Creative Vans 💶
3.1K posts

Creative Vans 💶
@creative_vans
I simplify the complex through thoughtful design - making your product easier to use and impossible to ignore. Send a DM 👉 https://t.co/adKhmZj5FQ

So last week nlisaidia mshikaji wangu mmoja kuverify Wechat sasa ivi anatafuta suppliers yeye mwenyewe. Alikuja DM akaniomba chap nikamsaidia. Sasa unawezaje kuverify wechat ID hata kama hauishi China. Ni simple. 2023 nilielekezwa na @eddygotya jinsi ya kuverify. Easy way ni kuwa na rafiki yako China au Bongo anayetumia wechat wewe fanya registration halafu mtumie QR ama code akusaidie kuverify. Mara nyingi Wechat huwa hawatoi unlimited Friend verification kwa mwaka hazizidi tano. Unaweza saidia ama kuwa charge watu wenye uhitaji na wechat. Kwanini sasa uwe na wechat? Ukiwa na wechat unaweza: => Kutafuta suppliers mwenyewe via wechat Discover. => Kupata ideas za bidhaa kama unatamani kuanza biashara yoyote ile. => Verified industries wanazotengeneza bidhaa wenyewe. => Easy access na suppliers wako instead ya kuanaza kuwatafuta kwenye apps. Ila nna access ya suppliers nliowaverify kutoka kwenye application unaweza anza chat nao wechat leo. Nitext nikutumie. Link: wa.link/6q2sgq Au comment “SUPPLIER” nikupe link. Cc:@creative_vans



Which design looks better?




#UZI Je nani katisha zaidi kwenye #BatoLaPicha jumla ni picha 10 na video 2 👇 iPhone 17 Pro Max Vivo X200 FE



Day 2 without charging this gem





I keep coming back to the OnePlus 15 🤌 There's something special about this phone 🤳

















