tanzania
CHAUMMA Tanzania@ChaummaT·
Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Salum Mwalim Juma October 27,2025 amehitimisha kampeni Za kuomba ridhaa kwa wananchi wa Tanzania akiambatana na mgombea mwenza wake Mh.Devota Minja mkutano huo uliofanyika Viwanja vya Tabata Shule,Jimbo la Segerea. Mwalimu amesema kuwa amejipanga kwenda kuongoza nchi bila kuweka visasi kwa viongozi wote waliopo madarakani,Pia Mwalim amesema yupo tayari kuongoza nchi ilikwenda kutatua shida zilizoshindwa kutatuliwa na serikali iliyopo madarakani. #UwakilishiMakini #Chaumma2025
CHAUMMA Tanzania tweet mediaCHAUMMA Tanzania tweet mediaCHAUMMA Tanzania tweet mediaCHAUMMA Tanzania tweet media
Indonesia
2
4
18
3.6K
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@bbcswahili Kwa tanzania mwanasiasa aliekua na haiba kama ya Odinga ni Mh @freemanmbowetz Kutumia njia zote ikiwemo maridhiano ni njia makini ila yenye kueleweka kwa wenye akili tu.
Indonesia
0
0
0
25
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@VitusNkuna Ww nae unatia kichefu chefu looh.. G55-Ulipinga kususia uchaguzi-ukawageuka tena ukajiondoa ukahubir NRNE Uhamia chaumma ukapnga na kubeza wanaosusia uchaguzi ukihubir athari za kususia uchaguzi. Punde umerud cdm unaanza kubeza wanaoshirk uchaguzi. Ndg sio lazma uwe politician 🙄
Indonesia
0
0
1
200
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@fbuyobe Buyobe huna maadili, yan kutukana tusi lolote imekua kawaida sana kwa wanaharakati uchwara ,hafu mnataka mkomboe nchi nyiiee!?ovyoo!🙄
Indonesia
0
0
2
930