Levocatus Mganga รีทวีตแล้ว

MADELU SYSTEM MALFUCTION
Hivi huyu mlughalugha ni hana akili au anajitoa akili kwa makusudi ?! 🤔
Yaani
1Wao ndio Waibe Kura
2Wao ndio Waue Wananchi wasio na hatia kwa Risasi za Moto
3Wao ndio Wavunje Katiba ya Nchi
4Wao ndio wajiweke Madarakani kinyume na Katiba
5Wao ndio waibe Mali za Umma
6Wao ndio Wateke na Kupoteza Watu
7Wao ndio warithishe Watoto wao Madaraka na Fursa za Kimaendeleo
8Wao ndio wageuze Usalama Wa Taifa, Polisi na Jeshi kuwa their Mercenaries & Guns for Hire
9Wao ndio wafanye Ubadhilifu wa Kodi zetu na Fedha za Miradi
10Wao ndio wawape Viongozi wa Siasa Kesi za Uhaini, na kuwaweka Rumande Wapinzani na Wanaharakati
YOTE HAYO NA MENGINE MENGI, Still he has The Audicity to come and say, Kuna Kundi lingine ambalo linahatarisha na kuvunja Amani ya Nchi? Kweli?! PREACE BREAKERS pekee wa Nchi yetu ni CCM’s Murderous Kabal, that has attained supremacy & entitlement and now it has stopped serving the people but themselves; na ndio maana wapo tayari kuua Wananchi kwa Maelfu ili tu Wabaki Madarakani.
Hivi kweli Mtu mwenye Akili Timamu, mwenye aibu, haya na soni, anaweza kuwaambia Wananchi eti kuna watu wanataka kutuvunjia amani wakati Wananchi mpaka leo miili ya ndugu zao haijapatikana? Wananchi ambao mliwazimia Internet, mmeshindwa kuwapa Ajira na bado mka-restrict social media zao (na ndio wakijiajiri huko), ambao wameshuhudia watu wanatekwa Mchana kweupe na kupotea Mazima, Deusdetus Soka, Mdude Chadema, Humprey Polepole?
Okay tufanye mpo sawa! So nani anavunja Amani… Mange Kimambi? Amekulia Dar, akaishi Dubai na sasa yupo Beverly Hills, California? Okay nani, Maria Sarungi? Mtoto wa Profesa Philemon Sarungi? Au Wakazi, as is Webiro Wakazi Wassira? John Heche? Tundu Lissu? Mliyetaka kumuua kwa risasi Dodoma na sasa yupo jela? Au Roma Mkatoliki mliyemteka na kumuharibia career yake? au CAG wa zamani na Wasasa ambao wanaainisha madudu yenu?
Nyie ni SERIKALI HARAMU, na wewe Mwigulu ni mtu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, na historia itakusahau haraka zaidi ya kuliko kitu chochote!!
NYIE NDIO MNATUVUNJIA AMANI, NA MTALIPA!
The Leader

Indonesia































